Uchaguzi 2020 Tundu Lissu haijui vizuri siasa, wamjenge kisaikolojia asije kupata tena maumivu mengine

Nigrastratatract nerve

JF-Expert Member
Sep 4, 2019
1,395
3,899
TUNDU LISSU akae chini atulize kichwa ajiulize kuwa kwa nini chama hakimpi heshima anayoistahili ya kupita bila kupingwa?

Chama kinajua ukweli kuwa Tundu Lissu amepoteza sifa za kuomba ridhaa ya kuchaguliwa nafasi yoyote ya kisiasa kwa kukiaka masharti ya watumishi wa umma baada ya kuvuliwa nafasi ya Ubunge.

Lissu ni mwanasheria mzuri anaujua ukweli ila anataka kulazimisha kinyume na utaratibu ili ionekane kwamba ameonewa ili hali anajuaa wazi kuwa hawezi kuwa mgombea kwa miaka hii mitano.

CHADEMA wanashindwa kumwambia Lissu ukweli kwamba ameshapoteza sifa za kugombea nafasi yoyote ya kisiasa Tanzania.

CHADEMA wangekuwa hawana hvy vizingiti Tundu Lisu angekuwa mwenyewe.

Kingine Tundu Lisu ana kesi nyingi zinazomkabili ukizingatia kuwa tarehe 26/08/2020 ana kesi ina msubiri mahakamani.

Vyote hivi vikwazo vinawapa shida sn CHADEMA kuamua hatima ya ugombea wa Lisu wakicheza wanaweza kukosa mgombea kabisa wanaweza wakalichukulia poa hili jambo lakini ndivyo ilivyo.

Lakini pia kuna habari za chini ya kapeti zinazoonyesha kuwa wale mabwenyenye wa wa Chama hawamtaki Lisu kwa aina ya siasa zake zenye msimamo mkali.

Tundu Lissu atulize akili sana ajiandae kwa lolote.
 
Mtoa mada Ni mpuuzi, kupita bila kupingwa ndo heshima? Nini maana ya demokrasia?
Ukweli unauma sana hata hvy CCM ya Leo hata akigombea yeyote nakuhakikishia CCM itajipunguzia ushindi ww unadhani Tundu Lisu hata apitishwe atakuwa na hoja gani zaidi ya kusema alipigwa risasi 16. Hili nalo ni kosa jingine alipaswa kutoongelea kabisa shambulio lake aziachie mamlaka ndizo zenye uwezo wa kujua hayo yote.
 
Huo ni woga tu! Ni vizuri utumie muda huu kumshauri M\kiti wenu wa CCM manake kila uchwao anatia aibu.

Sisi tunasimama na Lissu this October.
Ukweli unauma sana hata hvy CCM ya Leo hata akigombea yeyote nakuhakikishia CCM itajipunguzia ushindi ww unadhani Tundu Lisu hata apitishwe atakuwa na hoja gani zaidi ya kusema alipigwa risasi 16. Hili nalo ni kosa jingine alipaswa kutoongelea kabisa shambulio lake aziachie mamlaka ndizo zenye uwezo wa kujua hayo yote.
 
Acheni hofu wakuu mbona mmekuwa mkifanya siasa miaka mitano iiyopita lakini mnawaogopa watu waliokuwa kimya muda wote huo?
Ukweli unauma sana hata hvy CCM ya Leo hata akigombea yeyote nakuhakikishia CCM itajipunguzia ushindi ww unadhani Tundu Lisu hata apitishwe atakuwa na hoja gani zaidi ya kusema alipigwa risasi 16. Hili nalo ni kosa jingine alipaswa kutoongelea kabisa shambulio lake aziachie mamlaka ndizo zenye uwezo wa kujua hayo yote.
 
Nadhani unajua kuwa mtu kuwa na kesi nyingi sio kigezo kabisa cha kumkosesha kugombea. Mtuhumiwa atabaki bila hatia hadi hapo mahakama itakapoamua vinginevyo!
Ukweli unauma sana hata hvy CCM ya Leo hata akigombea yeyote nakuhakikishia CCM itajipunguzia ushindi ww unadhani Tundu Lisu hata apitishwe atakuwa na hoja gani zaidi ya kusema alipigwa risasi 16. Hili nalo ni kosa jingine alipaswa kutoongelea kabisa shambulio lake aziachie mamlaka ndizo zenye uwezo wa kujua hayo yote.
 
Hahahaha ila kwanini mnajitoaga ufahamu sana? Kama hii ni analysis nzuri basi ni sahihi PhD holder kulipwa laki tano
Ukweli unauma sana hata hvy CCM ya Leo hata akigombea yeyote nakuhakikishia CCM itajipunguzia ushindi ww unadhani Tundu Lisu hata apitishwe atakuwa na hoja gani zaidi ya kusema alipigwa risasi 16. Hili nalo ni kosa jingine alipaswa kutoongelea kabisa shambulio lake aziachie mamlaka ndizo zenye uwezo wa kujua hayo yote.
 
Lissu anakuhusu nini?

Back
Top Bottom