1. Posho za wabunge
2. Posho na mshahara na maslahi ya Rais
3. Posho na maslahi ya mawaziri
4. Maslahi ya jaji mkuu
5. Spika na naibu wake
6. Wakurugenzi
Kawaida Afrika akiingia mpya au chama...
Wakuu,
Nimefuatilia harakati za Chama Cha Demokrasia na Maendeleo,nimejiridhisha kuwa CHADEMA ina maono,dira na taswira nzuri juu ya Tanzania ya kesho.
Kauli mbiu yao ya no reform no election...
Hili limesemwa na Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho John Heche alipoongea na Waandishi wa Habari Kwenye Makao Makuu ya Chama hicho Mikocheni.
Amesema Msimamo wa Taasisi hizo unafanana na Msimamo...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akipokea taarifa na kisha kukagua maendeleo ya mradi wa ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Musoma, mkoani Mara, leo Jumatano...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohammed Mchengerwa, leo amefichua kuwa malumbano ya kiuongozi katika utekelezaji wa mradi mmoja yalikwamisha...
Angalieni, Kama ni Wizi kufanyika, Report ya CAG imejiweka wazi yenyeweee!!.
Ila hatujawahi sikia Serikali imechukua Hatua yoyote Kwa Wahusika.
Sasa angalia Maajabu, Majuzi hapa, Mbunge Mrisho...
Tukiwaambia huko Lumumba hakukaliki muwe mnaelewa jamani.
CCM kupitia Katibu Mwenezi wake Taifa, Qmos Makalla wametangaza ziara ya kusini mwa nchi, mikoa ya Lindi na Mtwara kuanzia tarehe 10...
Juzi Mahakama Kuu ilitoa agizo kwa wahudhuriaji wote wa kesi ya ugaidi inayomkabili Freeman Mbowe na Wenzake watatu kwamba kuanzia leo ni lazima wavae barakoa wanapogusa eneo la Mahakama hiyo ...
Hivyo ndivyo ilivyokuwa leo Mahakamani, ambapo Wadau wa Maendeleo wa Tanzania kutoka kwenye Taasisi za Kimataifa wameshiriki kesi hiyo ya Ugaidi kwa lengo la kujua kinachoendelea, Maofisa hao...
Pamoja na Serikali ya Tanzania kutopendezwa na Wawakilishi wa kimataifa kutoka EU , UN na Waheshimiwa Mabalozi kujionea dhuluma dhidi ya Mwenyekiti wa Chadema , Freeman Mbowe Mahakamani , lakini...
RC Chalamila akipiga marufuku mikutano ya kisiasa eneo la Kariakoo pasipokuwa na mamlaka ya kisheria kufanya hivyo
Uovu binafsi hutendwa na mtu mmoja mmoja kutokana na maamuzi ya mtu mmoja huyo...
SEKTA YA MADINI YAFIKIA MCHANGO WA ASILIMIA 10.1 KATIKA PATO LA TAIFA
▪ Rais Samia apongezwa kwa mageuzi makubwa ya sekta ya madini
▪ Wizara yafikia lengo kabla ya mwaka 2025
▪ Sekta Yatajwa...
Familia ya Katibu Mwenezi wa CCM Mbeya Mjini, Philimon Mng'ong'o, imekumbwa na hofu baada ya watu wasiojulikana kuvamia nyumbani kwake usiku wa kuamkia Aprili 22, 2025 na kuchoma gari. Moto huo...
Ndugu wanabodi mimi naomba kupendekeza kama kunaweza kupatikana taasisi yoyote iwe ndani au nje ya nchi yenye kuheshimika na kuaminika isiyo na upande wowote basi tuialike iwaite mezani serikali...
Leo Aprili 23, 2025 Makamu Mwenyekiti ACT Wazalendo Bara, Ndugu Isihaka Mchinjita amechukua fomu ya kugombea ubunge wa Jimbo la Lindi Mjini. Ndugu Mchinjita amekabidhiwa fomu hiyo na Katibu wa...
Tulipopata uhuru miaka ya 60, tulikuwa tuna maadui wakuu watatu.
1. Ujinga
2. Maradhi
3. Umasikini.
Ukiangalia kwa juu juu, utagundua kuwa hawa maadui watatu kwa kiasi kikubwa wanazidi kupunguzwa...
Luhaga Mpina alikuwa na mpango kuhamia chadema akagombee Ubunge huko. Hata hivyo kitendo cha chadema kugomea uchaguzi kimemvuruga.
Soma pia: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa...
Mgombea wa chama chochote cha siasa kuchaguliwa na mpiga kura hua ni hiyari, uhuru na haki ya mwananchi mpiga kura. Mgombea wa cha siasa kukataliwa na wananchi kwa kuambulia kura zero, sio kuibiwa...