kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 11,189
- 24,611
Aisee watu wa type ya Tundu Lissu huwa hawazaliwi hovyo hovyo
Lissu ndo mtu sahihi sana kwa Tanzania
Wallah kama kiongozi tunaye
Katika mtu unayeweza kumuamini na ku-count on him basi ni huyu jamaa
Jamaa ni mwadilifu, mwenye misimamo na mzalendo halaf hanunuliki kwa pesa yoyote yaani jamaa huwezi mshawishi kwa pesa au Rushwa
Naweza kusema tundu lissu ni nyerere wa pili
Sikuwahi kutoka kwa ajili ya maandamano ila tukutane kisutu tukakiwashe this time sicheki na wowote
Kukamatwa kwa Lissu ni order, na hayo yote ni katiba mbovu tuliyonayo, shukuru Mungu hii katiba mbovu imekupa urais ila kwa Lissu humfikii na sio level zako Lissu hana uwezo mdogo