1. AWAMU YA KWANZA:
Mtakumbuka awamu ya kwanza katika utawala wa Mwl. J.K Nyerere inchi ilipitia maisha magumu sana kwa sababu ulikua ndio mwanzo hali ya maisha na mfumo wa utawala ilisukumwa na...
Bila reform wapenda mabadikilo kokote kule ni vigumu sana kwenda kupiga kura, hata kama leo hii CDM ikasema itashiriki uchaguzi sio rahisi tena watu wabadili mawazo na aakapige kura.
Waatakao...
Nimekaa na kutafakari na hii hali inavyo enda jambo moja limenijia nikuwakumbuka mashujaa wetu ktk tansinia ya usalama wa taifa.
Neno au wazo limenijia nikuwaambia macho yenu yafunguweni tena...
Nilikuwa ninasafiri kwenda Shinyanga, kufika maeneo ya pale Puma Singida, kuna picha imetundikwa kando ya barabara ya Mbunge Elibariki Kingu wa Singida Magharibi akiwa kapiga na Mheshimiwa Rais...
Tundu Lissu ameshafanikiwa big time. Historia kashaiandika kwa kupitia kuelimisha UMMA kuhusu NRNE - a big move!
Watoto wengi wa Chuoni wanaosoma Sheria na Utawala wameshapewa desa, limewaingia...
Wabunge, polisi, na mamlaka zote mmekataa haki mmeamuwa kufuata njia yenu mtegemee hivyo vyeo mlivyonavyo kupewa ndugu wa raisi kama museven alavyofanya.
Hatukupaswa kufanya kosa kubwa sana la...
Kwasasa majina ya wanasiasa ni makubwa sana kuliko jina la jamhuri,Chama cha siasa ni taasisi kubwa kuliko jamhuri matokeo yake tunatibu hisia za wanasiasa na tamaa zao kuliko matakwa ya...
Kwako rais Samia:
Aibu hii ya nini? Lissu ni kama Yesu mbele za Pilato. Hana hatia.
Wanaopaswa kukushauri kuachana na kesi hii wanasubiri uangukiwe na jumba bovu.
Utakuwa mgeni wa nani kwa...
Radi ya kisiasa sasa inashushwa kwa mahesabu. Si radi ya anga, bali ni ile inayopigwa kutoka maabara za mikakati—ambapo lengo si kuangaza, bali kuchoma. Maji yaliyowahi kuchemshwa yanarudishwa...
Salaam!
Kwa wajuvi wa kuunga dots, hebu tujaribu kuchakata jambo hili.
Mlinzi wa Mh Mbowe SI mwanasiasa, ni komandoo mstaafu,
Sasa mkubwa akitaka kufanya ziara Magu kwa mfano, nani hutangulia...
Now, 2025!
Tanzania's President Samia Suluhu has defended the recent deportation of some high-profile Kenyan nationals, accusing unnamed foreign activists of attempting to destabilise the...
Watu wengi waliohudhuria kesi ya Lissu leo walijielekeza kumuangalia Lissu Mwenyewe na viongozi wa Chadema, labda na yale mabunduki ya Vitisho waliyobeba Polisi.
Lakini kama Kawaida yetu sisi...
It has been a tradition to relish the festival and celebrate the founders of our Union Mwalimu Nyerere and Abeid Karume to parades. However, it has been a sin, too dangerous for anyone to question...
Wakati Nasoma Medicine kama undergraduate , niliamini Human anatomy ni one of the most complex areas of study in medicine ——The interconnected systems working together is a mythical thing...
Wakuu,
Mambo yameendelea kuwa sukari kwenye hili sakata la Tanzania na Kenya. Yaani inaonekana kuwa Serikali ya Kenya ime-align na serikali ya Tanzania kwenye hili suala la CHADEMA na Martha...
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba mpango wa Chaumma kulipiwa Ukumbi pale Golden Tulip ili wafanye Mkutano wao tarehe 19 May, kwa lengo la kuwapokea Mamluki waliotoka Chadema, waliojiita G55, Ulikuwa...
UJENZI WA BARABARA ZA LAMI KATA YA BIHARAMULO MJINI.
Kuna kazi ya kasi bado inaendelea kutekelezwa jimboni biharamulo kata ya biharamulo mjini kuakikisha barabara zote za mjini zinajengwa kwa...
Suppose Lisu anakuwa Rais, anateua tume ya uchaguzi yenye wajumbe hawa, UTAKUBALI? BE HONEST
1. Lema
2. Mbowe
3. Boni Yai
4. Mnyika
5. Heche
6. Martin maranje masese
7. Brenda
8. Erythrocyte
9...
John Heche amtaka Rais Samia kuifuta kesi ya uhaini ya Tundu Lissu
"Pia tunaitaka Serikali, na tunamtaka Rais Samia kwasababu hii Kesi ni yake, aiondoe hii Kesi Mahakamani wamfutie Lissu hii Kesi...
Mzee Pascally Mayalla shikmoo!
Mzee mshana Mzee wa mizimu kama Yerrico Nyerere shwanga bwa shee?
Ninaomba ufafanuzi kidgo,
Tarehe ya Leo ameskika Rais wetu kipenzi chetu, mama la Wana akitoa...