Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Makamu mwenyekiti wa CHADEMA John Heche akiongea na wananchi wa Magumu - Serengeti leo Mei 13 kuhusu suala la Msajili wa vyama vya siasa kutotambua uwepo wa cheo cha John Mnyika katibu Mkuu wa...
11 Reactions
20 Replies
2K Views
Mbunge wa Bahi, Kenneth Ernest Nollo ameshauri Serikali kupunguza kodi ya kuingiza simu kutoka nje ya Tanzania ili kuwezesha Watanzania wengi kutumia simu janja kwa kuwa hali hiyo itasaidia...
0 Reactions
0 Replies
314 Views
Mbowe anakwenda Chauma na G55 na kuwa Mwenyekiti. Unadhani upepo wa umati wa watu mikutanoni utabadilika ? Najaribu kufikiri! Naomba maoni yako!
4 Reactions
151 Replies
5K Views
Inadaiwa kuwa kuna mpango wa siri unaohusisha baadhi ya taasisi muhimu za kisiasa nchini, zikiwemo Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Dawati la Siasa Ikulu na baadhi...
9 Reactions
56 Replies
3K Views
Jinamizi la kutoaminiana kwa viongozi waandamizi ndani ya chadema latanda na kuwatia hofu, kiwewe na mashaka viongozi wote waandamizi, wanachama na mashabiki wa chama hicho nchi, na wasijue cha...
-1 Reactions
39 Replies
1K Views
Kwa sababu 2020 hawa akina babu Tale na Kibajaj tuliletewa tu na Shujaa Magufuli basi this time tuchague wabunge wa Ukweli Dunia ya sasa inataka wawakilishi wenye upeo mpana wa kujua na...
0 Reactions
7 Replies
248 Views
Wala haikuwa kazi ngumu kuwaelimisha watu wa Bariadi kuhusu Mpango huu, hii ni kwa sababu hakuna Mahali popote kwenye Nchi hii ambako hakuna Makaburi ya wanachadema waliouawa kwa sababu ya...
7 Reactions
30 Replies
2K Views
Wakuu, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Dodoma Aisha Madoga ametangaza kujivua rasmi uanachama wa Chama hicho kwa madai ya kuwa ameitwa Msaliti baada ya...
0 Reactions
0 Replies
232 Views
Samia asitulazimishe uchaguzi wowote kama utakuwa wa haki basi tufanye mabadiliko kama hataki ni wazi uchaguzi ni wakitapeli. Hatuwezi kushiriki uchaguzi ukawa wa haki ikiwa hata maamuzi ya...
3 Reactions
11 Replies
703 Views
BAZECHA Pwani wanaongea na Waandishi wa Habari https://www.youtube.com/live/C8UctgnFAbg?si=i1BRJLq9o2CFiX0x Mwenyekiti BAZECHA - James Haule Ni kwa mara ya kwanza Kanda ya Pwani kuongea na...
6 Reactions
20 Replies
1K Views
Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina amehoji kuhusu watoa huduma za afya katika hospitali za serikali kuwatoza fedha wanawake wajawazito na watoto chini ya miaka mitano, kinyume cha sheria na kuhoji...
0 Reactions
2 Replies
360 Views
Amani iwe nanyi Wanabodi, Kwa miaka mingi sana tangu kuanzishwa mfumo wa vyama vingi, moja ya mbinu ambayo imekuwa ikitumiwa na CHAMA CHA MAPINDUZI ili kuendelea kubaki mabarakani ni kununua...
36 Reactions
132 Replies
6K Views
Huyu bidada mwanaccm akilalamika uwepo wa Mashoga ndani ya Chama. Kuwa wamezidi kipimo kwa sasa ni wengi. Na haumi umi maneno. Anaongea kwa kujiamini kabisa suala hili ambalo kwa ccm ni la kawaida...
3 Reactions
25 Replies
2K Views
Mbunge wa Dodoma Mjini (CCM), Anthony Mavunde ametangaza katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025 atagombea tena ubunge katika Jimbo jipya la Mtumba, akianisha sababu tatu za kuiacha Dodoma Mjini...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Hawa hapa ni Wakazi wa Kijiji Kimoja tu, kijiji cha Malwilo, Jimbo la Kisesa, wakazi hao wote wamekubaliana na hoja za Chadema, ambapo taarifa hizi zilipomfikia Mbunge wa Jimbo anayeitwa Luhaga...
10 Reactions
28 Replies
2K Views
Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt Philip Mpango akiwa katika ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa 12 wa Kitaaluma wa Waandishi Waendesha Ofisi Tanzania amewakumbusha Wanachama wa TAPSEA kuwa huu mwaka ni wa...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Mkutano wa 19 wa Bunge la 12 unaendelea leo, Mei 16, 2025, jijini Dodoma, ambapo hotuba ya bajeti ya Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari kwa mwaka wa fedha 2025/2026 inawasilishwa na...
1 Reactions
10 Replies
599 Views
Akionekana kutofurahia baadhi ya kauli, picha na maandiko mbalimbali mitandaoni, kwenye kile alichokiita kama Makelele ya mwenye siasa na yenye kuwahusu wanawake wanasiasa, Mwanasiasa Zitto...
2 Reactions
8 Replies
898 Views
Wananchi Tuliomba tume huru wametupa jina tu la tume, tulihamasisha mabadiliko ya haki wakaa sema kwamba ni vurugu, wengine wakapewa kesi za ugaidi na uhaini ni wazi hawapo tayari kwa uchaguzi wa...
0 Reactions
0 Replies
205 Views
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema uchaguzi hauwezi kusogezwa mbele kwani wamejipanga kushiriki uchaguzi na hawawezi kuwa sehemu ya kuvunja katiba, hivyo Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
3 Reactions
15 Replies
881 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…