HEshima yenu wakuu.
Kuna kelele zinazosikika usiku huu karibu kinondoni nzima kuanzia makaburini mpaka kinondoni hananasifu mpaka kinondoni manyanya yote..
Kelele hizi zinatokea kwenye msikiti.zilianza mapema saa tatu usiku na mpaka usiku huu mnene bado zinaendelea na kwakweli huwezi kulala.tunaomba msaada zisitishwe ikiwezekana tunaomba kupewa namba za NEMC ili tureport kero hii.