Mimi Huyu RC namuona tu mitandaoni anavyopambana kuwaletea maendeleo wana MANYARA! Hakika wamebahatika sana!
RV huyu hana hatauda wa kwenda saluni kujipamba yeye anasuka nywele zake 5 mzuka...
Sikutegemea kutoka hukumu ya Mbatia kushinda maana by all angles mkono wa CCM ulikuwepo kuhakikisha mama Tanzania anabwagwa!
Kwa hukumu hii, naweza kurudisha imani by 30% haki kutendeka...
Milembe republic ni nchi ambayo Rais wake anachaguliwa na kakikundi ka watu tena kwa kunyoosha mikono juu na kupiga vigelegele.
Milembe republic ni nchi ambayo Rais, Mbunge au diwani anaweza...
Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Dar es Salaam imetia saini mkataba wa ujenzi wa barabara ya njia nne kutoka Mbagala Rangi Tatu hadi Kongowe kwa kiwango cha lami, ikiwa ni...
Waziri wa fedha Msomi Dr Mwigulu Nchemba amewaambia wabunge kuwa mkataba wa EPC +F ni " Technical" sana kwa wananchi na wabunge kuweza kuelewa.
Akitoa ufafanuzi bungeni baada ya Mbunge Halima...
Kwa kutekeleza mradi huu sio tuu kwamba Bandari ya Tanga Sasa itakuwa mshindani wa Bandari ya Mombasa Bali tutakuwa tumeteka mizigo ya Uganda,North Eastern DRC,Rwanda ,Burundi na Kanda ya Ziwa na...
Labda kama kapeni hii imefadhiliwa na EU au USA, vinginevyo ni matimizi mabaya ya ruzuku ya vyama vya siasa ambayo ni hela za walipakodi walalahoi wa kitanzania.
Nasema hivyo kwa sababu the main...
Ramani ya jengo jipya la makao makuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), linalotarajiwa kugharimu Sh34 bilioni, imewasilishwa leo Alhamisi Mei 29, 2025 mbele ya Wajumbe wa Mkutano Mkuu Maalumu wa chama...
BUNGE LAPITISHA ZAIDI YA SHILINGI BILIONI 164.1 SEKTA YA ARDHI
Bunge limepitisha na kuidhinisha Bajeti ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kiasi cha shilingi 164,146,052,000/= ili...
Kwa hukumu iliyotolewa na mahakama, Je, Mbatia "Jumatatu" anaingia ofisini kama Mwenyekiti NCCR?
James Mbatia ameshinda kesi aliyoifungua dhidi ya chama hicho, akipinga kuondolewa kwenye uongozi...
Matukio katika picha, uzinduzi wa Operesheni #NoReformsNoElection Kanda ya Kaskazini leo tarehe 28 Mei 2025, jijini Arusha.
Comment ziwe fupi fupi. CCM nawapa Ruhusa kuonesha hasira zenu. Temeni...
Kila ninapojaribu kuchekecha akili najikuta nakosa jibu.
Hivi respond yetu kama Taifa na tukiwianisha kosa la wahusika vinawiana kweli?
Okay fine , let's assume nikweli Bonifasi Mwangi na...
Hivi vyama vingine ukiachana na CCM, CHADEMA, ACT Wazalendo...yaani hivi vyama huwa vinaonekana vipo kwenye karatasi ya kura tu...na hata sidhani hata kampeni kama vinapigaga...sidhani kama vina...
Salut wanaJF!
Waungwana ni shahiri dhahiri CHADEMA sasa inakwenda kufutwa na msajili wa vyama vya siasa kutokana na kuendesha shughuli zake bila ya kufuata Sheria za vyama vya siasa, Hii sababu...
Hili nalishuhudia pale Chadema ambako Mh Mbowe alikuwa akisifiwa sana hadi kupewa jina la MWAMBA akifananishwa na Petro Mtume aliyemkata Sikio Askari wa kuhani mkuu
Chadema ikifa maana yake Mbowe...
Maeneo matatu hapa nchini yameonyeshwa kukerwa na wanaharakati kutoka Kenya. Makundi hayo ni kama wafuatao: Serikali Kuu, Bunge, na kundi la machawa. Vyama vya siasa, na hasa chama chao cha...
Mkurugenzi wa mawasiliano ya Rais Ikulu ni mtu muhimu sana kati ya Rais na vyombo vya habari.
Mtakumbuka Rais Samia alivyoingia tu madarakani alimteua Jafari Haniu kuwa Mkurugenzi wa...
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amekutana na Waziri Mkuu wa Japan, Ishiba Shigeru ambaye amemuhakikishia kuwa nchi hiyo itaendelea kuimarisha ushirikiano na Tanzania jambo ambalo linalenga kuchochea...
Wanabodi,
Makala yangu, Gazeti la Nipashe, wiki hii.
Hali ya siasa za ndani za nchi yetu, na jirani zetu wa Kenya na Uganda, kuingilia mambo yetu ya ndani, vibaraka wao walipojipenyeza, idara...