Viongozi wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), wakiwemo Wenyeviti wa Mikoa wameungana kwa sauti moja kulaani vikali kile walichokiita vitendo vya baadhi ya wanaharakati na...
Kwenu Wanajema,
Huu ni uzi mchungu kwa wanaCCM wengi vitatange, kwa sababu nagusia anguko la CCM ambalo nimelichambua na kuliona.
****
Picha ya George Soros
Kwa wafuatiliaji wa medani za nchi...
Je Unadhani Wabobezi wa Kizalendo wakiunda Tume ya Kijaji hawawezi kuchunguza Haya mambo ya kuteka na kuuwa?
Ni lazima kuwaita Scotland Yard kwa jambo kama hili Katika miaka 60 ya Majeshi yetu...
Unaweza ukasema, "kwani Marekani ni Mbinguni?"
Lakini ukweli ni kwamba wakubwa wengi wanapenda kwenda huko ama kwa ziara rasmi au kwa ajili ya kutumbua hela! Hata mimi kuna siku nitafika USA...
Lahana lahana karma is bitch
Mbunge pekee aliyeitambulisha kawe kwenye ulimwengu wa kisiasa Jimbo la kawe ni Mh Halima Mdee, baada hapo Jimbo lilirudi MIKONONI MWA mangariba ambayo yalibeba kwa...
Sijui hata inaandikwaje.
Ni Sukuma Gang, Sukuma gang, au Sukumagang?
Mtajaza wenyewe.
Wangapi wengine mmegundua kama mimi kuwa huo msamiati sasa hautumiki tena?
Kuna kipindi humu baadhi ya...
Watanzania wote kwa ujumla, tunakutana Dodoma kwenye jambo kubwa linalofanywa na chama kikubwa, CHAMA CHA MAPINDUZI.
Ni mkutano mkuu wa CCM unaokwenda kujadili na kuipitisha ilani ya Uchaguzi ya...
Tanzania tour vans barred from JKIA and all parks
The Tourism ministry said on Friday that the move was a bid to implement the 1985 bilateral agreement to ensure fairness of trade between Kenya...
Hizi ndo sababu zangu kwamba this guy is patriotic (Mzalendo).
Kwa nafasi aliyonayo Gwajima kuanzia Kijamii, kisiasa, kiuchumi.
Sifikirii Kama anatafuta umaarufu , na sifikirii Kama anatufa...
Tunampenda ila itoshe kusema ahsante .
Kuwa kiongozi nikuwa sauti ya Mungu , naona sauti ya umungu kwake nikama imekaushwa na vilio vya kila pembe ya Tanzania.
Sisi kama wanaccm kunawakati huwa...
Vyombo vya habari vya Nje ya nchi na Kimataifa vyote vinazungumza jambo moja kubwa. Jambo hilo ni ukiukwaji mkubwa wa Haki za Binadamu unaofanywa na Serikali ya Rais Samia.
Vyombo hivi vya...
Kuna watu wameanza kuhoji elimu ya huyu kiongozi,na hii imeanza kunifikirisha. Najikuta siohoji tu elimu yake bali hata uelewa wake kama mwanasiasa na kama mtu ambaye amekuwa kwenye utumishi wa...
Hii ndiyo Taarifa mpya kwa sasa Duniani, Usipitwe.
Watanzania waishio nje ya nchi wanaandamana muda huu Washington DC kushinikiza serikali ya Tazanzia kuwaachilia huru mateka wote na Mh. Tundu...
Kayasema haya kupitia video ya mahojiano kuhusu swali alilomuuliza Magufuli la alipata wapi mamlaka ya kuzuia Bunge live, na kuzuia mikutano ya hadharani,
Kwa kifupi
1. Alinyang’anywa press card...
Habari JF
Za chini ya kapeti, ni kuwa Gwajima nyuma yake kuna kundi kubwa hasa hasa makada wenzie, na hii ni strategic move, yapo mengi na huyu ni kwanza, makada wengine wako njiani.
Ya kesho...
Wakuu habari zenu.....
Gwajima jana tar 24 ameitisha pree na kuongea mambo kadha wa kadha.
Katika mengi aliyoyaongea Gwajima jambo moja juu ni hili.
Gwajima amekuja kutuonyesha kwamba sisi...
Polepole anasema ''Inaweza kuwepo serikali lakini nyuma yake kuna kikundi cha wahuni ndicho kinaiongoza.
Msipokua Makini Kwenye Political econommy ya Nchi yetu hapa unaweza kujikuta kikatengezwa...
Yule mbunge aliyejiita yeye ni mafia hakuna mtu atakayegombea kwenye jimbo lake atammaliza na kumpoteza amechukiliwa hatua gani ?
Je, wakwapi wale wanaosema wanalinda amani ya nchi, je huyu...
I will be short
ccm wafanye tu reform, huko mbele mambo yatakuwa magumu zaidi, kila siku nakutana na bango jipya online. tanzania amani amna
this is not good, once you allow external...