Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Uchaguzi wa 2024 wa serikali za mitaa ungekuwa wa huru na haki leo hii swahiba wa Mama Samia Mbowe angekuwa Mwenyekiti wa Chadema na kusingekuwepo leo No reform no election ambayo ni agenda kubwa...
27 Reactions
51 Replies
3K Views
Mbunge wa Jimbo la Mbogwe mkoani Geita, Nicodemas Maganga, amesema ataendelea kuwa mkali na kusimamia kwa karibu matumizi ya fedha zinazotolewa na serikali kuu kwa ajili ya kutatua changamoto za...
1 Reactions
0 Replies
242 Views
Mngeiita tu SAMIA FESTIVAL… nadhani ingekuwa sawa tu. “kuliko kuweka hilo neno serengeti Majina ya Festival huwa yanatokana na either: • Unachotaka kukinadi • Unachotaka kukienzi • Unachotaka...
1 Reactions
1 Replies
269 Views
Kanisa LENYE Maadili ni nguzo muhimu katika ujenzi wa Taifa imara lakini Kanisa LENYE NDIMI NYINGI ni hatari sana kwa Usalama wa Nchi!Kanisa linalobeba maslahi ya kisiasa kwa kuhakikisha...
0 Reactions
19 Replies
1K Views
Katika mazingira ya sasa ya kisiasa nchini Tanzania, kuna changamoto kubwa ya viongozi wa kisiasa kutenda makosa bila kuwajibishwa kisheria. Hii inasababishwa na sababu kadhaa za kimfumo na...
6 Reactions
10 Replies
790 Views
Kwa mwana ccm hasa viongozi, ukiwaambia watamke neno Haki, ni kama wanataka kuingia kwenye kosa la Jinai kulitaja, ni kama kutaja jina la mama mkwe wao Kwa nini mnazuwia kwa nguvu zote mahala...
4 Reactions
10 Replies
500 Views
Katika hali isiyo ya kawaida kumekuwepo na sintofahamu ya kukamatwa Mwenyekiti wa Chadema Mh. Tundu Antiphas Lissu na kufunguliwa mashtaka ya uhaini, swali ni je? nani anaharibu amani ya taifa...
6 Reactions
28 Replies
1K Views
Kwa Tanzania Rais ni Alfa na Omega Kwa Tanzania sio katiba Wala Sheria vyote vipo chini ya Rais na anaweza kumpoteza mtu yeyote na watu tukapiga kelele lakini hasirudi Kama Mzee Kibao!! kwa...
20 Reactions
47 Replies
3K Views
“Nani anaharibu amani, anayetumia nguvu uchaguzi uende anavyotaka yeye au anayesema turudi mezani mfumo wa sasa hautupi viongozi wanaopatikana kwa HAKI na KWELI?..Waliokamatwa kwa kudai HAKI...
14 Reactions
28 Replies
1K Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Kanda ya Kusini kimesemea viongozi wake watatu, mwimbaji nyimbo za chama na wanachama wawili wameshikiliwa na Jeshi la Polisi Wilaya ya Songea Mjini...
3 Reactions
48 Replies
2K Views
Mkutano mkuu umepiga shut kamati kuu ikakwepa goli hilo. Mama samia akachomoa makamu mpya shwa. Haya Chadema tunawasubiri
2 Reactions
6 Replies
637 Views
Wakuu Inakuaje Mkutano Mkuu wa CCM unaogopeka kiasi hiki mapaka Mwanachama huwezi kuhoji mamlaka ya Mkutano huo hata kukiwa na Uovu ndani yake. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea...
0 Reactions
2 Replies
401 Views
Baadhi ya wanachama wa Umoja wa Waendeshaji Bajaji, Bodaboda na Wajasiriamali Jijini Dar es Salaam wametangaza kutoshiriki maandamano yaliyoitishwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)...
5 Reactions
50 Replies
3K Views
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Kusingi Unguja, Mhe. Wanu Hafidh Ameir amefungua mafunzo elekezi kwa viongozi na watendaji wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) kuanzia ngazi ya Matawi, Wadi, Jimbo na...
0 Reactions
3 Replies
388 Views
Bwana Yesu alipokuwa Gethsemane alisema,"Baba,kama ikiwezekana,sitaki kukinywa hiki kikombe cha mateso. Lakini Mapenzi yako yatimizwe,siyo utashi wangu.". Sasa hapa kuna ubishi kwamba hiyo haki...
2 Reactions
4 Replies
304 Views
Dini zina nafasi kubwa sana kwenye mtengamano na amani ya lo lote lile. Ndiyo maana kwa kuliona hili, baadhi ya nchi serikali zake zinatawaliwa na dini moja, hususanj huko Uingereza nk Anglican...
2 Reactions
43 Replies
3K Views
Wana JF Wakati mwingine, tunahitaji siasa za kimya. Siasa zenye kutafakari, kusamehe, kuponya, na kujenga. Dunia imejaa kelele, vurugu, na giza . Tanzania bado ni kisiwa cha amani. Hii si bahati...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Niliwahi kupata maono ya kwamba ungemaliza uongozi kipindi hiki ungepata heshima isiyo kifani. Lakini kwa kuwa kuna wachache wanafaidika na uwepo wako wamekupanga uongeze mitano tena na wewe...
3 Reactions
18 Replies
922 Views
Akitoa salamu za ujumbe wa Pasaka leo April 20,2025 katika Kanisa Kuu la Usharika wa Moshi Mjini, Askofu wa Dayosisi ya Kaskazini wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk. Frederick...
12 Reactions
15 Replies
1K Views
Wasalaam Hii nchi ni ngumu sana kila mtu analalamika, nani wakutuokoa?
1 Reactions
13 Replies
748 Views
Back
Top Bottom