Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 142,062
- 285,683
Wala haikuwa kazi ngumu kuwaelimisha watu wa Bariadi kuhusu Mpango huu, hii ni kwa sababu hakuna Mahali popote kwenye Nchi hii ambako hakuna Makaburi ya wanachadema waliouawa kwa sababu ya Uchaguzi.
Kwahiyo kilichofanyika ni kuwaonyesha tu Makaburi hayo na watu wakaelewa kwamba kumbe mpango huu ni kuzuia Mauaji, ni Mpango mwema sana
Kwahiyo kilichofanyika ni kuwaonyesha tu Makaburi hayo na watu wakaelewa kwamba kumbe mpango huu ni kuzuia Mauaji, ni Mpango mwema sana