Barakoa zenye Neno "MCHONGO" zavaliwa na waliohudhuria kesi ya Mbowe Mahakamani

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,703
218,231
Juzi Mahakama Kuu ilitoa agizo kwa wahudhuriaji wote wa kesi ya ugaidi inayomkabili Freeman Mbowe na Wenzake watatu kwamba kuanzia leo ni lazima wavae barakoa wanapogusa eneo la Mahakama hiyo .

Kiukweli amri ya Mahakama imetekelezwa kwa almost 100% , ambapo wahudhuriaji wengi wamevalia barakoa nyeupe lakini zina neno moja lililoandikwa juu yake liitwalo MCHONGO .

Uhahidi huu hapa .

Jaji_Tiganga_alisema_watu_wote_wanaonda_kufuatilia_kesi_wavae_barakoa_leo_wanachama_wa_Chadema...jpg
 
Juzi Mahakama Kuu ilitoa agizo kwa wahudhuriaji wote wa kesi ya ugaidi inayomkabili Freeman Mbowe na Wenzake watatu kwamba kuanzia leo ni lazima wavae barakoa wanapogusa eneo la nahakama hiyo .

Kiukweli amri ya Mahakama imetekelezwa kwa almost 100% , ambapo wahudhuriaji wengi wamevalia barakoa nyeupe lakini zina neno moja lililoandikwa juu yake liitwalo MCHONGO .

Uhahidi huu hapa .

View attachment 2047886
Dah chadema shkamoo
 
ccm kwa hii kesi wamekalia kuti kavu
 
Tunaendelea KUWAPA ELIMU vichwa ngumu......

Mahakamani hakutakiwi kuoneshwe RUDE and VULGAR words.....

Sasa neno "mchongo" katika BARAKOA si UKOROFI HUO?!!!

Next week nitawaambia vijana wenzangu wa CCM tuvae na kuingia nazo mahakama ya Jaji Tiganga na barakoa zenye maneno haya;

"UGAIDI NI UNYAMA".

#Siempre JMT
 
Juzi Mahakama Kuu ilitoa agizo kwa wahudhuriaji wote wa kesi ya ugaidi inayomkabili Freeman Mbowe na Wenzake watatu kwamba kuanzia leo ni lazima wavae barakoa wanapogusa eneo la nahakama hiyo .

Kiukweli amri ya Mahakama imetekelezwa kwa almost 100% , ambapo wahudhuriaji wengi wamevalia barakoa nyeupe lakini zina neno moja lililoandikwa juu yake liitwalo MCHONGO .

Uhahidi huu hapa .

View attachment 2047886
Tumepata fursa ya biashara,tutatengeneza kwa wingi,na kuwauzia,Wajasiriamali biashara hiyo,tengenezeni hela.
 
Juzi Mahakama Kuu ilitoa agizo kwa wahudhuriaji wote wa kesi ya ugaidi inayomkabili Freeman Mbowe na Wenzake watatu kwamba kuanzia leo ni lazima wavae barakoa wanapogusa eneo la nahakama hiyo .

Kiukweli amri ya Mahakama imetekelezwa kwa almost 100% , ambapo wahudhuriaji wengi wamevalia barakoa nyeupe lakini zina neno moja lililoandikwa juu yake liitwalo MCHONGO .

Uhahidi huu hapa .

View attachment 2047886
Viva Chama langu, always Akili Kubwa Sana😀✌
 
Back
Top Bottom