Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 50,427
- 40,676
Jinamizi la kutoaminiana kwa viongozi waandamizi ndani ya chadema latanda na kuwatia hofu, kiwewe na mashaka viongozi wote waandamizi, wanachama na mashabiki wa chama hicho nchi, na wasijue cha kufanya dhidi ya kinachotokea zaidi ya kuropoka tu.
Haijulikani anaefuata kujiondoa chadema anatoka upande gani. Ama kwa hakika mkakati huo wa G55 wa kustukiza, unawachanganya mno wanachadema.
Viongozi waandamizi na wanachadema wengi wamekata tamaa na wanachama wameukatia tamaa kabisa uongozi mpya ambao ndio haswa unaolalamikiwa kwa kinachotokea Chadema. Wanachadema hawana imani tena na chama hicho ambacho kimepoteza uelekeo na hakionyeshi dalili yoyote ya kutuliza mcheccheto na mashaka ya wanachama wake.
Haijulikani ni kiongozi gani muaandamizi wa kanda, mkoa au wilaya anafuata kujiengua kwa kustukiza na kujivua uongozi na uchadema.
Unashauri Chadema watumie mbinu gani kutuliza moto wa kisiasa wa g55 ambao unaonekana wazi ni mkali na hauzimiki kwa uropokaji?🐒
Mungu Ibariki Tanzania