Imani ya Utawala kwa Mtiririko wa Tabia za Namba

Mnyanyembe wa Mboka

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2017
Posts
2,349
Reaction score
3,046
1. AWAMU YA KWANZA:
Mtakumbuka awamu ya kwanza katika utawala wa Mwl. J.K Nyerere inchi ilipitia maisha magumu sana kwa sababu ulikua ndio mwanzo hali ya maisha na mfumo wa utawala ilisukumwa na kauli ya "UJAMAA NA KUJITEGEMEA"

Kama wahenga wasemavyo " ... mwanzo mgumu ..."

Hivyo kwa sababu iliku ni mwanzo yani tunaanza kujitawala kutoka mikononi mwa wakoloni, kinamba mwanzo unawasilishwa na namba moja 1 ambayo pia inawakilisha ugumu, utata, kutokufahamu/kuelewa, ujinga, tabu, shida, majanga, umasikini, ubinafsi n.k

2. AWAMU YA PILI
Wakati wa awamu ya pili nadhani wote mtakumbuka hali ilibadilika kidogo watu wakaanza kuonja neema na kufurahia maisha hali ya maisha ilipelekea Raisi wa wakati huo Allly Hassan Mwinyi kupewa jina la "MZEE WA RUKHSA"

Wahenga husema "... baada ya dhiki faraja ..."

Kwa mtiririko wa namba namba, 2 huwasilisha na kuhusisha faraja, hii ni kwa sababu namba 2 ina gawanyika kwa namba nzima hivyo inaondoa ubinafsi na umimi, 2 huleta usawa katika mgawanyo, faraja, matumaini, burudani, furaha, neema n.k

3. AWAMU YA TATU
Wakati wa awamu ya tatu hali ilibadilika baada kuonja neema ilibidi neema hizo ziangaliwe kwa jicho la manufaa ya badae hivyo kauli ya "UWEKEZAJI" ilitaradadi chini ya utawala wa Raisi Benjamin Mkapa maisha yalikua yamekaza kidogo kwa sababu rasilimali zilielekezwa kwenye miradi ya uwekezaji

Wahenga walisema "... mtaka cha uvunguni sharti uiname ..."

Kinamba utawala huu ulikua ni awamu ya tatu amabapo namba 3 huwakilisha na hubeba maana ya Jitihada, kujinyima, kujibana, kujiumiza, mazoezi, Mapito, mafunzo, maandalizi n.k

4. AWAMU YA NNE:
Katika awamu hii hali ilibadilika sana kulingana na mtiririko wa namba watu waliona mambo yalikua Bam Bam!!! watu walitajirika dili zikua njenje fursa kibaooo full neema hata ukiuza vitumbua ukitumia fursa tu unajikuta unam gahawa mkubwa tulishuhudia ujio mpaka wa machine za kutengeneza bagia na vipopoo, mambo yalikua safiii neema tupu kauli za "KUPIGA DILI" zili tengeneza sura ya maisha ya kila siku

Wahenga walisema "... mchumia Juani hulia kivulini ..."

Kinamaba siku zote namba 4 hubeba Faraja, Neema, Mavuno, Utajiri, Kipato, Elimu, Ujanja, Technolojia, Ufahamu, Mwanga, Faida n.k

5. AWAMU YA TANO:
Mmmmmh! ama kweli tumejionea wenyewe utawala huu wa awamu ya 5 kulingana na mtiririko wa namba awamu hii iligubikwa na wimbi la giza unafiki, ukatili, huku maisha yakiwa magumu sana watu walilalama kila kukicha "VYUMA VIMEKAZA" kauli iliyobeba umaarufu mkubwa kuliko kauli za tawala zote zilizo pita

Wahenga walisema "... kikulacho Kinguoni mwako ..."

Utawala huu ulikua na uongo na unafiki mwingi sana kinamba siku zote namba 5 hubeba kuwakilisha maana ya Uongo, Unafiki, Chuki, Husda, Roho mbaya, ubaguzi, manyanyaso, uongo, fitina, udhalimu, usaliti, ushenzi, wizi n.k

6. AWAMU YA SITA:
Awamu ya 6 ndio awamu inayofuata panapo majaaliwa kesho tarehe 28 OCTOBER tinatarajia kufanya uchaguzi wa Raisi atakae ongoza awamu hii ya sita, kumekua na makundi ya vyama yanayo jinasibu kubadilisha hali ya mambo na kulegeza maisha iwe kwa maendeleo ya watu badala ya vitu, yakini nakwambia utawala huu utakubikwa na kauli ya "HAKI NA USAWA"

Wahenga walisema "... sheria ni msumeno hukata mbele na nyuma ..."

Katika utawala huu ujao wa awamu ya sita tutegemee haki na usawa kwa sababu kinamba hii namba sita tunayoijua siku zote imebeba maana ya Sheria, Amani, Heshima, Haki, Usawa, Utu, Uungwana, Ukarimu, Upole, Huruma n.k

Ndugu zangu ulimwengu huu na vilivyomo ndani yake umeumbwa kwa msingi wa hesabu za namba, hivyo chochote kilichopo na kichajo kitafuata mtiririko wa hesabu na tabia za namba kwa sababu tabia zipo nyingi hata muumba alizitofautisha kwa mtiririko wa namba

Piga ua tabia, mazingira, mtazamo n.k iwe kwa mtu mmoja mmoja, au iwe kwa ngazi ya familia, jamii au nchi na dunia kwa ujumla hubebwa, hutokea, au hujiri kwa mtiririko wa tabia za namba

UHALISIA:

Mtiririko wa namba na tabia zake umegawanyika katika uwili wa kila kitu na kinyume chake yaani kuna namba Nzuri na Mbaya za Kike na za Kiume, Laini na Ngumu, Nyeusi na Nyeupe, Fupi na Ndefu kulingana na tabia na mazingira ya mtu au kitu kinacho husishwa nacho na tabia fulani

Hivyo namba sita ipo kwenye kundi la Nzuri, Kiume, Laini, Nyeupe, Ndefu

Bahati mbaya ili kutoka namba mbaya kwenda nzuri ni lazima itoke sandaka au kafara

Wote tunajua Lissu alitolewa sadaka kwa ajili ya kuikamilisha hali ya mzunguruko wa tabia za maisha ya namba 6 katika jamii, kwa bahati mbaya hali ikienda kinyume na sadaka iliyotolewa au sadaka husika isipopokelewa na muumba basi hali huwa ni tofauti na mambo huwa kinyume chake

USHAURI:
Kwakua waliotoa sadaka Mungu aligoma kuipokea sadaka yao hivyo kulazimisha mtoa sadaka kuendelea maana yake ni kufanya tabia za namba 6 kwenda kinyume na uhalisia wake, kwa msingi huo mtoa sadaka ambae sadaka yake imekataliwa akilazimisha kurudi hali itakuwa mbaya zaidi Tanzania itagubikwa na umauti na laana

Shime watanzania tumchague Tundu Antipas Mughwai Lissu ili kuiokoa nchi kutoka katika umauti na laana inayotaka kutuijia
 
Nafikiria umepiga Hesabu zako vibaya. Awamu inayoendelea ni ya 5. Kwani kila awamu haipungui vipindi viwili vya uraisi.
Awamu ya sita bado itaanza 2025.
 
Awamu ni kichwa cha rais aliyepo madarakani si mihula miwili. Ingekua hivyo Nyerere angehesabika alikula awamu 2...

Awamu huhesabika kwa rais au kichwa
 
Hakuna haraka Afrika mkuu. Ninacho amini ipo siku tena mtakuja kuandika kwa lawama pia kumkosoa mnayemuhitaji.

Hata aje malaika aongoze sisi binadamu huwa tunatazama zaidi mabaya tu.

Nimejifunza hilo baada ya alikuwa mhadhiri wangu chuoni kusema tunahitaji kiongozi wa kaliba ya huyu aliyekuwepo sasa alafu hivi karibuni nilimpigia simu kumuuliza upi mtazamo wake kilichotokea hataki hata kumsikia nilishindwa kuelewa anataka nini sasa.

Yote kwa yote ngoja tuone maana ni masaa machache tu yamesalia.
 
1. AWAMU YA KWANZA:
Mtakumbuka awamu ya kwanza katika utawala wa Mwl. J.K Nyerere inchi ilipitia maisha magumu sana kwa sababu ulikua ndio mwanzo hali ya maisha na mfumo wa utawala ilisukumwa na kauli ya "UJAMAA NA KUJITEGEMEA"

Kama wahenga wasemavyo " ... mwanzo mgumu ..."

Hivyo kwa sababu iliku ni mwanzo yani tunaanza kujitawala kutoka mikononi mwa wakoloni, kinamba mwanzo unawasilishwa na namba moja 1 ambayo pia inawakilisha ugumu, utata, kutokufahamu/kuelewa, ujinga, tabu, shida, majanga, umasikini, ubinafsi n.k

2. AWAMU YA PILI
Wakati wa awamu ya pili nadhani wote mtakumbuka hali ilibadilika kidogo watu wakaanza kuonja neema na kufurahia maisha hali ya maisha ilipelekea Raisi wa wakati huo Allly Hassan Mwinyi kupewa jina la "MZEE WA RUKHSA"

Wahenga husema "... baada ya dhiki faraja ..."

Kwa mtiririko wa namba namba, 2 huwasilisha na kuhusisha faraja, hii ni kwa sababu namba 2 ina gawanyika kwa namba nzima hivyo inaondoa ubinafsi na umimi, 2 huleta usawa katika mgawanyo, faraja, matumaini, burudani, furaha, neema n.k

3. AWAMU YA TATU
Wakati wa awamu ya tatu hali ilibadilika baada kuonja neema ilibidi neema hizo ziangaliwe kwa jicho la manufaa ya badae hivyo kauli ya "UWEKEZAJI" ilitaradadi chini ya utawala wa Raisi Benjamin Mkapa maisha yalikua yamekaza kidogo kwa sababu rasilimali zilielekezwa kwenye miradi ya uwekezaji

Wahenga walisema "... mtaka cha uvunguni sharti uiname ..."

Kinamba utawala huu ulikua ni awamu ya tatu amabapo namba 3 huwakilisha na hubeba maana ya Jitihada, kujinyima, kujibana, kujiumiza, mazoezi, Mapito, mafunzo, maandalizi n.k

4. AWAMU YA NNE:
Katika awamu hii hali ilibadilika sana kulingana na mtiririko wa namba watu waliona mambo yalikua Bam Bam!!! watu walitajirika dili zikua njenje fursa kibaooo full neema hata ukiuza vitumbua ukitumia fursa tu unajikuta unam gahawa mkubwa tulishuhudia ujio mpaka wa machine za kutengeneza bagia na vipopoo, mambo yalikua safiii neema tupu kauli za "KUPIGA DILI" zili tengeneza sura ya maisha ya kila siku

Wahenga walisema "... mchumia Juani hulia kivulini ..."

Kinamaba siku zote namba 4 hubeba Faraja, Neema, Mavuno, Utajiri, Kipato, Elimu, Ujanja, Technolojia, Ufahamu, Mwanga, Faida n.k

5. AWAMU YA TANO:
Mmmmmh! ama kweli tumejionea wenyewe utawala huu wa awamu ya 5 kulingana na mtiririko wa namba awamu hii iligubikwa na wimbi la giza unafiki, ukatili, huku maisha yakiwa magumu sana watu walilalama kila kukicha "VYUMA VIMEKAZA" kauli iliyobeba umaarufu mkubwa kuliko kauli za tawala zote zilizo pita

Wahenga walisema "... kikulacho Kinguoni mwako ..."

Utawala huu ulikua na uongo na unafiki mwingi sana kinamba siku zote namba 5 hubeba kuwakilisha maana ya Uongo, Unafiki, Chuki, Husda, Roho mbaya, ubaguzi, manyanyaso, uongo, fitina, udhalimu, usaliti, ushenzi, wizi n.k

6. AWAMU YA SITA:
Awamu ya 6 ndio awamu inayofuata panapo majaaliwa kesho tarehe 28 OCTOBER tinatarajia kufanya uchaguzi wa Raisi atakae ongoza awamu hii ya sita, kumekua na makundi ya vyama yanayo jinasibu kubadilisha hali ya mambo na kulegeza maisha iwe kwa maendeleo ya watu badala ya vitu, yakini nakwambia utawala huu utakubikwa na kauli ya "HAKI NA USAWA"

Wahenga walisema "... sheria ni msumeno hukata mbele na nyuma ..."

Katika utawala huu ujao wa awamu ya sita tutegemee haki na usawa kwa sababu kinamba hii namba sita tunayoijua siku zote imebeba maana ya Sheria, Amani, Heshima, Haki, Usawa, Utu, Uungwana, Ukarimu, Upole, Huruma n.k

Ndugu zangu ulimwengu huu na vilivyomo ndani yake umeumbwa kwa msingi wa hesabu za namba, hivyo chochote kilichopo na kichajo kitafuata mtiririko wa hesabu na tabia za namba kwa sababu tabia zipo nyingi hata muumba alizitofautisha kwa mtiririko wa namba

Piga ua tabia, mazingira, mtazamo n.k iwe kwa mtu mmoja mmoja, au iwe kwa ngazi ya familia, jamii au nchi na dunia kwa ujumla hubebwa, hutokea, au hujiri kwa mtiririko wa tabia za namba

UHALISIA:

Mtiririko wa namba na tabia zake umegawanyika katika uwili wa kila kitu na kinyume chake yaani kuna namba Nzuri na Mbaya za Kike na za Kiume, Laini na Ngumu, Nyeusi na Nyeupe, Fupi na Ndefu kulingana na tabia na mazingira ya mtu au kitu kinacho husishwa nacho na tabia fulani

Hivyo namba sita ipo kwenye kundi la Nzuri, Kiume, Laini, Nyeupe, Ndefu

Bahati mbaya ili kutoka namba mbaya kwenda nzuri ni lazima itoke sandaka au kafara

Wote tunajua Lissu alitolewa sadaka kwa ajili ya kuikamilisha hali ya mzunguruko wa tabia za maisha ya namba 6 katika jamii, kwa bahati mbaya hali ikienda kinyume na sadaka iliyotolewa au sadaka husika isipopokelewa na muumba basi hali huwa ni tofauti na mambo huwa kinyume chake

USHAURI:
Kwakua waliotoa sadaka Mungu aligoma kuipokea sadaka yao hivyo kulazimisha mtoa sadaka kuendelea maana yake ni kufanya tabia za namba 6 kwenda kinyume na uhalisia wake, kwa msingi huo mtoa sadaka ambae sadaka yake imekataliwa akilazimisha kurudi hali itakuwa mbaya zaidi Tanzania itagubikwa na umauti na laana

Shime watanzania tuchagu Tundu Antipas Mughwai Lissu ili kuiokoa nchi kutoka katika unauti na laana inayotaka kutuijia

# NI YEYE TU 2020
# THE BULLET PROOVE
# THE IRON PRESIDENT
# THE KINJEKETILE BULLET CONDENCER
USHAURI:
Kwakua waliotoa sadaka Mungu aligoma kuipokea sadaka yao na hivyo kulazimisha mtoa sadaka kuendelea kutawala (Magufuli) maana yake ni kufanya tabia za namba 6 kwenda kinyume na uhalisia wake, kwa msingi huo mtoa sadaka ambae sadaka yake imekataliwa akilazimisha kurudi (Madarakani kwa Nguvu) hali itakuwa mbaya zaidi Tanzania itagubikwa na umauti na laana

UP DATE:
Najua wengi walipuuza nakudhani ni porojo ila yajayo yana ogopesha zaidi

Nilisema kauli hii:

"Katika utawala huu ujao wa awamu ya sita tutegemee haki na usawa kwa sababu kinamba hii namba sita tunayoijua siku zote imebeba maana ya Sheria, Amani, Heshima, Haki, Usawa, Utu, Uungwana, Ukarimu, Upole, Huruma n.k"

Lakini kwa Bahati mbaya namuona Mama anapwaya sana. Baada ya mahojiano na Salim Kikeke wa BBC namuona Mama anadhamiria kwenda kinyume na tabia za namba 6 hili ni janga kubwa sana linakuja kuangamiza nchi.

Ipo hivi ndugu zangu siku zote kafara iliyogomewa kupokelewa na Mungu huzaa laana. Na ikumbukwe laana inaweza kutibiwa kwa njia mbili tu,

1. Aidha kwa kukifuta kabisa kizazi kilicholaaniwa na kutokomeza au kupoteza tabia/hulka na kila kilicho chao.

2. Au kwa kuigeuza "ASILI HALISI" ya dhambi iliyoleeta laana (Jaribio la Mauaji ya Lissu na Mauaji ya watu walio fanana nae) sambamba na kuungama na kutubu kwa dhati ya Moyo.

Na njia pekee ya kuigeuza "ASILI HALISI" ya dhambi hii ni kuiacha SHERIA ifuate mkondo wake kwa haki na usawa bila ya upendeleo wala kujali nani atadhurika kwa kuwawajibisha wote walio husika kutenda dhambi hiyo iliyoleeta laana kwa Taifa)

Kinyume na hivyo tabia za namba 6 zitatuendea kinyume na matarajio yetu jambo litakalo sababisha balaa kubwa sana katika nchi hii.

Ikiwa Mama hatobadilika basi tutegemee DHORUBA kubwa sana kutoka kwa MUUMBA itakayo Sambaratisha/Dhoofisha/Angamiza/Poteza/Geuza au Kukandamiza kila kilichopo katika utawala huu kutokana na laana inayoendelezwa

[emoji33][emoji33][emoji33] ... Yajayo yanaogopesha sana !!!
 
Mkuu kama hilo bandiko ni la leo!!hujui kwamba Mbowe katoka gerezani na ni muelekeo wa SIASA Mpya!!!?ni kama SIASA inaanza rasmi na kampeni zake!!!!??waambie kina Lema na Lisu warudi KAZI ianze wagawane majimbo na kuyashambulia kwa SIASA kama zamani!!au sio!!!?
 
Mkuu hili sio bandiko la leo ni bandiko la tarehe 27 Oct 2020 ikiwa ni siku moja kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2020

Uchaguzi ulionajisiwa na utawala wa awamu ya 5 chini ya Raisi JPM ikiwa ni katika harakati za kuuendeleza utawala huo wa kidhalimu wa awamu ya 5.

Kwa bahati mbaya mpaka kufika 2019/20 awamu ya 5 ilikuwa tayari umefutwa kwenye UBAO wa NAMBA za utawala wa ulimwengu kutokana na laana aliyoisababisha JPM kwa utawala wake wa MKONO wa CHUMA.

Hivyo basi ilikua lazima tuingie utawala wa awamu ya 6. Lakini cha ajabu aliengia kutawala awamu 6 ameshikilia misingi ya laana ile Ile ya mtangulizi wake bila kuifuta kama nilivyo eleza hapo juu inafutwa kwa namna mbili tu

Sasa basi kwa haya yanayo endelea kama SSH hatoiacha sheria ichukue mkondo wake kwa kuficha dhambi iliyosababisha laana kwa Taifa, basi mpaka kufika 2024/25 awamu ya 6 nayo itafutwa kwenye UBAO wa NAMBA

Jambo litakalopelekea ulazima wa TAIFA kuingia awamu ya 7 na SSH ndio utakuwa mwisho wake. Endapo atalazimisha kama alivyolazimisha mtangulizi wake basi hato maliza hata robo mwaka kama ilivyokuwa kwa JPM mwenyewe.

Ndg. zangu kwa tafsiri ya namba, kwa kuangalia mtiririko wa namba za awamu za tawala mbalimabli ulimwenguni, namba 7 huwasilisha na kuhusisha utawala wa BAHATI, MAJARIBIO, MAJAALIWA, UPENDELEO, NUSURA na wakati mwingine inabeba mara chache namba 7 inabeba UOKOVU

USHAURI:
Ili awamu ya 6 iweze kutamalaki na kuendelea bila ya matatizo basi SSH analazimika kujitwaharisha na kuifuta laana iliyopo aidha kwa kuwafikisha kwenye mikono ya sheria woote walio husika na kuua watu kuteka watu na kuharibu/Kudhulumu mali na utu wa watu wakati wa utawala wa JPM

Ikiwa atakaidi na kujifanya kiburi kama mtangulizi wake JPM basi nguvu ya namba za utawala wa ulimwengu hazito muacha salama, yatakayojiri tusije kuitana wachawi au manabii pale awamu ya 7 itakapoingia bila ya watu kutarajia.

Ndg. "Raisi Ajaye" nimelifufua bandiko hili kumkumbusha mtawala wa sasa SSH kuwa amesahau kuwa bado kuna laana inazidi kulitafuna Taifa kupitia nguvu ya utawala wa namba akijisahau kujitwaharisha laana itamtafuna yeye mwenyewe.

SHAURI YENU!!! MSIJE SEMA SIKUWAMBIA
 
MKUU wa unyanyembe kuna mtu anaitwa Tumia akili HUMU jf alikuja na uzi wa FDR franklin delano roosevelt na utawala wake wa miaka kumi na mbili Tanzania uzi huo ulipandishwa January 20 mwaka huu !!na wadau wakafafanua kuwa itakuja ni kuanzia 2023 Hadi 2025 miaka miwili na atagombea mwaka 2025 na kuendelea Hadi 2030 halafu atagombea mwaka huo 2030 Hadi 2035 jumla miaka 10 ukijumlisha na ile miaka miwili itakua miaka 12!!pia mdai mwingine Magamba matatu akakomenti kuwa ajaye atakuwa muislamu tena na atajulikana kabla Hata ya 2023!!je Mkuu unayaona hayo yakitokea huku kwetu kama walivyoandika hao member!!!??
 
Halafu mkuu kwanini jaribio la Lisu kuuawa linaonekana ni laana KWA Taifa wakati kuna video vingi Sana vimetokea hilo kabla!!?Hata watu kupata ulemavu wa kudumu!!?Alphonse mawazo,mauaji ya Mwembechai Zanzibar kipindi cha mkapa n.k!!!???nijibu pia tafadhali!!!?
 
Huu uzi pumba nyingi.

Malengo ya mleta mada yamejidhihirisha mwishoni mwa mada yake.

What a useless thread.
 
MKUU wa unyanyembe kuna mtu anaitwa Tumia akili HUMU jf alikuja na uzi wa FDR franklin delano roosevelt na utawala wake wa miaka kumi na mbili Tanzania uzi huo ulipandishwa January 20 mwaka huu !!na wadau wakafafanua kuwa itakuja ni kuanzia 2023 Hadi 2025 miaka miwili na atagombea mwaka 2025 na kuendelea Hadi 2030 halafu atagombea mwaka huo 2030 Hadi 2035 jumla miaka 10 ukijumlisha na ile miaka miwili itakua miaka 12!!pia mdai mwingine Magamba matatu akakomenti kuwa ajaye atakuwa muislamu tena na atajulikana kabla Hata ya 2023!!je Mkuu unayaona hayo yakitokea huku kwetu kama walivyoandika hao member!!!??
Maono yana concept na njia nyingi za kuangalia ulimwengu ulio mbele ya muda uliopo hili zaidi linategemea na imani, elimu, uelewa na mtazamo wa mtu na mtu kutokana na concept anayoitumia.

Inawezekana ameliona hilo kwa concept zake anazotumia, kwa sababu ulimwengu uliopo mbele ya muda upo na unaweza kuonekana ikiwa mtu anajua njia na nna za kuutazama
 
Halafu mkuu kwanini jaribio la Lisu kuuawa linaonekana ni laana KWA Taifa wakati kuna video vingi Sana vimetokea hilo kabla!!?Hata watu kupata ulemavu wa kudumu!!?Alphonse mawazo,mauaji ya Mwembechai Zanzibar kipindi cha mkapa n.k!!!???nijibu pia tafadhali!!!?
Mkuu kila jambo lina kiasi chake. kiasi cha udhalimu nacho kina viwango vyake ili kuleta athari ya hali Fulani katika Jamii

Hivyo basi elewa kwamba hata JPM angekuwa mpole sanaaa hilo nalo lingekuwa tatizo kwa Taifa kuna atahri ingetokea kinamba, kama ambavyo, Udictator ulivyozidi sanaaa likawa Tatizo kwa Taifa

Kwa hesabu za namba kila kiwango kina Idadi zake ili kufikia kuathiri au kuleta athari ya jambo fulani.

Kwa msingi huo basi kiwango cha Udictator wa Magufuli kilifikisha idadi iliyopelekeia kuleta athari ya laana kwa Taifa baada ya kudhamiria kumuua Lissu
 
1. AWAMU YA KWANZA:
Mtakumbuka awamu ya kwanza katika utawala wa Mwl. J.K Nyerere inchi ilipitia maisha magumu sana kwa sababu ulikua ndio mwanzo hali ya maisha na mfumo wa utawala ilisukumwa na kauli ya "UJAMAA NA KUJITEGEMEA"

Kama wahenga wasemavyo " ... mwanzo mgumu ..."

Hivyo kwa sababu iliku ni mwanzo yani tunaanza kujitawala kutoka mikononi mwa wakoloni, kinamba mwanzo unawasilishwa na namba moja 1 ambayo pia inawakilisha ugumu, utata, kutokufahamu/kuelewa, ujinga, tabu, shida, majanga, umasikini, ubinafsi n.k

2. AWAMU YA PILI
Wakati wa awamu ya pili nadhani wote mtakumbuka hali ilibadilika kidogo watu wakaanza kuonja neema na kufurahia maisha hali ya maisha ilipelekea Raisi wa wakati huo Allly Hassan Mwinyi kupewa jina la "MZEE WA RUKHSA"

Wahenga husema "... baada ya dhiki faraja ..."

Kwa mtiririko wa namba namba, 2 huwasilisha na kuhusisha faraja, hii ni kwa sababu namba 2 ina gawanyika kwa namba nzima hivyo inaondoa ubinafsi na umimi, 2 huleta usawa katika mgawanyo, faraja, matumaini, burudani, furaha, neema n.k

3. AWAMU YA TATU
Wakati wa awamu ya tatu hali ilibadilika baada kuonja neema ilibidi neema hizo ziangaliwe kwa jicho la manufaa ya badae hivyo kauli ya "UWEKEZAJI" ilitaradadi chini ya utawala wa Raisi Benjamin Mkapa maisha yalikua yamekaza kidogo kwa sababu rasilimali zilielekezwa kwenye miradi ya uwekezaji

Wahenga walisema "... mtaka cha uvunguni sharti uiname ..."

Kinamba utawala huu ulikua ni awamu ya tatu amabapo namba 3 huwakilisha na hubeba maana ya Jitihada, kujinyima, kujibana, kujiumiza, mazoezi, Mapito, mafunzo, maandalizi n.k

4. AWAMU YA NNE:
Katika awamu hii hali ilibadilika sana kulingana na mtiririko wa namba watu waliona mambo yalikua Bam Bam!!! watu walitajirika dili zikua njenje fursa kibaooo full neema hata ukiuza vitumbua ukitumia fursa tu unajikuta unam gahawa mkubwa tulishuhudia ujio mpaka wa machine za kutengeneza bagia na vipopoo, mambo yalikua safiii neema tupu kauli za "KUPIGA DILI" zili tengeneza sura ya maisha ya kila siku

Wahenga walisema "... mchumia Juani hulia kivulini ..."

Kinamaba siku zote namba 4 hubeba Faraja, Neema, Mavuno, Utajiri, Kipato, Elimu, Ujanja, Technolojia, Ufahamu, Mwanga, Faida n.k

5. AWAMU YA TANO:
Mmmmmh! ama kweli tumejionea wenyewe utawala huu wa awamu ya 5 kulingana na mtiririko wa namba awamu hii iligubikwa na wimbi la giza unafiki, ukatili, huku maisha yakiwa magumu sana watu walilalama kila kukicha "VYUMA VIMEKAZA" kauli iliyobeba umaarufu mkubwa kuliko kauli za tawala zote zilizo pita

Wahenga walisema "... kikulacho Kinguoni mwako ..."

Utawala huu ulikua na uongo na unafiki mwingi sana kinamba siku zote namba 5 hubeba kuwakilisha maana ya Uongo, Unafiki, Chuki, Husda, Roho mbaya, ubaguzi, manyanyaso, uongo, fitina, udhalimu, usaliti, ushenzi, wizi n.k

6. AWAMU YA SITA:
Awamu ya 6 ndio awamu inayofuata panapo majaaliwa kesho tarehe 28 OCTOBER tinatarajia kufanya uchaguzi wa Raisi atakae ongoza awamu hii ya sita, kumekua na makundi ya vyama yanayo jinasibu kubadilisha hali ya mambo na kulegeza maisha iwe kwa maendeleo ya watu badala ya vitu, yakini nakwambia utawala huu utakubikwa na kauli ya "HAKI NA USAWA"

Wahenga walisema "... sheria ni msumeno hukata mbele na nyuma ..."

Katika utawala huu ujao wa awamu ya sita tutegemee haki na usawa kwa sababu kinamba hii namba sita tunayoijua siku zote imebeba maana ya Sheria, Amani, Heshima, Haki, Usawa, Utu, Uungwana, Ukarimu, Upole, Huruma n.k

Ndugu zangu ulimwengu huu na vilivyomo ndani yake umeumbwa kwa msingi wa hesabu za namba, hivyo chochote kilichopo na kichajo kitafuata mtiririko wa hesabu na tabia za namba kwa sababu tabia zipo nyingi hata muumba alizitofautisha kwa mtiririko wa namba

Piga ua tabia, mazingira, mtazamo n.k iwe kwa mtu mmoja mmoja, au iwe kwa ngazi ya familia, jamii au nchi na dunia kwa ujumla hubebwa, hutokea, au hujiri kwa mtiririko wa tabia za namba

UHALISIA:
Mtiririko wa namba na tabia zake umegawanyika katika uwili wa kila kitu na kinyume chake yaani kuna namba Nzuri na Mbaya za Kike na za Kiume, Laini na Ngumu, Nyeusi na Nyeupe, Fupi na Ndefu kulingana na tabia na mazingira ya mtu au kitu kinacho husishwa nacho na tabia fulani

Hivyo namba sita ipo kwenye kundi la Nzuri, Kiume, Laini, Nyeupe, Ndefu

Bahati mbaya ili kutoka namba mbaya kwenda nzuri ni lazima itoke sandaka au kafara

Wote tunajua Lissu alitolewa sadaka kwa ajili ya kuikamilisha hali ya mzunguruko wa tabia za maisha ya namba 6 katika jamii, kwa bahati mbaya hali ikienda kinyume na sadaka iliyotolewa au sadaka husika isipopokelewa na muumba basi hali huwa ni tofauti na mambo huwa kinyume chake

USHAURI:
Kwakua waliotoa sadaka Mungu aligoma kuipokea sadaka yao hivyo kulazimisha mtoa sadaka kuendelea maana yake ni kufanya tabia za namba 6 kwenda kinyume na uhalisia wake, kwa msingi huo mtoa sadaka ambae sadaka yake imekataliwa akilazimisha kurudi hali itakuwa mbaya zaidi Tanzania itagubikwa na umauti na laana

Shime watanzania tumchague Tundu Antipas Mughwai Lissu ili kuiokoa nchi kutoka katika umauti na laana inayotaka kutuijia

# NI YEYE TU 2020
# THE BULLET PROOVE
# THE IRON PRESIDENT
# THE KINJEKETILE BULLET CONDENCER
Mpaka sasa White house ni kiza kinene wanapoona Vugu vugu la Katiba Mpya na Tume huru. Huku wakisikia Tundu Lissu anakuja
 
Back
Top Bottom