Polisi wamejipanga vizuri kuelekea uchaguzi mkuu ... Jambo hapa enzi hizo ikiitwa jambo furums mababu mnaikumbuka .
Wamekamatwa wafuasi na wasiokuwa wafuasi wa CHADEMA siku ya mwanzo ya kesi ya...
Mifano ni mingi sana kutoka sehemu mbalimbali za dunia, wangapi walivuma na kujiona ndio wao tu, mbona wameondoka tena wengine kwa aibu. Mimi sio mtu wa siasa wala sina kadi ya chama chochote ni...
Najiuliza kila wakati hivi katika Nchi hizi mbili zilizoungana yaani Tanganyika na Zanzibar ni watu au raia kutoka Pemba tu ndio wenye ujasiri wa kupambana na CCM kwa hali na mali?
Hili suala au...
Kijana anayesemekana aliingizwa chupa sehemu za haja kubwa na Mheshimiwa Naibu Waziri (Mstaafu) na Mbunge wa Babati Mjini anastahili huduma za kisaikolojia vinginevyo tutampoteza Kwa kadhia Ile.
Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya juu Nchini Ndg Geofrey Kiliba amewaeleza wanavyuo wa mkoa wa Dar es Salaam Kuwa huu ni wakati Sahihi Wa kuwakumbusha wasomi kuhusu uchaguzi...
Kama ingekuwa Ukatili na kuua na kutesa watu ni best approach ya kufanya Censorship….I think JPM would have been a Champion .
Binafsi mnajiexpose sana kitaifa na kimataifa which is not Healthy...
Magesa Inyasi, mwenye ulemavu wa macho na mkazi wa Musoma Mjini mkoani Mara amejipatia umaarufu mkoani hapo kutokana na kipaji chake cha kipekee cha kutunga nyimbo za papo kwa papo kulingana na...
Anaandika Ansbert Ngurumo:
UTAWALA wa Rais John Magufuliumeendelea kujizolea kashfa ya kutumia “silaha ya uraia” katika kukomoa raia, kuzima sauti za wananchi na kulipiza visasi.
Zamu hii...
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda ametoa wito kwa wafanyakazi nchini kuhakikisha wanadumisha amani kuelekea uchaguzi mkuu, akisema amani ni nguzo muhimu ya upatikanaji wa haki na ustawi wa...
Ndugu zangu Watanzania,
Hivyo Ndivyo unavyoweza kusema juu ya Mama huyu anayefanya kazi ya kitume , kazi ya Sadaka ,kazi ya kujitoa na kujitolea Maisha yake kwa ajili ya kubadilisha maisha ya...
Wakati akifanya mahojiano na Millard Ayo hivi karibuni, Jesca Magufuli ameeleza kuwa Rais Samia Hassan ameendelea kuwa na mchango mkubwa katika familia yao.
Ameeleza kuwa bado anaendeleza...
Sina mengi ya kusema ila ukweli ndio huo na hii ni kazi ya Mungu (NATURE).
Angebki uraiani, ingekuwa ni hatari zaidi kwake . Kwahiyo, NATURE imemtafutia sehemu salama ingawa tunaona kama...
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi INEC Jaji Jacob Mwambegele amesema tume hiyo imeanza awamu ya pili ya uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura ikihusisha mikoa 15 mzunguko wa...
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Ramadhan Kailima amesema kwa mujibu wa kanuni Chama kisichosaini kanuni za maadili hakitashiriki uchaguzi.
“Chama cha siasa...
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Jaji Jacobs Mwambegele amesema kilichozungumzwa na tume hiyo ni tafsiri yao na kama Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wanatafsiri...
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imewataka wananchi kutumia njia rahisi za kiteknolojia kuhakiki taarifa zao katika Daftari la Kudumu la Wapigakura, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya uchaguzi...
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imeongeza siku mbili (Machi 24 na 25) za uboreshaji wa daftari la mpigakura kwa Mkoa wa Dar es Salaam kutokana na mwitikio mkubwa wa wananchi.
Taarifa ya...
Loh!
Pesa nitoe mfukoni kwangu, nikununulie RUNGU Ili unilinde, nikununulie boots, nikupe silaha, nikulipe mshahara, Kisha unigeukie na kutumia silaha hizo hizo kunidhuru Mimi bosi wako!
Nauliza...
1. Hii Migomo inaonyesha wafanyabiashara Kariakoo na kwingineko wanaleta mchezo kwenye kulipa kodi.
2. Inafaa Sasa TRA libadilishwe kuwa Jeshi Usu kama taasisi za Maliasili, Misitu.
3...