Mjumbe wa mkutano mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Gwiji wa Utangazaji na Mawasiliano kwa Umma, Baruan Muhuza amefunguka juu ya taarifa zinazoendelea mitandaoni kuhusu yeye kuwania...
Baada ya tuhuma nzito za Mwanaharakati wa Uganda Agather Atuahire kubakwa na kuteswa na vyombo vya Ulinzi vya Tanzania, Je tutarajie nini kinachofuata?
Ikumbukwe Jamii ya Wachwezi ambayo inaunda...
Wakuu,
Majirani wanapata burudani tu huko, wanasema sasa mtu unaweka password "Zuchu" au "Diamond" unategemea nini? :BearLaugh: :KEKLaugh::KEKLaugh: majirani wanajua kutusuta😂.
Ila tukisema...
Kwa hali hii, tutafika?
Anaandika Martin Maranja Masese kwenye Mtandao wa X
Rais Samia Suluhu Hassan, inawezekanaje BASHITE tangu amefika Arusha anaishi Gran Meliá Hotel, full board ($469) kwa...
TANZANIA 'YASHTAKIWA' UMOJA WA AFRIKA!
Martha Karua ameuandikia barua Umoja wa Afrika kuhusu kukamatwa, kuwekwa kizuizini na kuteswa kwa Boniface Mwangi wa Kenya na Agather Atuhaire wa Uganda...
GT
Wale wataalamu wa siasa chafu na propaganda hii project ya Chaumma itatoboa kweli?
Binafsi nimeona imefail kabla hata ya utekelezaji wake kuanza. Huenda mi siyo mtaalamu sana wajuzi mtuambie.
Kuanzia sasa hatutashiriki tena kwenye chaguzi zijazo ukiwemo uchaguzi mkuu 2025 bila kuwa na Katiba mpya na mfumo mpya wa kidemokrasia wenye Tume huru ya uchaguzi na sheria mpya za uchaguzi...
Rais Samia akiwaapisha viongozi wateule Ikulu Mei 24, 2024
https://www.youtube.com/live/oLtxqqshl1k?si=wTKjKGUbd7HEcD2Y
Maagizo kwa Lazaro Jacob Twange Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme...
Hili ni jambo la Muhimu sana kufanyika sasa, tena lifanyike kwa haraka sana ili kulinda Watanzania walio Nchi zingine dhidi ya visasi.
Mara zote wageni wanapokamatwa kwenye Nchi yoyote ya...
Tuweke ushabiki pembeni, tuseme ukweli. Tujiulize haya maswali muhimu;
1. Hivi kulikuwa na ulazima wa serikali na vyombo vya dola vya Tanzania kuchukua hatua za namna hii?
2. Kulikuwa na ulazima...
Nimemaliza kuangalia hotuba ya Tundu Lissu kwenye Mkutano wa Bawacha.
Niseme tu, this guy is gifted. Tumshukuru sana Mungu kwa kutupa huyu mtu wakati huu. Tumshukuru Mungu kwa sababu hakuruhusu...
Muda umefika wa kuongea bila kupepesa macho, bila kupaka mafuta kwenye sufuria chafu. CHAUMA sasa inageuka kuwa jalala la kisiasa, bandari ya masaliti, sehemu ya watu waliotimuliwa kwa sababu ya...
https://youtu.be/8KZulT0i1nk?si=OmucN8PMwbOADTlj
Kwa unyama huu waliotendewa Wanasheria na Wanaharakati toka nchi za jirani zetu Kenya na Uganda kimeharibu kabisa uhusiano wa kidplomasia...
Mimi ni mmoja ambao sijafurahishwa na namna raia wa Kenya na Uganda walivyobagazwa na kutwezwa utu wao na mamlaka za Tanzania.
Kitendo cha viongozi wakubwa wa Kenya na Uganda kuwa kimya muda huu...
Wakuu,
Ndio maana uchawa umeongezeka kwenye vyombo vya habari sababu wameahidiwa viti vitaoatikana kwa udi na uvumba?
Maana Baba Levo kwenda kuwania ubunge kwenye jimbo analohombea Zitto its...
Uzee ni muda wa kutubia, kuungama na kutumia kile ulichochuma wakati wa ujana wako. Sio muda wa kutafuta dhambi na maadui wapya bali kutafuta watu wengi zaidi wataokuzika siku ukifa.
Kazi...
Haya maneno yanasemwa na mwanamke mmoja ambae ni rafiki mkubwa sana wa mke wangu tukiwa sebuleni mama huyo pia ni mtu mkubwa ngazi ya halmashauri. Kwakweli haikutegemewa Samia amfunike magufuli...
1. Huyu Mzee ndo ameifanyia mengi wilaya yetu ya Mwanga kufahamika duniani. Lami, hospitali za kutosha, free WiFi na Umeme mpaka Vijijini kuliko wilaya nyingi hapa Tanzania. Tunamshukuru kwa yote...
Kama sio ushirikina basi kuna aina fulani ya dawa wanatumia kwa kuwawekea kwenye chakula, kinywaji ama kupitia hewa
Mifano ipo mingi lakini tuangalie ya karibuni
Nadhani wote tunamkumbuka Peter...