MtotoKautaka
JF-Expert Member
- Jul 16, 2018
- 990
- 2,033
TANZANIA NI NCHI YA DEMOKRASIA.
Naomba tuweke hoja ya msingi juu ya maswali yafuatayo.
1. Kwanini agenda ya reforms kabla ya uchaguzi mwaka 2025 inapigwa vita mpka kwa kutesa, kuumiza na kumwaga damu?
2. Kwanini mifumo mibovu ya uchaguzi inakumbatiwa na kutetewa??
3. Kwanini kiongozi wa serikali anahitaji aabudiwe na aheshimiwe kila muda, kila mahali na kwa chochote anachokifanya kiwe kizuri, cha kawaida au kibaya?
4. Kwanini viongozi wanatafuta na kuhitaji kusifiwa baada ya kutimiza majukumu Yao ambayo wameajiriwa kwayo? Ili-hali ni wajibu wao kutimiza majukumu yao?
5. Kuna kipindi alisikika mtu akisema kwamba pesa zinazotumika kwenye kutekeleza miradi siyo Kodi za wananchi bali ni za kiongozi Mkuu, kwani hizo pesa hata kama ni za msaada au mkopo zinakuwa zimetolewa kwa mtu, kikundi binafsi cha watu au ni za Taifa? Kama ni za Taifa sasa kwanini tunasema siyo za wananchi bali za kiongozi Mkuu?
6. Kama kiongozi Mkuu anaweza kupata pesa kutoka kwa mataifa kama mkopo au msaada je hizo pesa anapewa kama yeye binafsi au anapewa kwa mwamvuli wa uongozi wake Mkuu wa Taifa?