Kwa miaka ya karibuni zimesikika kauli mbali mbali kutoka kwa viongozi wa serikali juu ya wahitimu wa vyuo vikuu Tanzania kwamba elimu yetu ni ya kukariri, elimu yetu inazalisha graduates...
Hivi kuna mbunge huko amewahusisha JWTZ kwenye azimio lililotolewa na watu wa ulaya kuhamasisha mabadiliko ya haki nchini hebu naomba JamiiCheck mnisadie kupata majibu.
Yani mtu amekushauri wewe...
Mbunge Mama Masubiri akichangia hoja bungeni amesema kuna viongozi wanawafahamu ni mashoga ndio maana kuna ukakasi kwenye kukemea jambo hilo
Mbunge Mama Masaburi amesema zamani wao ukizaa mtoto...
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC) anayeshughulikia Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla amesema ushindi mkubwa wa CCM katika maeneo mbalimbali ni ushahidi wa wananchi...
TAMKO LA UBALOZI KUHUSU SHAMBULIO
DHIDI YA PADRI CHARLES KITIMA
Kufuatia shambulio la kushtua na la kikatili dhidi ya Padri Charles Kitima, tunaungana na Watanzania na kutoka kila upande wa...
Kama anawashangaa wanasheria vivyo hivyo na wao wanamshangaa kwa kushindwa kujenga hoja na kuleta hisia zake za nyumbani.
Na nimshauri tu kwamba kaa mbali na hao watu, jamaa wakitoka arusha...
let me spit some real sh*t right now coz this ain't no joke! Tanzania tumewekwa ndani ya box la ujinga – system ni toxic, watu wanaongoza ni kama wana play video game na maisha yetu. Wanatuchezea...
Pamoja na Waziri Jaffo kuwafukuza kariakoo lakini wachina ndio marafiki zetu kitambo sana
Hawa Ulaya wanadhani Tanganyika bado ipo hivyo wanaweza kutuburuza watakavyo
Jumaa Mubarak 😁🇹🇿
Kwa kweli uongozi wa TFF na Bodi ya Ligi una changomoto kubwa sana hasa kutokana vilabu vya Yanga na Simba. Uongozi wao siyo imara. Ninauliza muda wa uongozi wao unaisha lini ili watupishe...
Harakati za kumsaka mahali alipo kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mkoa wa Mbeya, Mdude Nyagali zimeendelea kushika kasi. Makada na viongozi wa Chadema wameendelea kuweka kambi...
Lissu ni shujaa na nibaba wa taifa kama Nyerere ni watu wachache sana wenye moyo kama huu amejitoa maisha yake yote na kuacha familia yake na wapendwa wake kwaajili ya watanzania maskini sasa yupo...
Kwasababu ni wazi,
mpaka sasa matumaini hakuna tena, Tundu Lisu amekata tamaa kabisa. Nguvu ya kisiasa, uwezo wa kiuchmi na ushawishi wa hoja wa chairman mbowe kwa wajumbe hauzuiliki kabisaa wala...
Wanachama wa CHADEMA mkoani Mbeya wamefanya maombi kwa ajili Mdude Nyagali kutoka kwenye kambi ya kumtafuta iliyowekwa Ofisi za Chama kanda Mbeya.
Pi, Soma: RC Mbeya atoa TSh 5 Milioni kwa...
RAIS DANIEL CHAPO AWASILI ZANZIBAR KWA ZIARA YA KIKAZI
Rais wa Msumbiji Mheshimiwa Daniel Chapo tayari amewasili Zanzibar akitokea Jijini Dar Es Salaam ambapo akiwa Zanzibar atakua na ziara fupi...
Licha ya kuwa kiunganishi muhimu kati ya mikoa ya kusini na jiji la Dar es Salaam, barabara ya Somanga–Mtama bado ni kizungumkuti, hali inayosababisha usumbufu mkubwa kwa wasafiri, wafanyabiashara...
Takwimu zinaweza kutofautiana kutokana na chanzo cha taarifa na sababu zinginezo.
Kwa mujibu wa IMF, GDP ya Tanzania ni dola [za Kimarekani] bilioni 85.
Kuna watu huwa wanadai Tanzania kuna hela...
MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA KUFIKIA 75% MWAKA 2030 - DKT. BITEKO
📌 Dkt. Biteko akutana na Balozi wa Japan nchini
📌 Tanzania na Japan kuendelea kuimarisha ushirikiano wake
📌 Dkt. Biteko...
Wakuu,
Baada ya Tuzo za Kalamu ya Samia Mhariri wa Gazeti la Daily News alirusha jiwe angani, akasema, wenye D mbili na hata wale wenye F wameelewa. Maana kilichofanyika pale ni kuzika uhuru wa...