PreGE2025 Tumechoka! Hii sasa sio siasa, ni uhalifu!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Prof_Adventure_guide

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2023
Posts
529
Reaction score
1,494
Yo, let me speak this loud,

Hii nchi imegeuka kaburi la vijana!!
We out here dyin’ young, hustlin’ hard, while mabeep wenye zero education wako busy wakigawana madaraka Dodoma!

Mimi nina Masters yangu, bro, nimetoka chuoni na akili ya kutosha kutengeneza future ya taifa —
but guess what? I’m super broke, niko mtaani na dreams zangu zinaliwa na mafisadi!

Wamekalia system kama wao ndio Mungu — wanachagua nani aishi, nani afe. Young people dyin’ left and right, na bado mpo busy mkikata kodi za simu kama sisi tunapiga tu umbea huko WhatsApp? Yo, that whack!

Nauliza tena kwa hasira — kwanini mnatufanyia hivi? Kitu cha kuomba haki leo kimekuwa CRIME? Kudai maisha bora imegeuka kosa la jinai?

Mnataka tufunge midomo Tunyamaze? We won’t shut up. Sisi siyo watumwa wenu!

Kiongozi gani anakata kodi ya maskini huku akila millioni kwenye vikao vya uongo? Leader gani anaua watu wake then goes on TV smilin’ like its sweet??

Hell no! I can’t, I won’t, I refuse!

I don’t care kama unavaa suti, kama unajifanya mchungaji wa Bunge — Kama huna huruma, kama unaua vijana, kama unachakachua ukweli — YOU’RE TRASH, bro.

We got pain, we got rage, and we got the truth! Na elimu yetu siyo ya kusifia system — ni ya kubeba watu wetu na kuwaamsha.

Vijana wenzangu wanapotea kama moshi, na nyie mpo tu kimya? F* your silence!

Na sisi hatuwezi kusubiri tena —
If you don’t give us justice, We comin’ for that power — and we takin’ it back!

This is deep. It hurts.
But guess what? WE STILL HERE. Na hatubadiliki!

#Tumechoka #YouthInPain #MastersKwaStreet #DodomaIsBleeding #WeAintSilentNoMore
 
CCM ife.
 
They can't silence all men! But guess what? Wanajichimbia kaburi lao wenyewe.
 
I like ur spirit bruh, why shouldn't u make it physical than theoretical? ..am waiting here listening ur declaration that we meet "Nyerere Square Dodoma" and we go making the bunge bleed! these mere and empty words are everywhere here...
 
Yo, let me speak this loud,

Hii nchi imegeuka kaburi la vijana!!
We out here dyin’ young, hustlin’ hard, while mabeep wenye zero education wako busy wakigawana madaraka Dodoma!

Mimi nina Masters yangu, bro, nimetoka chuoni na akili ya kutosha kutengeneza future ya taifa —
but guess what? I’m super broke, niko mtaani na dreams zangu zinaliwa na mafisadi!

Wamekalia system kama wao ndio Mungu — wanachagua nani aishi, nani afe. Young people dyin’ left and right, na bado mpo busy mkikata kodi za simu kama sisi tunapiga tu umbea huko WhatsApp? Yo, that whack!

Nauliza tena kwa hasira — kwanini mnatufanyia hivi? Kitu cha kuomba haki leo kimekuwa CRIME? Kudai maisha bora imegeuka kosa la jinai?

Mnataka tufunge midomo Tunyamaze? We won’t shut up. Sisi siyo watumwa wenu!

Kiongozi gani anakata kodi ya maskini huku akila millioni kwenye vikao vya uongo? Leader gani anaua watu wake then goes on TV smilin’ like its sweet??

Hell no! I can’t, I won’t, I refuse!

I don’t care kama unavaa suti, kama unajifanya mchungaji wa Bunge — Kama huna huruma, kama unaua vijana, kama unachakachua ukweli — YOU’RE TRASH, bro.

We got pain, we got rage, and we got the truth! Na elimu yetu siyo ya kusifia system — ni ya kubeba watu wetu na kuwaamsha.

Vijana wenzangu wanapotea kama moshi, na nyie mpo tu kimya? F* your silence!

Na sisi hatuwezi kusubiri tena —
If you don’t give us justice, We comin’ for that power — and we takin’ it back!

This is deep. It hurts.
But guess what? WE STILL HERE. Na hatubadiliki!

#Tumechoka #YouthInPain #MastersKwaStreet #DodomaIsBleeding #WeAintSilentNoMore
Hii makitu wanatengeneza CCM na Dola yake itakuja kuilipua hii nchi, wasifurahie huu ukimya na utulivu wao wenyewe wanaita amani, hakuna amani katikati ya uvunjaji mkubwa wa haki za binadamu kama unaofanywa na Polisi ili kuifurahisha CCM. Huu utulivu ni sawa na pipa la petroli linakuwa limetulia na na hata ukishika unasikia ubaridi lakini cheche moja tu inatosha kulilipua na kuwa mithili ya bomu,narudia tena utulivu siyo amani. Asomaye na aelewe.
 
Nadhani kuna kitu hakipo sawa kuhusiana na mfumo wetu wa elimu!

Mara zote nimeona wasomi wamekuwa bure kabisa yaani kichwani hamnazo halafu wale wasio na elimu ndiyo wenye akili!!

Ukienda Kariakoo utakuta jamaa hawana shule lakini ndiyo wafanyabiashara wakubwa na wanapiga hela balaa!

Huyu naye analeta report kwamba Dodoma kuna watu eti hawana shule yaani zero education lakini ndiyo wanatawala!!!

Cha kushangaza yeye eti ana masters na hana kazi!!!!! Najiuliza hiyo masters sijui ni masters ya ujinga ama???

Mbona nchi yetu changa ina fursa nyingi sana za kutusua maisha!! Ina maana hiyo masters yako imeshindwa kabisa kukutoa tongotongo usoni ukaona fursa???

Unataka serikali ikupe elimu na tena ikushike mkono kukupeleka palipo na fursa???

Nashauri urudi shuleni tena kutafuta PhD! Yawezekana ujinga uliokuwa nao ni wa kiwango cha PhD. Pengine ukipata PhD sasa itakufaa kitu! Ikishindikana, rudi tena shule!! Tafuta u'profesa'! Yawezekana una ujinga wa kiwango cha u'profesa'!!!

Wenzio hawakwenda shule kama wewe pengine ujinga waliokuwa nao ulikuwa ni wa kiwango hicho cha elimu ya form four, six etc. Na sasa hiyo hiyo elimu ndogo inawalipa!!

Pole. Muombe Mungu atakusaidia.
 
Kwakweli inatia hasira anakuja kiongozi anaongea kirahisi sana kama tunao Lilia haki hatuna kazi za kufanya bali wao wanafanya mambo kitaam zaidi wakati matokeo yanaadhihiriasha hakuna cha maana zaidi ya maslahi yao wenyewe yani tumefika stage ambayo mchana unaambiwa saizi ni usiku kalale tena usiulize chochote maana unaweza kuitwa kibaka mharifu
 
Wabongo utawasikia, "Hata mimi nikipata nafasi ni kupiga tu." Hata wewe ungepewa nafasi ungefanya ufisadi na kutesa wengine huku ukiona wakosoaji ni maloser wa hali ya chini.
 
Yo, let me speak this loud,

Hii nchi imegeuka kaburi la vijana!!
We out here dyin’ young, hustlin’ hard, while mabeep wenye zero education wako busy wakigawana madaraka Dodoma!

Mimi nina Masters yangu, bro, nimetoka chuoni na akili ya kutosha kutengeneza future ya taifa —
but guess what? I’m super broke, niko mtaani na dreams zangu zinaliwa na mafisadi!

Wamekalia system kama wao ndio Mungu — wanachagua nani aishi, nani afe. Young people dyin’ left and right, na bado mpo busy mkikata kodi za simu kama sisi tunapiga tu umbea huko WhatsApp? Yo, that whack!

Nauliza tena kwa hasira — kwanini mnatufanyia hivi? Kitu cha kuomba haki leo kimekuwa CRIME? Kudai maisha bora imegeuka kosa la jinai?

Mnataka tufunge midomo Tunyamaze? We won’t shut up. Sisi siyo watumwa wenu!

Kiongozi gani anakata kodi ya maskini huku akila millioni kwenye vikao vya uongo? Leader gani anaua watu wake then goes on TV smilin’ like its sweet??

Hell no! I can’t, I won’t, I refuse!

I don’t care kama unavaa suti, kama unajifanya mchungaji wa Bunge — Kama huna huruma, kama unaua vijana, kama unachakachua ukweli — YOU’RE TRASH, bro.

We got pain, we got rage, and we got the truth! Na elimu yetu siyo ya kusifia system — ni ya kubeba watu wetu na kuwaamsha.

Vijana wenzangu wanapotea kama moshi, na nyie mpo tu kimya? F* your silence!

Na sisi hatuwezi kusubiri tena —
If you don’t give us justice, We comin’ for that power — and we takin’ it back!

This is deep. It hurts.
But guess what? WE STILL HERE. Na hatubadiliki!

#Tumechoka #YouthInPain #MastersKwaStreet #DodomaIsBleeding #WeAintSilentNoMore
1746252246247.png
 
Hii makitu wanatengeneza CCM na Dola yake itakuja kuilipua hii nchi, wasifurahie huu ukimya na utulivu wao wenyewe wanaita amani, hakuna amani katikati ya uvunjaji mkubwa wa haki za binadamu kama unaofanywa na Polisi ili kuifurahisha CCM. Huu utulivu ni sawa na pipa la petroli linakuwa limetulia na na hata ukishika unasikia ubaridi lakini cheche moja tu inatosha kulilipua na kuwa mithili ya bomu,narudia tena utulivu siyo amani. Asomaye na aelewe.

inasubiriwa hiyo cheche moja nchi iwake moto
polisi ni wachache kuliko raia
 
Yo, let me speak this loud,

Hii nchi imegeuka kaburi la vijana!!
We out here dyin’ young, hustlin’ hard, while mabeep wenye zero education wako busy wakigawana madaraka Dodoma!

Mimi nina Masters yangu, bro, nimetoka chuoni na akili ya kutosha kutengeneza future ya taifa —
but guess what? I’m super broke, niko mtaani na dreams zangu zinaliwa na mafisadi!

Wamekalia system kama wao ndio Mungu — wanachagua nani aishi, nani afe. Young people dyin’ left and right, na bado mpo busy mkikata kodi za simu kama sisi tunapiga tu umbea huko WhatsApp? Yo, that whack!

Nauliza tena kwa hasira — kwanini mnatufanyia hivi? Kitu cha kuomba haki leo kimekuwa CRIME? Kudai maisha bora imegeuka kosa la jinai?

Mnataka tufunge midomo Tunyamaze? We won’t shut up. Sisi siyo watumwa wenu!

Kiongozi gani anakata kodi ya maskini huku akila millioni kwenye vikao vya uongo? Leader gani anaua watu wake then goes on TV smilin’ like its sweet??

Hell no! I can’t, I won’t, I refuse!

I don’t care kama unavaa suti, kama unajifanya mchungaji wa Bunge — Kama huna huruma, kama unaua vijana, kama unachakachua ukweli — YOU’RE TRASH, bro.

We got pain, we got rage, and we got the truth! Na elimu yetu siyo ya kusifia system — ni ya kubeba watu wetu na kuwaamsha.

Vijana wenzangu wanapotea kama moshi, na nyie mpo tu kimya? F* your silence!

Na sisi hatuwezi kusubiri tena —
If you don’t give us justice, We comin’ for that power — and we takin’ it back!

This is deep. It hurts.
But guess what? WE STILL HERE. Na hatubadiliki!

#Tumechoka #YouthInPain #MastersKwaStreet #DodomaIsBleeding #WeAintSilentNoMore
Tunaomba bunduki ndo tuelewane
 
Back
Top Bottom