Mtuhumiwa Tundu Antipass Lissu akiamini shauri lake linapaswa kusikilizwa kwa wazi kwenye Mahakama ya Wazi inayoruhusu watu kuingia na kufuatilia mwenendo wa Kesi amegoma kesi yake kusikilizwa kwa...
Kwanza natanguliza kusema kuwa Tundu Lissu yupo sahihi kwa manufaa ya umma.
Pili katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ni mali ya Watanzania wote na sio mali ya wanaCCM.
Tatu tutapokuwa...
Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo Taifa Othman Masoud Othman amesema harakati za kubadili mifumo ya uongozi Zanzibar haziwezi kusimama vizazi hadi vizazi kwa sababu Zanzibar inashindwa...
Hivi Tatizo letu ni Chadema Kweli?
Wana CCM wenzangu naomba tujiulize, hivi wanaotusumbua ni Chadema kweli au ni Wananchi?
Waliotukataa ni Chadema au ni Wananchi?
Chadema ni nani Hawa? Wako...
Imezoeleka na kulazimishwa na CCM kwamba watanzania wamuite Rais wao "mama" badala ya "Mheshimiwa Rais" ama "Ndugu Rais".
Madhara ya kumwita Rais Mama ni pale anapoona kama vile anaowaongoza ni...
Kama wewe ni msomi unaeishi Tanganyika na unafuatilia kwa karibu mambo yanayohusiana na Chama Cha Mapinduzi (CCM) na muungano, huenda unajiona katika mazingira magumu. Ikiwa unafikia umri wa miaka...
Ni ukweli utakaopokelewa kwa hisia tofauti, lakini ndio uhalisia wa hali ya kisiasa ya nchi yetu ulivyo sasa, uchaguzi wa rais 2025, uliisha Aprili 12, 2025 kanuni za uchaguzi ziliposainiwa.
Hii...
GT.
Yule jamaa alipendwa sana. Watu walilia sana, pmoja.na kupakazwa sana lakini alikuwa mioyoni mwa watu wengi.
Huyu wa sasa ndo kashaharibu kila kitu watu haesjui nini anafanya kiufupi ni bora...
Jamaani kilichonifurahisha hapo ni aina ya mapokezi yakiongozwa na usafiri pendwa kanda ya ziwa
Mapokezi ya Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Mohamed Kawaida...
Leo nilipata wasaha wa kupitia a
hansard za bunge hasa Taarifa ya athari za mazingira za ujenzi wa bwawa la umeme JNHPP. Mchango wa Mh. Nappe Nauye nimetokwa na machozi.
Mradi wa JNHPP...
Ulinzi umeendelea kuimarishwa na Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam kuzunguka makutano yote yanayoingilia Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam ambako kuna kesi inayomkabili Mwenyekiti...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzindua makao makuu ya benki ya ushirika Tanzania
https://www.youtube.com/watch?v=9c3a8yFwdSA
Rais Samia Suluhu Hassan...
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Kijamaa ya VietNam zimeafikiana kuongeza maeneo mapya ya ushirikiano wa kiuchumi na kijamii ikiwa ni juhudi za kukuza maendeleo ya kijamii na kiuchumi...
Si nadra kusikia watendaji wa umma wakisema "rais amefanya, ametoa, anataka, hataki,' na mengine mengi. Je watendaji wetu wapo kwa ajili ya rais au taifa?
Je wanafanya wafanyayo kwa sababu ya...
My Take
Ghana ilikuwa inaitwa Gold Coast na Bado inaendelea kushikilia namba 1 Africa.
Nchi Zenye Uchumi mkubwa Duniani ndio zinaongoza Kwa utajiri pia...
Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo Taifa, Othman Masoud Othman amepokea Wanachama wapya 25 waliojiunga na Chama hicho kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Jimbo la Kojani, Wilaya ya Wete...
Nilimsikia Rais Samia anasema upinzani umehamasisha vurugu kwa kutaka mabadiliko kwenye uchaguzi sasa kuhamasisha mabadiliko ni vurugu za wapi ?
Ni wazi Samia anakaa anaongea uongo na kukuza...
Wakati wa uwekwaji wa Wakfu kwa Askofu mpya wa Jimbo Katoliki Iringa Askofu Romanus Mihali, Kanisa Katoliki nchini katika salamu zake kwaniaba ya Maaskofu wa Kanisa hilo Makamu wa Rais wa TEC...