Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania (TAHLISO), Geofrey Kiliba, amewakosoa vikali baadhi ya Watanzania wanaoikosoa na kuidharau elimu ya Tanzania, akisisitiza kuwa...
Nashangaa CCM bado hawajabid kununua JAMBO FORUMS which would come as cheap as peanuts.Unless JF bado haina impact kama invyokuwa hyped. Imagine Mwanakijiji angeweka zile picha...
Close allies of...
Mwanangu Tundu Antipas Lissu Mughwai,
Salamu toka kwa baba yako na wapenzi na mashabiki wako. Nakusalimu kwa jina la Jamhuri yenye haki ya Tanzania.
Japo tunawasikia wakihaha, uzuri ni kwamba...
Swali lako linaelekea kwenye mada nyeti ya kisiasa nchini Tanzania, na linahitaji kutazamwa kwa umakini, kwa kuzingatia ukweli, muktadha wa kihistoria, na mitazamo tofauti.
Kwa nini watu wengine...
Ninezipata sehemu
Kufuatia watu kumwangusha mkuu kwa sekta mbali mbali kuanzia
1. Ubalozi
2. Uwaziri
3. Ukatibu Mkuu
4. Ukuu wa mkoa
5. Ukuu wa wilaya,
Sekta hizo zitaguswa sana, watapukutika...
Binafsi nina Imani sana na Mombo Suleiman, baada ya uteuzi huu Rais Samia tutolee mawaziri wafuatao na Nchi itakwenda tu bila hawa :-
1 . January Makamba
2. Mwigulu Nchemba
3. Nape Nnauye...
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzània Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan wakati akiizundua Sera mpya ya Elimu ya Taifa hilo amezitaka mamlaka zinahusika kuhakikisha mashirikiano baina ya Serikali na...
Wakuu,
Wale wapenzi wa soka la Tanzania, mna salamu zenu huku!
Akiwa anazungumza bungeni leo, Mbunge wa Busega, Simon Lusengekile ametaka mchezo wa mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Bara kati ya...
Dr bashiru aahaidi kumtoa madarakani Zitto Kabwe
======
Katibu Mkuu wa CCM, Dk Bashiru Ally amesema chama hicho tawala nchini Tanzania kinajipanga kuibuka na ushindi wa ubunge katika jimbo la...
Balozi Yakubu akutana na Katibu Mkuu Kiongozi Comoro
Balozi wa Tanzania nchini Comoro Mhe. Saidi Yakubu amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu Kiongozi wa Comoro Mhe. Nour el Fatih Azali...
Siasa ni saikololojia....siasa ni mbinu...siasa ni kufitinishana.
kwa kuwa Ccm kwa makusudi, imeamua kuhamisha attention ya wananchi kuhusu mambo yao muhimu....na kuyaelekeza kwenye kujadili...
UJENZI WA SHULE MPYA YA KISASA YA SEKONDARI - NYAKANAZI.*
Juhudi za mbunge wa biharamulo Mh Eng Ezra John Chiwelesa zinaonekana hapa katani nyakanazi, ujenzi wa shule mpya na ya kisasa ya...
Vijana wetu walijiunga na jeshi la polisi kwaajili ya kuwatumikia watanzania ambao ni ndugu zao na sio raisi wala mkuu wa majeshi pekee kwani hawa ni sehemu ndogo tu ya Tanzania, nchi ni zaidi ya...
Mtu anaeweza kuuwa na kusingizia watu kesi kwasababu ya tamaa za madaraka hapaswi kuaminiwa wala kuungwa mkono hana akili kabisa huyo.
Lazima tuunge mkono kwa wapigania haki na uhuru ndio jambo...
Wahenga walisema, ogopa sana mwanamke aliyeamua kumwacha mumewe, halafu kila siku anamsema huyo aliyekuwa mumewe. Na tena walisema, ogopa sana, na ukimbie kabisa, kama una mahusiano na mke wa mtu...
Moja ya mwananchi wa Somelo, Mkoa wa Ilala amembana Diwani kwa maswali magumu akitaka kufahamu yapi ameyafanya diwani huyo tangu alipoingia madarakani. Wakati muda huo hakuna kilichofanyika hadi...
Wananchi wa Kata ya Kahe Mashariki, wakiongozwa na wazee wa kata hiyo, wamempongeza Mbunge wa Jimbo la Vunjo, Mhe. Dkt. Charles Stephen Kimei kwa kazi nzuri aliyoifanya katika kipindi cha mwaka...
Katika kipindi ambacho baadhi ya wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wamekuwa wakitangaza kuhama na kujiunga na vyama vingine, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa...