Makamu mwenyekiti wa Chama cha Tanzania Labour Party (TLP), Zanzibar Hamad Mkadam amefariki dunia usiku wa kuamkia leo, wakati akipatiwa matibabu ya afya kwenye moja ya hospitali kisiwani Pemba...
Heri ya Pasaka kwa wote ! Tusherehekee sikukuu hii kwa furaha na baraka. Tusiwasahau wenzetu kama Tundu Lisu na wengine; wape upendo na duaa. Mungu awabariki wote! 🐣🙏
Wakuu Habari! Heri ya siku kuu ya Pasaka Kwa Wakristo wote. Nitumie pia nafasi hii kuwatakia Kila la Heri watani zangu wa jadi Simba sc Kwenye Mechi Yao ya mkondo wa kwanza nusu fainali SHIRIKISHO...
Rais Dk. John Magufuli akizungumza jambo na Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema wakati akitoka kutoa heshima za mwisho kwenye msiba wa marehemu Tryphosa Simon Sanga ambaye ni Dada wa Mbunge wa...
Nimemsikiliza Prof. Janabi katika maneno yake ya utangulizi(introductory remarks ) wakati wa usaili wake mbele ya jopo.
Hongera sana Prof. Janabi. Umejieleza vizuri sana na hata maswali...
Kama unabisha fanya utafiti natagundua hili
Kwa mfano Swiss wana Haki na Amani
Lakini Marekani wana Amani bila Haki
Nawakumbusha tu wale wanaodhani No Reforms No Election itawaletea Haki na...
Mwenyekiti wa Baraza la wanawake wa Chadema (Bawacha) Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro, Elizabeth Mollel amefariki dunia wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Ocean Road, iliyopo Jijini...
Wakuu,
Suala la Lissu na uminywaji wa demokrasia na uhuru wa maoni Tanzania linazidi kusambaa, Watanzania huu ndio muda wa kuamka na kuhakikisha kuna utawala wa sheria wa haki.
=====
Mtafiti wa...
Kuna mavyama mengine yapo kimkakati nimeamini,
Laiti kama ACT na CHADEMA Wangesusia uchaguzi sidhani kama CCM ingeingia uchaguzi na vile vyama hewa 16, ingekua ni aibu dunia nzima maana idadi ya...
David Kafulila a.k.a "Tumbiri" amejipa jukumu la kuwa msemaji wa watawala kuonesha kuwa uchumi wa Tanzania upo Imara na himilivu kuliko hata wale wenye jukumu Hilo.
Kafulila anaongea sana kuhusu...
Kuna taarifa kutoka vyanzo vya ndani vya kiserikali kwamba Heche atakamatwa na kupewa kesi Kama ya Tundu Lissu hivi karibuni ili kuunyamazisha kabisa umma!
Mwenye kuweza kuomba juu ya Tanganyika...
Makamu Mwenyeliti wa CHADEMAB(Bara), John Heche amesema kuwa amekutana na Mwenyekiti wa Chama hicho, Tundu Lissu katika Gereza la Ukonga anakoshikiliwa na kiongozi huyo amewataka wanachana wa...
Hatimaye leo aliyekuwa Kigogo mwingine wa Chadema amerejea kwenye Chama hicho.
Anthony Calist Komu alikuwa Mkurugenzi wa Fedha na Utawala wa Chadema na Mbunge wa Moshi Vijijini 2015-2020.
Komu...
Ma-Ded waanza kushushiwa moto,Sasa kuwapisha wenye uwezo wa kukusanya Mapato,
Wakati halmashauri 85 zikikusanya mapato chini ya kiwango zilichopangiwa, Serikali imeanza kuchukua hatua dhidi...
Sabato Njema!
Kesho nitakuwa Kanisa la Kimara Korogwe.
Ukisoma Kitabu cha 1 Samweli 8 utakutana na Kisa cha kisiasa ambacho Waisrael wanakataa Kuongozwa na Mungu kama Mfalme wao.
Kumbuka hapo...
Sheikh Ponda Issa Ponda amesema hakuna chama cha siasa nchini Tanzania kinachohamasisha vurugu, bali zinaakisi uwepo wa tatizo fulani. Ameeleza kuwa mtu mwenye busara anapobaini dalili za vurugu...
"Mwaka 2024/25 Ofisi ya Rais TAMISEMI iliidhinishiwa shilingi bilioni 254.82 kwa ajili ya kuratibu na kusimamia uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa mwaka 2024. Kati ya fedha hizo, shilingi bilioni...
Umeme ni muhimu sana kwa maisha kwakua huchochea uzalishaji, biashara na maendeleo kwa ujumla. Umeme hufungua fursa za ujasiriamali na kuongeza kipato cha mwananchi na kupunguza ugumu wa maisha...
Zaidi ya miaka miwili iliyopita, mnamo Machi 2023, Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris, alitembelea Tanzania. Akiwa huko, alipokelewa kwa ukarimu na Rais Samia Suluhu Hassan, ambaye alikuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.