Tundu Lissu ameshafanikiwa big time. Historia kashaiandika kwa kupitia kuelimisha UMMA kuhusu NRNE - a big move!
Watoto wengi wa Chuoni wanaosoma Sheria na Utawala wameshapewa desa, limewaingia. Hakuna atakayebadilisha principles za muundo wa Tume Huru za Chaguzi zetu. Wameshaeleweshwa dosari za Tume ya sasa na hamna anayebishia hizo dosari.
Huwezi kubishia dosari za Marekebisho ya Sheria ya Uchaguzi ya kuwaweka watumishi wa Umma waandamizi kama MaDED kuwa wasimamizi wa Uchaguzi kwa kumtia mwelimishaji kizuizini eti ni Mhaini.
Hili ni lenu, mmeliona limezeni mtoboe kidhambi dhambi hivyo hivyo!