Kuna kila na strong justification sababu ya kuimarisha Ulinzi wa Askofu bagonza kwa msimamo wake wa kutetea HAKI.
Yaliyotokea kwa Fr. Kitima hayako mbali naye kwa msimamo wake wa kiroho kutetea...
GT
Nimepiga hesabu zangu zinakataa katakata uchaguzi haupo, Nimepiga ramli, nimeongea na wazee lakini wapi mababu wanasema mwaka huu mgumu sana.
Sijui huko Mbeleni kitatokea nini ila uchaguzi...
Baada ya kuelezwa Kuwa Kifo ni Kifoo, na hiki cha Mzee Kibao ni Kifo Tu, Kwa nini hicho kina kelele Sana.
Na tukapewa mlinganisho wa Mtoto wa Shule Kwa walioendelea kapiga risasi na kuua wenzake...
MBUNGE LUCY SABU: DKT. SAMIA ANA KURA ZA KISHINDO SIMIYU
Mbunge wa Viti Maalum Vijana Taifa kutokea Mkoa wa Simiyu, Lucy John Sabu amesema kuwa kutokana na maendeleo makubwa aliyofanya Rais wa...
Mwenyekiti wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA), Frank Kailembo amekemea wanasiasa wanaowasemea watumishi wa umma na kueleza kuwa yapo majukwa na taratibu za kisheria zinazowapa mwanya...
Kwa sababu ya tatizo kubwa la ajira the vijana wanaomaliza vyuo hoja ya waziri mkuu Majaliwa inahitaji mjadala wa kina zaidi badala kupuuzwa kwa sababu ya kutoeleweka kwake na hasira ya...
Kufanya kazi sekta binafsi nchi hii ni zaidi ya kuwa mtoto yatima hawana mtetezi, kamishna wa kazi yupo tu km bendera. Kuna maeneo km vyuo vikuu binafsi wahadhiri wana mishahara midogo kuliko...
Ndugu zangu Watanzania,
Nikiangalia namna Rais Samia anavyoongoza Taifa letu katika muelekeo sahihi na wenye kuleta matumaini. Nikiangalia namna maendeleo makubwa na mambo makubwa yaliyofanyika...
Ieleweke wazi kuwa Kanisa Katoliki halifanyi siasa ila kuna baadhi ya mapadre na maaskofu ndio wanafanya siasa sio wote
Wengine wako kwenye shughuli zao za kitume hawahangaiki na siasa
Kusema...
Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amesema mtu yeyote asiwagombanishe wananchi kwa sababu wakigawanyika hakuna maendeleo yanayoweza kufanikiwa.
Shigongo amesema atatangulia mbele ya wananchi...
Mgogoro wa kiuongozi ndani ya Chama cha Tanzania Labour Party (TLP) umechukua sura mpya baada ya kundi la viongozi wa chama hicho, tarehe 29 Aprili 2025, kutoka mikoa mbalimbali nchini, kufika...
Nchi kwa sasa inajiendesha yrnyewe na imefila kwenye ile formulae ya survival of the fittest. Kama huauko fit kujilinda basi unatekwa na wasiojulikana au hakuna anayekujali kabisa as if serikali...
Tuwe tu wakweli tangu alipoingia mzee Mkapa madarakani CCM ilia za kutumia maguvu kutokana na aina ya Siasa za Upinzani zilivyo
Hakuna Rais atakubali CCM Ifie mikononi mwake
Kanisa linapiga...
Mara nyingi mambo unayoona yanatokea hapa bongo ujue wanaigilizia pahala fulani
Jaribu kufuatilia matokeo ya Uchaguzi unaoendelea UK ndio utajua Chadema wanacopy mbinu mikakati kutoka huko...
Wanachama 44 wa CCM na CUF katika Kijiji cha Namiungo Wilayani Tunduru mkoani Ruvuma wamejiunga na Chama cha ACT Wazalendo mbele ya Katibu Mkuu wa chama hicho Ado Shaibu jana tarehe 1 Mei 2025...
Raisi wa Finland Mwezi huu atavisit nchi kafhaa za Africa ikiwemo Tanzania, sasa tunataka afikiria mara mbili mbili kujusu kuvisi Tanzania make nchi isha haribika imekuwa nchi ya kuuana na...
Ndugu zangu Watanzania,
Muwe Mnaelewa tunaposema ya kuwa CCM ndio chama chenye uchungu na Maisha ya kila mtanzania, ndio chama chenye kujali watu pasipo ubaguzi ,ndio chama chenye huruma ,upendo...
* Asema unampigia debe mmoja wa wanasiasa nchini
* Aonya walio chini yake kutojiingiza, Tume yasema ni hatari
NA MWANDISHI WETU
MKUU wa makanisa ya Evangelistic Assemblies of God Tanzania...
Fuatilia kinachojiri kwenye Maadhimisho ya siku ya Mei Mosi Kitaifa, Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Arusha, leo Mei 1, 2024
https://www.youtube.com/live/ou5SjfKQdUs?si=ZGhP6q5GsAM4R5SS
Maadhimisho...
Tunaomba mama siku ya sherehe za siku ya wafanyakazi uje umejipanga. Hujawai ongeza mishahara tangu umeingia madarakani. Mwaka huu Tunaweza Fanya mabadiriko