Mkiambiwa CHADEMA imekufa ndio huku sasa

Joined
May 4, 2024
Posts
5
Reaction score
11
MKIAMBIWA CHADEMA IMEKUFA NDIO HUKU SASA

Ukweli hauhitaji madoido. Mikutano haina watu ya CHADEMA..! Tujitathmini, si kudanganya hadhira kwa picha za 2015 wakati wa Mzee Lowasa, R.I.P wahuni wanatembelea ganda la Ndizi....! na Mbowe kawaacha yatima kila mtoto anataka chake nyumba haina Amani

IMG-20250515-WA0252(1).jpg
IMG-20250515-WA0251(1).jpg
 
MKIAMBIWA CHADEMA IMEKUFA NDIO HUKU SASA

Ukweli hauhitaji madoido. Mikutano haina watu ya CHADEMA..! Tujitathmini, si kudanganya hadhira kwa picha za 2015 wakati wa Mzee Lowasa, R.I.P wahuni wanatembelea ganda la Ndizi....! na Mbowe kawaacha yatima kila mtoto anataka chake nyumba haina Amani

View attachment 3334373View attachment 3334374
Lini mnaenda kuvamia ofisi za na kuweka makufuli+ulinzi wenu

Ova
 
Mtoa uzi wewe ni kilaza kama chawa wenzako hapo, heche kafanya kulinganisha mafuriko ya lowasa picha ya kushoto na ya sasa picha ya kulia
 
Hapo kalinganisha mafuriko ya lowasa picha ya kushoto na ya sasa picha ya kulia mwanza, mna propaganda za kijinga sana🚮
Uwezo wao katika kuelewa ni kama umekufa kabisa. Kweli mtu akikuambia "una akili kama za CCM" nenda kafungue kesi ya Defamation uvute mpunga wa kutosha maana ukiifafanua vizuri hoja yako utashinda tuu.
 
Dah hawa jamaa miaka ya nyuma walikua na watu angalau wenye hoja ila kwa sasa ni vilaza watupu
 
MKIAMBIWA CHADEMA IMEKUFA NDIO HUKU SASA

Ukweli hauhitaji madoido. Mikutano haina watu ya CHADEMA..! Tujitathmini, si kudanganya hadhira kwa picha za 2015 wakati wa Mzee Lowasa, R.I.P wahuni wanatembelea ganda la Ndizi....! na Mbowe kawaacha yatima kila mtoto anataka chake nyumba haina Amani

View attachment 3334373View attachment 3334374
Kama Chadema imekufa yale mabomu polisi waliyokuwa wanavurumisha kuutawanya umati uliokuwa unamsindikiza Heche kule Musoma yalipigiwa mochwari? Tumia akili unapotaka kudanganya.
 
Attachments

  • VID-20250513-WA0014(2).mp4
    5.6 MB
  • VID-20250514-WA0001.mp4
    15.1 MB
  • VID-20250513-WA0015(1).mp4
    6.7 MB
MKIAMBIWA CHADEMA IMEKUFA NDIO HUKU SASA

Ukweli hauhitaji madoido. Mikutano haina watu ya CHADEMA..! Tujitathmini, si kudanganya hadhira kwa picha za 2015 wakati wa Mzee Lowasa, R.I.P wahuni wanatembelea ganda la Ndizi....! na Mbowe kawaacha yatima kila mtoto anataka chake nyumba haina Amani

View attachment 3334373View attachment 3334374
Jipe moyo, umati unaonenaka kwenye operation ya no reform no election na ndio kwanza tuko May.,
 
Back
Top Bottom