Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,772
- 2,886
Wanachama 38 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) katika Jimbo la Buchosa, wamekihama chama hicho na kujiunga na CCM.
Miongoni mwao yupo aliyekuwa katibu mwenezi wa chama hicho katika Jimbo la Buchosa, Ovu Malagila ambaye ameeleza sababu za kukihama Chadema na kummwagia sifa Rais Samia Suluhu Hassan na Mbunge Eric Shigongo.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Malagila na wenzake wamejiunga na CCM kwenye mkutano wa Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Mohamed Ally Kawaida aliyekuwa ziarani katika Jimbo la Buchosa.
Source: Global Tv