Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kabla siajaenda mbali sana, ninaomba nianze kwa kusema kwamba nimepata fadhaha kubwa jinsi ya Kuwaita nyinyi wote mliokusanyika hapa katika ukumbi huu kama baraza kuu la Taifa la chama chetu...
40 Reactions
82 Replies
12K Views
Watanzania kama mnakumbuka, moja ya kauli ya kibaguzi ni ile iliyowahi kutolewa Mwanza na Bwana yule akiagiza wakazi wa huko wasibomolewe kwa sababu eti walimpigia kura wakati Dar-es-Salaam watu...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Mpaka muda huu, nashindwa kuwaelewa Nyalandu na wenzake kwani nyakati zinambeba Lissu kwa asilimia 100. Kwa hali ilivyo, ingekuwa ni katika nchi za wenzetu,mfano US, mtu kama Nyalandu naamini...
16 Reactions
142 Replies
11K Views
*Kutoka Mlimani City* Mbunge Wa Mlimba Susan Kiwanga Anusulika Kipigo Kutoka Kwa Vijana Wa Chadema Wakiongozwa Na Francis Garatwa,Akituhumiwa Kumfanyia Kampeni Nyalandu Mama anataka kuchomoa...
9 Reactions
65 Replies
8K Views
Nimefuatilia kimyakimya lakini kwa umakini mkubwa shauri la Lissu Mahakama Kuu ya Tanzania kuhusu Ubunge wake. Kuanzia siku alipowasilisha Maombi yake hadi leo ulipotolewa uamuzi wa kuyatupilia...
13 Reactions
39 Replies
7K Views
Baada ya kutoka na Tundu Lissu kama mgombea Urais kwa upande wa CHADEMA hiyo ilikuwa sahihi na jambo tulilolitegemea. Kuhusu mgombea mwenza Salum Mwalim hapo nawapa pole huyo jamaa aliwaponza...
0 Reactions
1 Replies
740 Views
Habari kutoka huko jimboni Kilombero hali ya mtoto wa mjini Lijualikali ni tete kisiasa. Baada ya kuunga mkono juhudi kuangukia mikononi mwa spana za wajumbe wa CCM na kuambulia kura 2 ameamua...
72 Reactions
217 Replies
25K Views
Kwa maneno yao, wameonewa kiasi cha kutosha, wamefungwa kiasi cha kutosha, wamepigwa risasi kiasi cha kutosha. Wako tayari kuingia barabarani watakapo dhurumiwa kura. Sasa basi. Imetosha.
12 Reactions
31 Replies
3K Views
Tumaini la wafuasi wa siasa za Upinzani wa vyama vya siasa nchini na katika uchaguzi 2020 ni Comrade Tundu Lisu . Kwa mtizamo wa wengi na kwa utafiti niliofanya, Lisu is the last breath, any other...
9 Reactions
47 Replies
3K Views
Sio siri wala sio kificho ni kuwa ule mchakato wa vyama ambavyo nia yao kubwa ni kukamata dola wataanza kutongoza wananchi ili wakubalike kwa wanachi utaanza hivi karibuni. Lakini swali kubwa la...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Kwa upande wa CCM inaeleweka chama hicho kina rasilimali za kutosha hivyo mkoa unaweza kugharamia shughuli zote za kampeni ya Rais katika mkoa husika. Nauliza kwa upande wa CHADEMA na ACT...
1 Reactions
44 Replies
3K Views
Kauli hii ya Nyalandu inatoa picha gani? Kuna nini anachokihofia kuelekea kura za maoni kumpata mgombea urais CHADEMA? Kwa kauli hii atakubaliana na matokeo kweli ikiwa hatochaguliwa?
9 Reactions
72 Replies
8K Views
Lissu ni Mwanaharakati, hafai kupewa madaraka ya juu kama Urais. Anaweza kufaa Sana akiwa Waziri Mkuu, Mkurugenzi WA TAKUKURU, Spika wa Bunge, Jaji Mkuu, Mwanasheria Mkuu wa Serikali au Waziri wa...
18 Reactions
161 Replies
12K Views
TUNDU LISSU akae chini atulize kichwa ajiulize kuwa kwa nini chama hakimpi heshima anayoistahili ya kupita bila kupingwa? Chama kinajua ukweli kuwa Tundu Lissu amepoteza sifa za kuomba ridhaa ya...
12 Reactions
73 Replies
7K Views
WABUNGE WALIOANGUSHWA KURA ZA MAONI 1. Harrison Mwakyembe – Kyela 2. Angela Kairuki – Same Magharibi 3. Maulid Mtulia – Kinondoni 4. Abdalah Mtolea – Temeke 5. Omary Badwel – Bahi 6. Juma Nkamia...
16 Reactions
78 Replies
13K Views
Sasa ni Rasmi. Chama kikuu Cha upinzani nchini CHADEMA kitaanza vikao vyake kwa siku 3 mfululizo kuanzia Jumapili tarehe 2 mpaka Jumanne tarehe 4 katika ukumbi maarufu nchini wa Mlimani City...
21 Reactions
205 Replies
19K Views
Joshua Nassari amechukua fomu ya kuomba kupeperusha bendera ya CCM katika jimbo la Arumeru. Joshua Nassari aliwahi kuwa mbunge wa Arumeru kupitia tiketi ya CHADEMA na baadae alivuliwa ubunge na...
8 Reactions
96 Replies
11K Views
Hatimaye dimba limekamilika kwa ajili ya vikao vya kuanzia hapo kesho. Kila kitu kimezingatiwa ikiwemo taratibu za kujikinga na Corona. Picha za awali zilizotumwa (Isipokuwa ya meza kuu ambayo...
19 Reactions
95 Replies
13K Views
Umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu wana CHADEMA kwa umoja wetu ni lazima tukae na tufikiri kwa kina Bwana B Membe tumpishe kwa nafasi ya Urais na Ndg yetu Lissu aje kukaa kwa nafasi ya Uwaziri...
4 Reactions
113 Replies
8K Views
Huko nyuma niliwahi kuandika ujio wa Bernard Membe ndani ya ACT na hatma ya coalition au ushirikiano wa vyama vya Siasa. Nilieleza kwamba Membe ameingia ACT-Wazalendo akiwa tayari na uamuzi wa...
0 Reactions
0 Replies
717 Views
Back
Top Bottom