Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ndugu zangu Watanzania, Napenda kuwaambieni ya Kuwa Taifa letu na Nchi yetu chini ya Nahodha wetu Maridadi na Hodari Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli...
1 Reactions
54 Replies
2K Views
Kupitia ukurasa wake wa X, Emmanuel Ntobi ameeleza kuwa amesikia msimamo wa waliojiondoa lakini yeye hana nia ya kujiondoa. Ikumbukwe kuwa Ntobi alikuwa team Mbowe wakati wa kampeni, na alitoa...
1 Reactions
1 Replies
480 Views
Makabuli weusi nawaona wakianza kutafutana na hasa yule FW de Klerk mweusi wa Tanzania. Ni wakati sasa wakuwanyosha hawa Makabulu na sana kiongozi wao FW de Klerk anapaswa kufundishwa utawala wa...
8 Reactions
41 Replies
3K Views
Urais ni mamlaka ya juu kabisa hapa Duniani, chini yake unaongoza watu wa Kila aina ,wanaokutizama wee kama TUMAINI LAO LA MWISHO. Rais anafaa muda wote kusikiliza Busara, Hekima na mashauri ya...
18 Reactions
42 Replies
3K Views
Mwaka huu serikali itakamilisha upembuzi yakinifu kwa ajili ya ujenzi wa barabara saba za juu (flyover) ktk jiji la Dar es Salaam. Barabara hizo zitajengwa ktk maeneo ya Chang’ombe, Uhasibu...
8 Reactions
165 Replies
30K Views
Mimi ni mzalendo na mwana CCM kindakindaki nashauri mamlaka iwapo kesi hii haina uzito wa ushahidi wa serikali kushinda kesi hii basi Tundu Lissu aachiwe tuendelee na mambo mengine, itamjenga...
12 Reactions
63 Replies
3K Views
REA alishindwa kufanya utafiti wa mahitaji umeme kama inavyotakiwa na badala yake ilitegemea takwimu zilizopitwa na wakati, hali iliyosababisha makadirio yasiyo sahihi ya mahitaji ya umeme. Pia...
1 Reactions
9 Replies
881 Views
Watanzania wote naomba twende kwenye pages za Bunge la EU kwenye mitandao ya kijamii tuwaombe hiyo kesho kutwa baada ya mjadala wao watoe azimio kuiomba Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai...
22 Reactions
66 Replies
3K Views
Wakuu, Mei 5 Serikali ya Tanzania ilisaini hati 3 za makubaliano na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) kwa mpigo; 1. Rais Samia na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Umoja wa Falme za...
2 Reactions
7 Replies
824 Views
Majadiliano ya Kidiplomasia kati ya Tanzania na Malawi yaliyofanikisha kusainiwa Tamko la Pamoja (Joint Communiqué) tarehe 2 Mei 2025 la kuendelea na biashara za bidhaa mbalimbali ikiwemo mazao ya...
0 Reactions
2 Replies
307 Views
Serikali lazima itoe tamko kwenye hili jambo. Wenyewe wanaita Miradi Misonge ( Vertical Programs) , dawa na vifaa tiba chini ya hii miradi ipo kwa Ufadhili wa USAID kwa zaid ya 80%. ARVs, TB...
9 Reactions
119 Replies
4K Views
Bunge la 12 Mkutano wa 19 Kikao cha 19 Mei 7, 2025 Orodha ya shughuli za leo; Hati za kuwasilisha mezani Maswali Hoja za serikali https://www.youtube.com/live/Z7LMt6ndXVk?si=u8pvAkprKa6Kt03l...
0 Reactions
1 Replies
585 Views
Hii hospitali ya Mnazi Mmoja ina umuhimu mkubwa sana jijini hasa kwa wananchi wa chini. Jamani uongozi mjitathmini. Watumishi wengi mno ni kama mko pale kupoteza muda. 1. Huduma ya madaktari...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Tulikuwa tunapata wakati mgumu anapofanya ziara kwenye maeneo yetu kwa sababu atakufahamuje bila kumsifia hata kiulaghai tu Wale Watangulia msafara waliomba kusikiliza nyimbo na ngonjera...
2 Reactions
4 Replies
319 Views
Kwamba kwa ajili ya haki tunabidi kuchagizwa kweli kweli na sasa kutokea nje ili Lissu awe huru, kina Mdude, Soka, Kipanya na wengine mlio nao kinyume cha ubinadamu wapatikane wakiwa hai...
0 Reactions
2 Replies
412 Views
Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mhe. Zaina Telack ameridhishwa na hatua ya ujenzi wa Tawi la Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam kinachojengwa Ngongo - Ruangwa Lindi ambapo upande wa Ngongo ujenzi umefikia 45% na...
0 Reactions
2 Replies
431 Views
Kama ukifuatilia siasa zilivyoenda kwa trump hadi kushinda uraisi ni pamoja na kesi zilizokuwa ziki mkikabili kumpush hadi ikulu na kufanya uchaguzi ule kufuatiliwa zaidi duniani. Tukiangalia...
3 Reactions
13 Replies
858 Views
Kama mlivyosikia mahakama hatimaye dakika za jioni kabisa imekubali hoja za mawakili wa Lisu .. Sasa iko Hivi.. Serikali na Sisiemu sio wajinga kukubali mpira uende kati kizembe. Wanakuja na...
13 Reactions
64 Replies
5K Views
TEF yaonya waandishi wa habari kesi ya Lissu 02 May 2025 Picha: Mpigapicha Wetu Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Balile akizungumza na waandishi wa habari. Mwenyekiti...
3 Reactions
49 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…