Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hivi juzi aliyekuwa Rais wa Ufilipino, Bwana Rogrigo Duterte amekamatwa akiwa uwanja wa ndege wa nchi yake kutokana na operesheni zilizofanyika akiwa Rais za kuwaua Watuhumiwa wa Dawa za Kulevya...
22 Reactions
109 Replies
5K Views
Anasema hawana ugomvi na Chadema , wakati huo huo serikali anayoiongoza/inayoongozwa na chama chake ambacho yeye ni namba 4 in power hiarachy kwenye chama kinachoongoza serikali inalalamikiwa na...
2 Reactions
11 Replies
999 Views
Kumbe pamoja na chawa kujigamba kuwa hatutegemei mabeberu, Umoja wa ulaya unatoa msaada Kwa Tanzania almost 1.2 trillion. Tetesi zilizopo ni kuwa kwenye resolutions siku ya may 08, Kuna asilimia...
15 Reactions
52 Replies
3K Views
1. Nani mmiliki halali wa gesi ile ya Mtwara? 2. Serikali inalipwa in terms of kodi au ilishalipwa kwa mauziano ya moja kwa moja, au mwekezaji kawa mmiliki mpangaji kwamba serikali itakabidhiwa...
13 Reactions
52 Replies
3K Views
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), CPA Amos Makalla, amesema kukamilika kwa miradi mikubwa ya kimkakati nchini, ikiwemo Reli ya...
0 Reactions
6 Replies
505 Views
Huyu Jamaa Ni mtu hatari Sana kwenye siasa za upinzani,ukifatilia historia yake ya usaliti,kuvujisha texts,misimamo yake, utagundua kua anakula meza moja na watesi.. katika maandamano yake ya Jana...
8 Reactions
51 Replies
2K Views
Mfano wa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Mchonga meno bado unaishi.. Ni ule mfano wa kugawa madini ya thamani ya Almasi na kubadilishana na kipande cha chupa na kujiona...
5 Reactions
32 Replies
7K Views
Huo ni ushauri wangu kwa huyu jamaa ambaye kimsingi nayeye namuona ni mropokaji asiye chuja maneno yake kwa kina
11 Reactions
16 Replies
954 Views
Katibu mkuu wa CCM Mzee Kinana alikuwa analia sana na hawa incompetent Mawaziri na akawaita Mizigo Shujaa Magufuli yeye akawa anawatumbua Naona Ruto yeye kaanzisha Cabinet Kivuli kwa kuteua...
3 Reactions
10 Replies
422 Views
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa, amelipongeza Jeshi la Polisi kwa juhudi zake katika kufuatilia na kuchukua hatua dhidi ya matukio mbalimbali ya kihalifu, ikiwemo tukio la...
0 Reactions
37 Replies
4K Views
Baba Askofu Dr. Isaac Kissiri Ukitaka kujua kuwa tumefika Mahali pabaya Sana tazama; 1. Ilivyo rahisi kumpiga kiongozi wa dini anayetetea maadili, Sheria, haki na amani na badala ya kushughulika...
20 Reactions
36 Replies
2K Views
Hellow! Yanayoendelea SI ya bahati mbaya, ni matokeo ya ushindi Katika ule ulimwengu wa Roho, kilichobaki ni udhihirisho tu Katika ulimwengu wa mwili. Tulipoonyeshwa juu ya ajaye, tuliangalia...
10 Reactions
86 Replies
5K Views
Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, CPA Amos Makalla, amesema Chama Cha Mapinduzi (CCM) hakina mgogoro na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na kumwomba Waziri Mkuu Mstaafu...
2 Reactions
66 Replies
5K Views
Mkienda katika uchaguzi kila chama kinapigania nafasi yake, wapinzani tunapaswa kuungana"-Ado Shaibu - Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi...
1 Reactions
5 Replies
665 Views
Rais Samia Suluhu amesema Mwaka huu ni mwaka wa jambo kubwa, nchi yetu inakwenda kwenye uchagazi mkuu niwaombe mtumie kalamu zenu kuhamasisha umoja, amani na mshikamano nchini. Ameyasema hayo leo...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Raisi Mstaafu pekee akiwa Bubu kama Kikwete kwenye hali hii ni hatari. Hizo fujo na ukosefu wa haki halafu tuna Raisi mmoja tu mstaafu wa Tanzania hasemi kitu! Watu wengi wana ona ni kama vile...
17 Reactions
71 Replies
3K Views
Huu ndio ukweli wenyewe. Hebu tuchangie bila povu wajameni. Video kwa hisani ya MwanaHALISI
17 Reactions
120 Replies
17K Views
Urafiki wa Mkapa na Magufuli ulikuwa na siri nyingi. Kubwa kuliko ni kuuzwa kwa nyumba za serikali zenye thamani ya mabilioni ya shilingi kwa pesa kiduchu Mchakato huu ukifanyika JPM na JK...
20 Reactions
63 Replies
4K Views
Sijawasikia wanasema wataenda mahakamani kesho. Na John Heche amekwenda mbali kabisa na mahakama inavyowezekana,kwa sababu amekwenda Mara. Na Tundu Lissu anasema anataka kupelekwa mahakamani...
0 Reactions
7 Replies
552 Views
Hii miezi miwili. May na June 2025, ni miezi ya kuombea amani ya nchi, uvumilivu, na kubwa kuliko yote ni kuanza maridhiano kati ya jamii na hasa kisiasa. Tuliyoyaona katika kipindi hiki cha...
7 Reactions
21 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…