Johnson Alex Otieno
Senior Member
- Mar 14, 2013
- 173
- 57
Habari za mapumziko mabibi na mabwana.
Jambo moja nataka watanzania wafahamu ni kwamba hii CHADEMA ya sasa inayoongozwa na FAM imechokwa na watawala hivyo watawala wapo Kazini kubrand Chama cha ACT Wazalendo kuwa Chama kikuu cha upinzanzani.
Najua mtauliza kwa namna gani watawala wanataka ACT wazalendo kiwe Chama Kikuu cha upinzani,? Tuludi katika historia ya kuanzishwa kwa hivi viini macho kutoka,NCCR MAGEUZI,TLP,CUF na sasa CHADEMA.
Watawala walianzisha migogoro kupitia vionvozi wa juu,migogoro hiyo ilipelekea vyama kuvunjika na wanachama kugawana fito,ni wazi kuwa FAM ametangaza kugombea tena nafasi yake kwa kushinikizwa na watawala,FAM nae bila kujali Maslahi mapana na Chama ameingia mtegoni.
FAM anatukumbusha anguko la NCCR, TLP, CUF. Leo haifahamiki having vyama viko wapi na vinafanya nini.
Profesa aliua Chama na akakipa nafasi Chama cha ACT wazalendo kushika nafasi Kule zanzibar, kwa sasa FAM anaua CHADEMA ili ACT Wazalendo iwe na nguvu Tanganyika na kule Zanzibar.
Hatimaye 2025 tutashuhudia wabunge wengi wakitoka ACT Wazalendo na kambi rasmi bungeni itashikwa na ACT.
Kama FAM anataka Chama chake kama anavyojinadi,ni afadhari amazeme upya nafasi ya Chama kuliko umimi.
Last niipongeze system na CCM kwa kuendelea kuwatumia wenyeviti kuua upinzani wa keeling ndani ya vyama vyao.
Hongera FAM kwa kutuulia CHADEMA na kutuinulia ACT WAZALENDO.
Uchaguzi mwema ndani ya chama,ACT wazalendo katakana Chama bora cha upinzani mwakani, nguvu za dola na CCM ni kuimarisha ACT wazalendo.
Nikiwa huku Swekeni.