Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wadau kuna baadhi ya machawa huwa wanadhani kusifia viongozi kwa manufaa yao binafsi hawawezi kupata madhara. Sasa machawa wa club ya Simba akina kisugu, mzaramo, mwijaku na wengine wanapaswa...
1 Reactions
3 Replies
355 Views
Wakati Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kikiendelea kukumbwa na mtikisiko wa ndani, mamia ya wanachama wake wanaripotiwa kujivua uanachama, huku wakihusishwa na mpango wa kujiunga na...
3 Reactions
29 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Hashimu Rungwe, kwa mara nyingine ameibuka kidedea baada ya kutetea kiti chake kwa ushindi wa kura 118 kati ya 120 katika uchaguzi uliofanyika...
1 Reactions
6 Replies
695 Views
Wakuu, Informer wenu nipo kwenye Mkutano Mkuu wa CHAUMMA. Nimekuja na hii taarifa ya ndani kabisa kutoka jikoni. Soon watatangaza rasmi. Tukio hili lipo Golden Tulip, Dar es Salaam. Taarifa...
14 Reactions
250 Replies
12K Views
Wana JF Nimeona picha ya Meja General Gaudence Milanzi, aliyeteuliwa na kuapishwa na Rais hivi karibuni kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, kwenye blog ya Mpekuzi Huru, ikanipa...
3 Reactions
127 Replies
77K Views
Ni vyema sana Jumuiya ya Africa Mashariki ikashirikiana kutambua kigenge cha wahaini wanaopokea fedha kutoka ughaibuni kwa nia ya kuleta machafuko na kurudisha nyuma uchumi wa EAC.
0 Reactions
2 Replies
289 Views
Mawakili huapa kuheshimu mahakama Lisu kama wakili amekuwa akikiuka kiapo hicho na kudharau mahakama na majaji waziwazi
1 Reactions
20 Replies
811 Views
Hashim atakuwa na wakati mgumu sana kuwalea hawa G55 bila uwepo wa Mbowe Shujaa Magufuli alipowachukua wabunge wa viti maalum kutoka Chadema alihakikisha anamchukua na Mwenyekiti wao Halima Mdee...
3 Reactions
15 Replies
822 Views
MWEYE TAARIFA ATUJUZE PLEASE
0 Reactions
3 Replies
383 Views
Wakuu! Mlinzi wa aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, ajulikanaye kwa jina la Hassan Bwire, ameonekana akihudhuria kikao cha Halmashauri Kuu ya Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA)...
4 Reactions
37 Replies
2K Views
Wakili Jebra Kambole, mmoja wa mawakili wa utetezi wa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, amesema kuwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeamuru kesi ya mteja wao isikilizwe kwa uwazi kuanzia...
0 Reactions
7 Replies
887 Views
Wasamalia wema wametoa sahani elfu 2 za chakula kwa watu wote waliohudhuria Mahakamani. "Hata Chadema kuna ubwabwa" ndiyo kauli inayotolewa na wanachama na wafuasi wa Chadema baada ya kugawa...
17 Reactions
39 Replies
2K Views
Salaam! Nimeanngalia ulinzi aliowekewa Tundu Antipas Lissu nje Hadi ndani ya Mahakama, nimeshindwa kuielewa Nini hasa Vyombo vya ulinzi vinamtabiria huyu Tundu Antipas Lissu huko mbeleni! Yaani...
19 Reactions
34 Replies
2K Views
Ni yule aliye karibu na Rais wetu mpendwa na anasikilizwa na Rais na kumshauri kutochukua hatua au kuacha kutoa mwongozo wa kiutawala kwa haya yanaendelea. Ni kweli ushindi ni tayari kwa CCM mpaka...
0 Reactions
1 Replies
284 Views
Mbunge wa Tabora Mjini kupitia tiketi ya chama cha mapinduzi (CCM) Emmanuel Adamson Mwakasaka, akichangia bajeti la wizara ya maliasili na utali amegusia pia kuhusu wapinzani wao kisiasa, ambao ni...
2 Reactions
12 Replies
886 Views
Ndugu zangu Watanzania, Mambo yanaendelea kunoga ,mambo yanaendelea kuiva. Tanzania inaendelea kugonga vichwa vya habari, Tanzania inaendelea kutikisa Huko Duniani, Tanzania inaendelea kuteka...
1 Reactions
188 Replies
7K Views
John Heche aendesha Tone Tone nje ya Mahakama akiagana na Mamia ya Wanchadema waliojitokeza kwenye kesi ya Tundu Lissu adai "Tunaendelea na ziara yetu ya No Reforms NoElection"
17 Reactions
22 Replies
2K Views
Je Kama CHADEMA haina mvuto,imesambaratika,haipendwi, chama tawala kwanini wanaogopa kufanya reforms zinazopigiwa kelele Hadi watu kutekwa, kuumizwa, "kupotea", hadi kuzuia watu kwenye viwanja vya...
1 Reactions
13 Replies
721 Views
#IkuluWIkiHii Tazama muhtasari wa matukio yote muhimu aliyoyafanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika wiki hii.
0 Reactions
7 Replies
631 Views
CHADEMA NA MIKAKATI YA KISANII—WASOMBA WANANCHI BILA RIDHAA KUPAMBA UMATI KISUTU Mei 19, 2025, Dar es Salaam — Katika kile kinachoonekana kuwa mbinu ya kisanii ya kuzua huruma ya umma na...
0 Reactions
19 Replies
968 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…