Pendekezo: Mahakama ya mafisadi ianze na kashfa hizi

britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
15,636
30,004
Kutokana na kuwa na mtaji wa kianzio cha kesi tusihangaike na kutafta nyingine tuanze na hizi hapa

1.Richmond hasara ya 350 billions
Kashfa hii inamuhusisha waziri mkuu mstaafu Edward Lowassa, ambaye kustaafu kwake kumelazimishwa kutokana na kashfa hii. Hii ndo kashfa iliyoshika nafasi ya juu kwa kuwa imeangusha mpaka serikali husika.

Muhusika: Edward lowassa

2.ESCROW hii ni kashfa iliyoshirikisha watu viongozi mbali mbali na mapadree, 300 billions, hii kashfa ina kutokueleweka ndani mwake maana kila taasisi ilitoa Maelezo tofauti
IKULU: Pesa za ESCROW si za serikali.

BUNGE: CCM wanasema si za serikali, CHADEMA wanasema kuna ambazo ni za wananchi/serikali.

MKAGUZI MKUU: Hajui jibu sahihi alimalizia kwakusema zinaweza kuwa au zisiwe za wananchi

Wahusika: Askofu kilaini, Tibaijuka, Chenge, Ngereje, na wengine

3. Lugumi : hii imetikisa sana na bado hatujajua itaisha vipi na wahusika wakuu ni LUGUMI na washirika wake,

Wahusika :Mzee lugumi na wenzake

4. EPA, hii imeshika nafasi ya nne , wahusika walirejesha hela kimya kimya bila hata kujua ni kina nan,

Wahusika : Patel family

5. Upotevu wa makontena bandarini ,

Wahusika: masamaki tiaghi na wenzake

6.KAGODA, hii kashfa imetokea wakati wa uongozi wa mzee MKAPA lakin inadhaniwa kuwa imeisha kimya kimya,

Wahusika: serikali awamu ya tatu

7. NHC, uuzwaji wa nyumba za serikali miaka ya 1996 ambaye alihusika ni waziri mkuu ambaye alishirikiana na wahusika kukamilisha suala ilo,

Wahusika:Waziri mkuu Frederick sumaye na waziri husika

8. SUKARI sakata ili lilinuhusisha bwana IDDI SIMBA ,Sukari kutoka nje tani za kutosha zilikwapuliwa kipindi hicho

Muhusika: mzee IDD simba

9. UCHOMAJI WA BENKI KUU NA KUPORA , suala Ili wahusika wanajulikana na huwa hawatajwi sana sana,

Wahusika :Konom mrodin na ginadre ngime

10. ATCL, sakata la ATCL na ununuzi wa vifaa hewa , ukarabati hewa wa ndege na wafanyakazi hewa ,

Wahusika:Mkurugenzi na mawaziri wa uchukuzi

11. MEREMETA,
Wahusika : serikali awamu ya tatu

12. AICC ARUSHA

Mhusika :Edward lowassa

13. UUZWAJI WA VIWANJA VYA SERIKALI KINYUME,

Muhusika:Waziri wa ardh awamu ya tatu, edward lowassa

14. UKWAPUAJI WA RANCHI ZA SERIKALI

Mhusika:Edward lowassa

15. UKWAPUAJI WA HELA ZA MRADI WA MAJI,
Mhusika : edward lowassa

16. MAJENGO PACHA YA B.O.T BY LIYUMBA
Mhusika: amatusi liyumba marehem na yona

17. MAJENGO YA UVCCM Mizengwe katika ujenzi,
Waziri mkuu wa kwanza katika awamu ya NNE, na mwenyekiti wa uvccm

18. UNUNUZI WA MVUA YA THAILAND
Mhusika: edward lowassa

19. UNUNUZI WA MAGARI MABOVU YA CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO
Mhusika: freeman mbowe

20. UTOROSHAJI WA TWIGA KWENYE NDEGE,
Mhusika , serikali ya awamu ya nne

21. UNUNUZI WA RADA,
Mhusika: Andrew chenge na mramba

22. NDEGE MBOVU YA RAIS,
mhusika:Basil pesa 2

23. MELI MBOVU YA B/MOYO
Mhusika: mkurugenzi wa TEMESA na idara ya manunuzi

24. UKARABATI WA NYUMBA YA UBALOZI KWA MABILION YA HELA , KWA UDANGANYIFU,
Mhusika:Waziri wa mambo ya nje awamu ya tatu

25. WIZI WA B.O.T. 1998
Mzee balali

26. UUZWAJI WA MAGARI YA SERIKALI KINYEMELA
Wahusika: wakurugenzi mashirika ya UMMA

27. LOAN BOARD ,
Wahusika:Mkurugenzi na wahusika wengine

28. UDA , ushahidi wa kutosha upo na Simon group wamehusika sana
Mhusika: simon group na KIKWETE junior
29. NIDA , hapa vitambulisho vya taifa ,serikali imepata hasara kubww sana,
Wahusika:Bernad m, na mkurugenzi wa NIDA

30. ARV's fake, hii alipotiwe na kushtakiwa kwa kudanganya serikali na kuua watu kwa udanganyifu,
Mwanachama maarufu wa CCM

31. NPS, national parking service , hapa pia kuna ufisadi mkubwa sana,
Mhusika : kingunge mwiru

32. Meli yenye meno ya tembo iliyokamatwa ughaibuni..
Mhusika:Waziri wa Mali asili Nyarandu na mkurugenzi bandari wanapaswa kujibu

Tanzania ina kesi nyingi sana zinazohusiana na uchafu wa ufisadi, hebu nawe ongezea nyingine...

Nb usimtaje muhusika bila kuwa na ushahidi maana unaweza kuvuruga ratiba ya mahakama ya mafisadi badala ya mafisadi wakakusaka we mchochezi kwanza..

Britannica
 
Kutokana na kuwa na mtaji wa kianzio cha kesi tusihangaike na kutafta nyingine tuanze na hizi hapa

1.Richmond hasara ya 350 billions
Kashfa hii inamuhusisha waziri mkuu mstaafu Edward Lowassa, ambaye kustaafu kwake kumelazimishwa kutokana na kashfa hii. Hii ndo kashfa iliyoshika nafasi ya juu kwa kuwa imeangusha mpaka serikali husika.

2.Escrow hii ni kashfa iliyoshirikisha watu viongozi mbali mbali na mapadree, 300 billions, hii kashfa ina kutokueleweka ndani mwake maana kila taasisi ilitoa Maelezo tofauti
IKULU: pesa za escrow si za serikali ,
BUNGE: ccm wanasema si za serikali, CHADEMA wanasema kuna ambazo ni za wananchi/serikali
MKAGUZI MKUU: Hajui jibu sahihi alimalizia kwakusema zinaweza kuwa au zisiwe za wananchi

3. Lugumi : hii imetikisa sana na bado hatujajua itaisha vipi na wahusika wakuu ni LUGUMI na washirika wake,

4. EPA, hii imeshika nafasi ya nne , wahusika walirejesha hela kimya kimya bila hata kujua ni kina nan,

5. Upotevu wa makontena bandarini ,

6.KAGODA, hii kashfa imetokea wakati wa uongozi wa mzee MKAPA lakin inadhaniwa kuwa imeisha kimya kimya,

7. NHC, uuzwaji wa nyumba za serikali miaka ya 1996 ambaye alihusika ni waziri mkuu ambaye alishirikiana na wahusika kukamilisha suala ilo,

8. SUKARI sakata ili lilinuhusisha bwana IDDI SIMBA ,Sukari kutoka nje tani za kutosha zilikwapuliwa kipindi hicho

9. UCHOMAJI WA BENKI KUU NA KUPORA , suala Ili wahusika wanajulikana na huwa hawatajwi sana sana,

10. ATCL, sakata la ATCL na ununuzi wa vifaa hewa , ukarabati hewa wa ndege na wafanyakazi hewa ,

11. MEREMETA,

12. AICC ARUSHA

13. UUZWAJI WA VIWANJA VYA SERIKALI KINYUME

14. UKWAPUAJI WA RANCHI ZA SERIKALI

15. UKWAPUAJI WA HELA ZA MRADI WA MAJI,

16. MAJENGO PACHA YA B.O.T BY LIYUMBA

17. MAJENGO YA UVCCM Mizengwe katika ujenzi

18. UNUNUZI WA MVUA YA THAILAND

19. UNUNUZI WA MAGARI MABOVU YA CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO

20. UTOROSHAJI WA TWIGA KWENYE NDEGE,

21. UNUNUZI WA RADA,

22. NDEGE MBOVU YA RAIS,

23. MELI MBOVU YA B/MOYO

24. UKARABATI WA NYUMBA YA UBALOZI KWA MABILION YA HELA , KWA UDANGANYIFU,

25. WIZI WA B.O.T. 1998

26. UUZWAJI WA MAGARI YA SERIKALI KINYEMELA

27. LOAN BOARD ,

28. UDA , ushahidi wa kutosha upo na Simon group wamehusika sana

Tanzania ina kesi nyingi sana zinazohusiana na uchafu wa ufisadi, hebu nawe ongezea nyingine

Very nice...Hii List imekamilika...Wahusika wote wapelekwe mahakamani hatutaki ujinga hapa
 
Wewe tumia vyema akili zako mahakama ya ufisadi utaanza na record za kuanzia 2010 nyuma ya hapo hakuna kitu
 
Back
Top Bottom