Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Unashauri chadema watumie mbinu za kisiasa kudhibiti nyufa zaidi za kudhoofisha chama hicho, hasa ukizingatia chadema haina sifa wala vigezo vya kisheria kushiriki chaguzi zozote za kisiasa humu...
2 Reactions
53 Replies
1K Views
Wakuu, TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uhamisho na uteuzi wa viongozi mbalimbali. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa...
6 Reactions
103 Replies
15K Views
MaCCM wajue, sisi siyo wajinga... waache upumbavu. CCM wanakataa ushoga mdomoni, wanakubali ushoga kwenye makaratasi na mikataba ya kulinda haki za mashoga wanasaini. CCM ni walaghai wasiotaka...
10 Reactions
38 Replies
2K Views
Afrika imejaliwa raslimali zote kuanzia ardhi, watu, hali nzuri ya hewa isipokuwa haikujaliwa viongozi wenye akili na visheni. Japo tukiambwa ukweli tunacharuka na kujitutumua wakati tu wa...
5 Reactions
27 Replies
1K Views
Ile siku ya majonzi na vimbwanga kwa kada dhoofu ualimu imefika. Waalimu watasombwa kama mihogo wakiwa na matishirt yao ya CWT wakiwa wamepauka na kukomdeana, wataandaliwa lisala ya kumsifia mama...
6 Reactions
18 Replies
954 Views
Mke wa Mdude_Nyagali akilia kwa uchungu muda baada ya Polisi kufika nyumbani kwa Mdude kufanya Uchunguzi. Mtoto aliyebeba ndo mtoto wao. Polisi wanataka kumtenganisha huyu Dada na mmewe lakini...
25 Reactions
143 Replies
10K Views
Je, mchafu anachafuka tena? Hapana! Je, mchafu anachafuliwa tena? Jibu pia ni hapana. Kutoka jina jema kabisa la chama cha wanaolima na wanaofanya kazi, kuendea majina mengine kama Chama cha...
17 Reactions
48 Replies
2K Views
Tunashuhudia baadhi ya viongozi wa Chadema wameanza kuhaha Huku na kule, wengine kumpigia simu mwenyekiti mstaafu kumuuliza, uelekeo wake kisiasa, huku ajenda kuu ya Chama kwa sasa ikiamia katika...
0 Reactions
1 Replies
238 Views
HEshima yenu wakuu. Kuna kelele zinazosikika usiku huu karibu kinondoni nzima kuanzia makaburini mpaka kinondoni hananasifu mpaka kinondoni manyanya yote.. Kelele hizi zinatokea kwenye...
9 Reactions
18 Replies
1K Views
Hii ndiyo tafsiri ya No Reforms No Election iliyowekwa enzi za Mbowe Sasa ninyi G55 chini ya uongozi wa Mrema tafsiri yenu mmepata wapi? Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea...
14 Reactions
66 Replies
4K Views
GT. Kuna watu.wanakichukulia hiki chama masihara hao watu mi nawaita ni vipofu na hakuna wajualo. Hata huko CCM hawalali wanaposikia No Reform No election wanaijua nguvu ya Chadema. Mkakati wa...
0 Reactions
0 Replies
234 Views
Hilo Bunge la Ulaya wanatuonea wivu SGR yetu na Tuzo za Comedy. Tumestuka. Msaada tutapata Dubai na Morocco
12 Reactions
19 Replies
960 Views
Nimekuta mjadala mkali sana na mwisho ni kutuhumiana. Kwa maelezo yake, kulikuwa na mizengwe lakini alitumia power yake KATIBA iheshimiwe na aliyetajwa na katiba aingie madarakani. Tukampongeza...
3 Reactions
5 Replies
579 Views
Ripoti ya Haki za Binadamu mwaka 2024 inaonyesha matukio ya wasiojulikana kwaukijumlisha matukio ya bara na visiwani Zanzibar, asilimia 80 mpaka 90, kwa ujumla wake wote yanakuwa yanatokea huku bara"
1 Reactions
5 Replies
349 Views
Dkt. Lwaitama awapiga za uso G55, awapa elimu nzito ya utofauti kati ya cheo cha kuteuliwa na kuchaguliwa, asisitiza 'no reforms, no election' Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa...
2 Reactions
2 Replies
664 Views
Nchi yetu bado ipo ktk bado ipo ktk hatua mbalimbali Za kutokomeza umaskini. Wafanyakazi,wafanya biashara,Wenye viwanda na wakulima ndio walipa kodi wakubwa licha ya tax base kuwa finyu. Kila...
8 Reactions
23 Replies
985 Views
Dkt Wilbroad Slaa akizungumza na wananchi wa Bukoba mjini katika ziara ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo ambacho kinakwenda na kauli mbiu ya bila mabadiliko hakuna uchaguzi. Kupata matukio na...
17 Reactions
68 Replies
4K Views
Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, CPA Amos Makalla, amesema kuwa pamoja na mafanikio ya miradi mingi ya maendeleo, amepokea pia changamoto kadhaa zikiwemo za...
0 Reactions
0 Replies
225 Views
Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi, ameonyesha kushangazwa na kimya cha Bunge la Tanzania katika kushughulikia masuala nyeti ya kitaifa, akilituhumu kuwa limekimbia...
16 Reactions
21 Replies
4K Views
Mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA Taifa Godbless Lema akiongea na wananchi wa Bukoba mjini katika ziara yao ya No reforms No Election. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi...
1 Reactions
0 Replies
359 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…