Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kesi ya Tundu Lissu inaweza kuwa ni mwisho wake kisiasa, kwanza kesi yenyewe inaweza kuendeshwa kwa muda mrefu sana akashindwa kabisa kushiriki siasa tena. Mwisho wa kesi anaweza kuhukumiwa...
2 Reactions
22 Replies
1K Views
Ukiona chama kinatangaza mwaliko kama wa mh John Heche ujue chama hicho ni mfu iila kinajitutumua tu kuitisha serikali Chadema haina wafuasi wa kutikisa kwenye jambo lolote ila inapewa promo tu...
2 Reactions
21 Replies
941 Views
Salaam! Uchaguzi uliofanyika humu JAMII forum kwa kumpambanisha ndugu @erthrocyte na paschal Mayalla ingekuwa ni Tume Ile,usingetoa uhalisia, kura za Erythrocyte angepewa ndugu Paschal Mayalla na...
29 Reactions
156 Replies
5K Views
Hatimaye Serikali imekiri kwamba madai ya kuwa na uchaguzi ulio huru na wa haki hayawezekani kutokana na muda uliopo kufikia tarehe ya uchaguzi yaani Oktoba 25, 2025. Mbali na wadau wengine...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
MOSSAD ( Israel Foreign Intelligence Agency ) inapata taarifa juu ya Adolf Eichmann- kiongozi wa Utawala wa Nazist ambae alijificha Agerntina kwa miaka mingi .Adolf alikuwa ni Supervisor kwenye...
0 Reactions
12 Replies
633 Views
Sizungumzii Waislam wa hapa JF akina Malaria 2 tunaokutana kwa mama Massawe Mwenge kila siku bali nazungumzia waislam halisi wanaoyaishi mafundisho ya Mtume Muhammad SAW Waislam halisi...
0 Reactions
9 Replies
370 Views
Nimefuatilia matamko kadhaa ya viongozi wa chadema wakijipiza dhidi ya vilabu hivi pendwa. Kwa nini wamedhamiria kuvidhuru ? Kosa lao nini?
1 Reactions
41 Replies
1K Views
Serikali ya CCM kama zilivyo Serikali mbalimbali za Kiafrika zinazopokea misaada ya wachina , Shariti Kuu wanalopewa ni Hilo 'Kuruhusu Raia wa kichina watamalaki bila vikwazo ' . Ongezeko Hilo la...
5 Reactions
4 Replies
335 Views
Mpaka sasa tangia huyu sheikh Mwaipopo atamke hadharani kwenye mitandao ya kijamii maneno yenye kuleta chuki za kidini na uchochoze bado jeshi la polisi halijatoa taaarifa yeyote kwa umma ya...
1 Reactions
1 Replies
465 Views
Maafisa usafirishaji Tabora wapo bega kwa bega na Rais Samia Suluhu.
0 Reactions
0 Replies
270 Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche amewataka Wanachama wa Chama hicho na Wananchi kwa ujumla kufika kwa wingi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu siku...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Walioziandaa na Waliosaini hizi kanuni walikuwa na akili timamu kweli. Eti Leo ACT nao wanalipongeza Kanisa Katoliki kama sio unafiki ni nini. Chadema wako sahihi kabisa. No Reforms, No Election.
26 Reactions
122 Replies
7K Views
"Ni jukumu letu sisi wananchi kulinda amani ya nchi yetu kwa sababu amani inapatikana kwa shida sana na tukiipoteza hatutaipata" Rais wa TEC na Askofu wa Jimbo Katoliki Lindi, Mhashamu Wolfgang Pisa.
1 Reactions
3 Replies
345 Views
Ni yule mwanachama toka Kilimanjaro ambaye mara baada ya kuhoji na kupinga utaratibu uliowapitisha Bi Samia Suluhu Hassan na Dr Emmanuel Nchimbi kuwa wagombea u - Rais, haraka katibu wa CCM mkoa...
33 Reactions
126 Replies
7K Views
Miezi miwili iliyopita niliwasihi CHADEMA wabadilishe kauli mbiu yao ya ‘no reforms, no elections’ na waache kusema [hususan mwenyekiti wao mpya] watauzuia uchaguzi kufanyika endapo hakutakuwepo...
10 Reactions
37 Replies
1K Views
Wakuu Salaam za pasaka kutoka viunga vya Tanzania! Bila kuwachosha, mada tajwa hapo juu yajieleza. Mimi binafsi sitapoteza muda wangu kwenda kupiga kura, maana ni kijipotezea fedha na muda wa...
1 Reactions
2 Replies
328 Views
Miye bado natafakari.
4 Reactions
13 Replies
637 Views
Hakika Askofu Kalikawe Bagonza ametupa jiwe gizani. Na kauli hiyo ni mwiba mchungu kwa wazushi wengi nchini kwetu.
20 Reactions
80 Replies
3K Views
Tuliaminishwa amani inaambewa. Lakini viongozi wa dini wameamua kuacha kuomba nakubaki washauri. Je, kama Taifa tutegemee maombi au tuishi kwa kutumia akili na utashi wa mwenyenzi Mungu...
1 Reactions
2 Replies
217 Views
Onyo Kwa Watumishi wa Mungu, Wanasiasa na Watanzania wote
1 Reactions
21 Replies
995 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…