Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,206
- 42,068
Rais Samia anaamini kwenye uhuru wa vyombo vya habari lakini anaamini kwenye kuambiwa vitu vizuri na anavyo vipenda!
Vyombo vya habari hili viwe huru havipaswi kuambiwa jinsi ya kuparua na kukuna vizuri kwani wao kama vyombo vya habari wanajua cha kufanya na wanazijua sheria hivyo hawapaswi kufundishwa jinsi ya kufanya kazi!
Ukiangalia na kuutafakari msemo aliotumia Samia ni wazi anapenda aambiwe anachopenda na anapenda asemwe bila kuumia kitu ambacho vyombo vya habari hawapaswi kusema!
Kwa Msemo huu wa Rais Samia ni vigumu kuamini kama yuko tayari kukosolewa na kuvumilia kweli maana kauli hii imekuwa kama maelekezo kwa wana habari jinsi ya kufanya