PreGE2025 Mzee Joseph Butiku: Siasa isichanganywe na dini

PreGE2025 Mzee Joseph Butiku: Siasa isichanganywe na dini

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,023
Reaction score
6,858
Siasa isichanganywe na dini, sisi tunasema dini iheshimike, dini inakubalika, dini iachiwe nafasi kwa mujibu wa taratibu za dini" -Mzee Joseph Butiku - Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Julius Nyerere.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Soma Pia: Joseph Butiku: Naunga mkono mazungumzo ya Reforms. Kuna rushwa, kuiba kura na Polisi kutumika vibaya

Kuchanganya dini na siasa kunatokea pale mtu yeyote (awe kiongozi au sio kiongozi wa dini) anapomtetea au kumshambulia mwanasiasa kwa sababu tu ya dini yake.

Viongozi wa dini wanapoikosoa INEC kwa kuharibu chaguzi zetu makusudi, hawachanganyi dini na siasa. Kazi tukufu ya INEC ni kuendesha free and fair elections. Kuharibu uchaguzi kwa makusudi ni dhambi kama dhambi nyingine. In principle, haina tofauti na ubakaji, wizi, etc. Kwa hiyo, kiongozi (yeyote) wa dini (yoyote) ana wajibu wa kulikemea hilo kwa nguvu zake zote!
 
Kama anakubali kuwa viongozi wa dini ni wasimamizi wa haki.

Kwanini viongozi hao wa dini wanapotoa matamko ya kukemea ukiukwaji wa haki, Mzee huyo tena aseme siasa imechanganywa na dini?
 
Kama anakubali kuwa viongozi wa dini ni wasimamizi wa haki.

Kwanini viongozi hao wa dini wanapotoa matamko ya kukemea ukiukwaji wa haki, Mzee huyo tena aseme siasa imechanganywa na dini?
Kanisa gan wanasimamia haki bro??

Yaan Masikini kanisa gan anatambulika?

Katoliki masikin akiwa na wake wawili azikwi na padre ila Tajiri mpaka Askofu atapogania kuja kuzika

Haki Ipo Mbinguni acheni utapeli
 
Siasa ni Masha, hivyo watu wote ni wanasiasa. Dini ni watu na watu wana maisha na hivyo lazima watafanya siasa.

Haiwezekani muumini/kiongozi wa dini fulani ukae kimya wakati unaona mambo fulani ya kisiasa hayaendi sawa na unajua kabisa kuwa yatakuathiri kwa namna moja au nyingine.

Siasa na dini havitenganishwi.
 
Back
Top Bottom