Kuna kundi kubwa ndani na Nje ya Chadema lilikuwa limejipanga haswa kutaka kuharibu Uchaguzi Mkuu wa Rais Wabunge na Madiwani Octoba mwaka 2025 likiongozwa na Wanasiasa "VIGOGO" Wastaafu,baadhi ya Viongozi wa Kanisa na Mawakili(TLS).
Kwenye KESI ya Ndugu Tundu Antipas Lissu ya Uchochezi April 24,2025,zaidi ya Mawakili 45+ walikuja kumtetea Lissu!Je Watanzania mlijiuliza kwanini "members" wa TLS wamekuwa na maslahi makubwa na KESI hii?Huu ni mpango Mkakati Maalum wa Mawakili dhidi ya Serikali ya Mama Samia Suluhu Hassan!
Timu ya Tundu Lissu na "watu wake" walifika Ofisini kwa WAZIRI MKUU mmoja Mstaafu kwa malengo hayo hayo!
Timu hiyo ikaenda Nchini Kenya kwa Mzee RAILA Odinga kwa malengo hayo hayo na baadae Mwanasiasa kutoka Kenya Martha Karua akaja Tanzania kwa malengo hayo hayo!
Kukamatwa kwa ndugu Tundu Lissu na KESI ya Uhaini sio tu imekuwa ni "surprise" kwa kundi lake kiasi kwamba Waziri Mkuu Mstaafu sasa "anazurura" kutaka Suluhu ya Serikali baada ya mpango wao wa kufanya vurugu kutawanywa"distabilisation"!
MALENGO YA MPANGO YALIKUWA NI YAPI?👇🏿👇🏿
Katika andiko langu ya "CHADEMA Wanataka Kuwazidi "akili" CCM? nilikuja na "Theory" moja ya Provocation!
Nikawataka Watawala na Vyombo vya Ulinzi na Usalama vya Nchi vione mchezo ambao Chadema na "watu wake" walikuwa wanataka kuucheza!
Katika KITABU cha "Politics of Provocation😛articipation & Protest in Israel cha Gadi Wolffed mbinu za kufanya protest kwa malengo ya "kuachieve" "bargain" zimeelezwa bayana!Ndio hiki ambacho wanakifanya Chadema kupitia Tundu Antipas Lissu kwa sasa!
PROTESTS HIZI HAPA👇🏿👇🏿
I.Gomea Uchaguzi Mkuu (No Reforms No Election)
II.Gomea kusaini kanuni za Maadili ya Uchaguzi Mkuu 2025!Tayari🤣🤣
III.Gomea Mashitaka, kataa kushiriki KESI kwa njia ya Mtandao!Infact hata Mahakama ingeamua leo kuendesha KESI ile kwa njia ya kawaida bado Ndugu Lissu angeleta "vituko" tu!Kama tunabisha na iwe!
IV.Gomea Chakula kuanzia Jtatu🤣🤣Hivi Uliona wapi Mahabusu akigomea Chakula Wakili wake Peter Kibatala amekuja kuitisha Press Conference ili kutangaza tukio Hilo! Hii ni Cheap Publicity/Propaganda!Michezo ya KITOTO kabisa mbele ya Serikali hii!Why this?🤷🏻♂️🤷🏻♂️
NINI KINATAFUTWA HAPA?👇🏿👇🏿👇🏿
Hii ni "mind game" ambayo Mimi niliiona toka day one kwamba kinachotafutwa hapa ni kuingiza "king" Serikali ikurupuke kuja na mabadiliko kwa maslahi ya kundi lile!Mzee Joseph Warioba Jana anasema tunaweza kufanya mabadiliko ya kanuni bila hata Bunge kuhusika!Haiwezekani!
Akiwa kwenye mchezo huo wa kuwatafutia "njia " ya Bargain,Mzee Jaji Mstaafu Warioba Jana amesikika akimtaka Mh Rais Samia Suluhu Hassan kuwaita Chadema na CCM wakae mezani kujadili Reforms 🤣🤣🤣 kwa kisingizio cha amani kutoweka!
Waziri Mkuu Mstaafu anakamilisha kimbinu mpango huo mchafu wa Chadema kwa kuomba "bargain" ya ule mpango MZIMA wa No Reforms No Election!Dah!
Unajiuliza hivi yanayofanywa na hawa watu yangewekana wakati wa Hayati John Magufuli?Mzee Warioba Jana kaitaja wazi Timu ya kukusanya Maoni ya Mzee Profesa Mkandala sasa unashangaa kwamba Mzee anataka nini tena kama anakiri kuwa kuna reformation zimefanyika chini ya Profesa Mkandala?🤷🏻♂️🤷🏻♂️
Amani ya Nchi hii italindwa kwa "amani" na ikibidi kwa "nguvu" dhidi ya watu wachache ambao wengine hata familia zao hazipo Nchini Tanzania!
TANZANIA KWANZA!