Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hivi sasa mabenki wanatutumia sms wakitushauri tuache utaratibu wa kufanya miamala kwa kutumia cash money na badala yake tutumie huduma za kielektroniki(mobile banking) kufanya miamala hiyo kama...
8 Reactions
18 Replies
2K Views
Hello! Muda ulikuwa mchache kwa Lissu kuifikia nchi nzima kupeleka ushawishi wa No reforms no Election, sasa jukumu Hilo rasmi limechukuliwa na polisi wetu kwa kumkamata Tundu lissu. Hivi sasa...
18 Reactions
61 Replies
3K Views
Tume Imeonyesha wazi kwamba reforms zinazopiganiwa na CHADEMA zinahitajika. CHADEMA inadhihirisha ni chama chenye watu wenye weredi mkubwa sana na ni wakati sasa Watanzania wajitafakari sana...
8 Reactions
21 Replies
2K Views
Lema amedai ametoka gerezani kuongea na Lissu na amemwambia watanzania wa siwe na hofu yuko tayari kufa. Huyo mtu anayedai yuko tayari kufa alimkimbia Magufuli, amekimbiza familia yake yote na...
8 Reactions
47 Replies
2K Views
Popote utakapotembelea mitandaoni iwe twita au ama Instagram ya maria utagundua ndie mwanzilishi wa vuguvugu zote za chadema ! Hata wakati wa uchaguzi maria alitumia mtandao wa x kumbagaza sana...
7 Reactions
48 Replies
2K Views
Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Amos Makalla amesema madai kwamba Chama Cha Mapinduzi kinajiweka madarakani ni dhana potofu. Akizungumza katika mkutano wa hadhara mjini Newala...
5 Reactions
16 Replies
935 Views
Ukiwasikiliza kwa umakini mkubwa wafuasi wa G55 utagundua wanamuhujumu sana Tundu Lisu Chadema ni Mali ya umma G55 acheni ujinga Msamaha wa dhambi tuliupata Kalvari Nawatakia Alhamis ya Amri...
2 Reactions
16 Replies
715 Views
RC CHALAMILA DAR NI SALAMA AELEZA MAFANIKIO NA MIPANGO YA MAENDELEO YA MKOA -Afafanua maboresho makubwa ya miundombinu ya barabara na miradi ya kimkakati -Awataka wananchi kuendelea...
0 Reactions
1 Replies
317 Views
Simbachawene Aijibu 'No Reform' ya CHADEMA: Tumeunda Tume Huru, Tukianza Heka Heka Hakuna Atakayebaki. Dodoma: Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Ndugu zangu Watanzania, Mgombea wetu wa Ukurugenzi Mkuu wa WHO kanda ya Afrika Mheshimiwa Profesa Mohammedi Janabi. Ameendelea kuchanja Mbuga na kupata mapokezi makubwa na heshima maeneo...
8 Reactions
112 Replies
7K Views
Wasalaam Pamoja na kauli hizi za kukiri kuuwa watu sijasikia jeshi letu la police likichukua hatua
2 Reactions
6 Replies
530 Views
Hili la kusaini fomu ya maadili ya uchaguzi wengi wetu tumelisikia ghafla mwaka huu baada ya Lissu kukamatwa, lakini inawezekana pia kuwa katiba ya nchi inasema asiyesaini hiyo fomu hata ruhusiwa...
8 Reactions
51 Replies
3K Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Stephen Wasira amewahakikishia Watanzania kwamba Chama hakina chuki wala kısası na mtu bali kinaamini kutekeleza sera ya maridhiano. Wasira ametoa...
1 Reactions
18 Replies
1K Views
https://youtu.be/eYqrDjwkZ1E?si=IAwIBaBwF_ZH9Mes Redio DW ya Ujerumani leo mchana imeutangazia ulimwengu kwamba hali ya siasa Tanzania ni mbaya sana. Akifanyiwa mahojiano mwanasheria na...
17 Reactions
33 Replies
2K Views
Mwalimu Nyerere aliwahi kusema, kiongozi akila rushwa katika shughuli za kiserikali, aliyepokea rushwa hana uthubutu wa kumchukulia hatua mtoa rushwa. Wachina wanajulikana, na siyo siri, kutoa...
6 Reactions
27 Replies
1K Views
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mchungaji Peter Msigwa, amewataka wananchi wa Wilaya ya Tandahimba, mkoani Mtwara, kuendelea kumuunga mkono Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan pamoja na chama hicho...
1 Reactions
10 Replies
718 Views
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, anasema chama hicho bado kina nafasi ya kushiriki kwenye uchaguzi mkuu wa 2025, na kwamba kutosaini kanuni za maadili hakuwaondoi kikatiba kushiriki...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Naona Zambarau Ikineemesha vizuri kabisa Kijani hapo Juu Baada ya CDM kususia Uchaguzi?
7 Reactions
34 Replies
2K Views
Mzee Msukuma amekiri kwamba wabunge wa Tanzania wana kinga dhidi ya tuhuma za rushwa Kimantiki amesema wapo viongozi wanakwapua fedha za umma kwenda kuzitumia kugombea ubunge Ameeleza viongozi...
2 Reactions
7 Replies
663 Views
Back
Top Bottom