Man, listen up! This thing is getting outta hand now! Hii nchi yetu Tanzania, nchi ya amani, nchi ya watu wastaarabu — imegeuka kuwa uwanja wa political games and dirty power struggles! Na siyo...
MAKAMU WA RAIS DKT. MPANGO AKUTANA NA KATIBU MKUU WA CCM DAR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Isdory Mpango, amekutana na Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi...
Wanabodi,
Hii ni Makala Yangu kwenye Gazeti la Nipashe la Leo.
Angalizo:
Hii Mada ni Swali na Alama ya Kuuliza iko wazi na sio Statement!.
Nimeanza hivyo kwasababu mimi mwenzenu niliwahi kuitwa...
Vipi iwapo Chama chetu cha Chadema kitashinda uchaguzi wataruhusu au tuseme kukubaliana na nchi wanazozitegemea kuwapa sapoti, yaani Chadema itaruhusu uvutaji wa bangi na mambo mengine. Kila kitu...
Nasema hivyo nikirejea toleo la kitabu cha Eric Kabendera, kuhusu maisha na utendaji wa kazi wa hayati Rais Magufuli kipindi akiwa madarakani.
Huyu mwandishi alitoa tuhuma nzito sana dhidi Rais...
Tukiangalia historia, tulianza na utawala wa Jakaya Kikwete, ambaye alileta matumaini na mabadiliko kadhaa katika sekta mbalimbali. Hata hivyo, alikumbana na changamoto nyingi, na baadhi ya ahadi...
Maumivu unayoyapata ndiyo maumivu tunayoyapata sisi ambao hatujaweza hata kuupata mwili wa Ben Saanane ili tumzike kimila na kwa taratibu zetu.
Israel walipambana for 10 years kuupata mwili wa...
Katika kila awamu lazima watu hawa wawepo.
1. Ambao wanamtetea rais sababu ni dini yao/dhehebu lao
2. Sababu anatoka chama chao
3. Sababu wanatafuta nao teuzi
4. Sababu hawana kazi wanajikomba...
Wananchi wa Kata ya Bwiregi wamempongeza Mbunge wa Jimbo la Butiama na Naibu Waziri Katiba na Sheria Mhe. Jumanne Sagini kwa kufanikisha Bilioni 1.5 ambayo ilitumika katika miradi mbalimbali ya...
Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo Taifa, Othman Masoud Othman akiambatana na Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho Zanzibar Ismail Jussa Ladhu wamefanya ziara ya ujenzi wa Chama eneo la kisiwa...
Waasisi wa Taifa letu la Tanzania kwa uzalendo wao walipambana kuifanya ardhi yetu kuwa hifadhi ya viumbe vyote, wenye utamaduni (binadamu) na visivyo na utamaduni (wanyama). Watanzania wa leo...
Ningependa kufahamu serikali imefikia wapi katika mchakato wa kuanzisha baraza la vijana la Taifa maana ni chombo muhimu sana katika uwezeshaji na usimamizi wa masuala ya vijana nchini
Akihojiwa kupitia Ayotv mtoto wa Hayati John Magufuli , Jessica Magufuli, amesema kuwa taarifa za kifo cha baba yake alizipata wakati huo akiwa Dodoma kupitia mitandao ya kijamii kama watanzania...
Taarifa iliyosambazwa na Chama hicho Maarufu zaidi Barani Africa kwa sasa hii hapa.
Nitakuwepo kwenye Mkutano huo ili kuwaletea kila kitakachosemwa na Viongozi.
Usibanduke JF.
GT
Nimefatilia watawala wetu hasa hawa wa CCM tangu vugu vugu la No reforms no election kutamka neno HAKI imekuwa ni kaa la moto midomoni mwao.
Wao kwa sasa wamejificha kwenye kichaka cha.Amani...
MBUNGE ZUBERI KUCHAUKA ASHAURI TATHIMINI IFANYIKE GHARAMA ZA KUUNGANISHWA UMEME
Mbunge wa Jimbo la Liwale mkoani Lindi, Zuberi Kuchauka ameishauri Serikali kupitia Wizara ya Nishati kufanya...
Katibu Mwenezi wa CCM Amos Makalla amshangaa John Heche Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA kwa kuita watu waende mahakamani kusikiliza kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu asema "Hizo ni Harakati...
Maaskofu wasaidizi jimbo la Bukoba, Mhashamu Method Kilaini na Mshashamu Eusebius Nzigilwa wa jimbo kuu katoliki la Dar es salaam wamefunguka na kutoa taarifa kuwa wameamua kurudisha mgao wa fedha...
Kwa uchungu mkubwa Nabii ROLINGA amesema watanzania wamechoshwa na Polisi na Serikali kumwaga damu za Watanzania wasio na hatia. Ametaka watawala waache mara moja kutesa na kumwaga damu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.