Utabiri wangu 2020: Ni Dr. John Pombe Magufuli (CCM) na Wakili Msomi Tundu Antipas Lissu (Upinzani) Urais. Tuwafuatilie; tuwachambue na tuwachague!

Petro E. Mselewa

Petro E. Mselewa

Verified Member
Joined
Dec 27, 2012
Messages
8,974
Points
2,000
Petro E. Mselewa

Petro E. Mselewa

Verified Member
Joined Dec 27, 2012
8,974 2,000
Nimefuatilia kimyakimya lakini kwa umakini mkubwa shauri la Lissu Mahakama Kuu ya Tanzania kuhusu Ubunge wake. Kuanzia siku alipowasilisha Maombi yake hadi leo ulipotolewa uamuzi wa kuyatupilia mbali mapingamizi ya awali ya Serikali, nimefuatilia.

Ukitazama muitikio wa watu kuhudhuria shauri la Lissu Mahakama Kuu; majopo yaliyoshiba ya Mawakili Wasomi wa pande zote za shauri na jinsi uamuzi wa leo ulivyopokelewa mahakamani na kwingineko, utakubaliana nami kuwa Lissu si tu ni maarufu ila ni mtu 'mzito' kwenye uga wa kisiasa wa Tanzania.

Bila kuzingatia kitakachotokea mwisho wa Maombi ya Msingi ya Lissu yanayoendelea kuishi Mahakama Kuu ya Tanzania baada ya Uamuzi wa Jaji Matupa leo wa kutupilia mbali mapingamizi ya Serikali, shauri hilo limeshatoa picha kumhusu Lissu: si mtu wa kubezwa.

Natabiri kuwa Lissu atagombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mwaka 2020 kupitia chama chochote cha upinzani na atakuwa mpinzani mkuu wa mgombea wa CCM ambaye natabiri atakuwa Rais wa sasa Jemedari Dr. John Pombe Magufuli.

Kwakuwa tumeshawajua, tuwafuatulie na tuwachambue uimara na udhaifu wao kwa staha na kwenye mtazamo wa kujenga nchi yetu pendwa ya Tanzania. Muda ukifika, tumchague Rais wetu wa Tanzania kwa miaka miaka mitano ijayo kuanzia mwaka 2020.

Muda ukifika na utabiri wangu kutimia, nitamchagua wa kusimama naye!
 
Cybergates

Cybergates

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2016
Messages
323
Points
1,000
Cybergates

Cybergates

JF-Expert Member
Joined Dec 2, 2016
323 1,000
Mimi huwa sipendi mambo ya siasa wala chochote kinacho husiana, nilijua kubadilisha system ni mpaka ma admin wakubali whatever happen mda huo ntakua singapore ntakua nakoment jf kujua nini kinaendelea kwa Tz wenzangu
 
Mdomo bakuli

Mdomo bakuli

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2017
Messages
2,851
Points
2,000
Mdomo bakuli

Mdomo bakuli

JF-Expert Member
Joined Jan 7, 2017
2,851 2,000
Lumumba wanalitambua hili mkuu na ndo maana unaona wanakosa usingizi kabisa.
Shikamoo TL pamoja na risasi zote hizo miguuni lakini bado hukati tamaa!
We ni mfano wa kuigwa na kijana mpambanaji katka kutafuta maisha.
 
Baba Swalehe

Baba Swalehe

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2017
Messages
14,193
Points
2,000
Baba Swalehe

Baba Swalehe

JF-Expert Member
Joined Jun 6, 2017
14,193 2,000
Always life favors those who are prepared in mind

Hakuna pingamizi lissu angeshinda uchaguzi wa mwakani but kwatume ipi hii ya ccm ?
 
mjingamimi

mjingamimi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2015
Messages
17,810
Points
2,000
mjingamimi

mjingamimi

JF-Expert Member
Joined Aug 3, 2015
17,810 2,000
Huu ni uchuro.
Lisu ana kesi haijaisha kusema haya ni kumchuria.maana watawala watazidi kutaka kumbana.
Watawala wenyewe wana Meno ya mamba
 
K

Kalamu1

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2018
Messages
3,348
Points
2,000
K

Kalamu1

JF-Expert Member
Joined Jul 7, 2018
3,348 2,000
Kuna lipi la kuchambua tena hapa?

Lissu ajirekebishe tu kwa hayo mapungufu yake, basi inatosha.
 
J

JokaKuu

Platinum Member
Joined
Jul 31, 2006
Messages
16,486
Points
2,000
J

JokaKuu

Platinum Member
Joined Jul 31, 2006
16,486 2,000
..JPM ni sgr, stieglers, na ndege.

..sasa TL au ZK itabidi waweke kete zao mezani.

..baada ya hapo ndiyo wananchi wafanye maamuzi.
 
BAK

BAK

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2007
Messages
97,743
Points
2,000
BAK

BAK

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2007
97,743 2,000
Huwezi ukamfananisha anayejiita kichaa na Lissu ni kama kutaka kufanananisha usiku na mchana. Hakuna ushindani lakini kwa sababu ni chaguzi FAKE chini ya Tume FAKE na polisiccm mshindi anajulikana lakini kama uchaguzi ni huru na wa haki bugirichato hawezi kusimama na Lissu kwenye uchaguzi wowote ule.

Nimefuatilia kimyakimya lakini kwa umakini mkubwa shauri la Lissu Mahakama Kuu ya Tanzania kuhusu Ubunge wake. Kuanzia siku alipowasilisha Maombi yake hadi leo ulipotolewa uamuzi wa kuyatupilia mbali mapingamizi ya awali ya Serikali, nimefuatilia.

Ukitazama muitikio wa watu kuhudhuria shauri la Lissu Mahakama Kuu; majopo yaliyoshiba ya Mawakili Wasomi wa pande zote za shauri na jinsi uamuzi wa leo ulivyopokelewa mahakamani na kwingineko, utakubaliana nami kuwa Lissu si tu ni maarufu ila ni mtu 'mzito' kwenye uga wa kisiasa wa Tanzania.

Bila kuzingatia kitakachotokea mwisho wa Maombi ya Msingi ya Lissu yanayoendelea kuishi Mahakama Kuu ya Tanzania baada ya Uamuzi wa Jaji Matupa leo wa kutupilia mbali mapingamizi ya Serikali, shauri hilo limeshatoa picha kumhusu Lissu: si mtu wa kubezwa.

Natabiri kuwa Lissu atagombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mwaka 2020 kupitia chama chochote cha upinzani na atakuwa mpinzani mkuu wa mgombea wa CCM ambaye natabiri atakuwa Rais wa sasa Jemedari Dr. John Pombe Magufuli.

Kwakuwa tumeshawajua, tuwafuatulie na tuwachambue uimara na udhaifu wao kwa staha na kwenye mtazamo wa kujenga nchi yetu pendwa ya Tanzania. Muda ukifika, tumchague Rais wetu wa Tanzania kwa miaka miaka mitano ijayo kuanzia mwaka 2020.

Muda ukifika na utabiri wangu kutimia, nitamchagua wa kusimama naye!
 
MVB Jr

MVB Jr

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2016
Messages
370
Points
1,000
MVB Jr

MVB Jr

JF-Expert Member
Joined Sep 16, 2016
370 1,000
Masahihisho : Kamati kuu ya ccm kwa kauli moja imekubaliana kutopitisha jina la Magufuli , japo tunafahamu Lissu atawakilisha wapinzani lakini kwa ccm siyo uliyemtaja
Mkuu kupata vichekesho kama hivi unapiga ngapi....
 
Proved

Proved

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2018
Messages
5,401
Points
2,000
Proved

Proved

JF-Expert Member
Joined Sep 10, 2018
5,401 2,000
Masahihisho : Kamati kuu ya ccm kwa kauli moja imekubaliana kutopitisha jina la Magufuli , japo tunafahamu Lissu atawakilisha wapinzani lakini kwa ccm siyo uliyemtaja
Ccm ipi hiyo mkuu? Hii ya kina Musiba?😂😂😂
 
Forum statistics

Threads 1,335,212
Members 512,271
Posts 32,499,239
Top