Knock life
JF-Expert Member
- Oct 11, 2024
- 2,465
- 7,764
Kupitia kipindi cha scanning anatuonesha jinsi wanasiasa wetu walivyo vilaza.
Kwsho akisifia ccm mtamtukana kama kawaida yenuKupitia kipindi cha scanning anatuonesha jinsi wanasiasa wetu walivyo vilaza.
Anapofanya vizuri tunamsifia hivyo hivyo akifanya hovyo tutamkosoa, ila nakuhakikishia hata tukimkosoa hatofura kama ushungi mwekundu alivyofura jana😂😂Kwsho akisifia ccm mtamtukana kama kawaida yenu
Kafanyaje mkuu?Kupitia kipindi cha scanning anatuonesha jinsi wanasiasa wetu walivyo vilaza.
Pongeza panapostahili mkuu usiwe na wivu kupita kiasiUchaguzi umekaribia anapambana kujijenga ili apige deal la habari za uchaguzi.
Ila hiyo haijustify kuwa ni mtangazaji au mwandishi mzuri.
Ili pongezi zitoke ni lazima vipimo vya upongezaji vifikiwe.Pongeza panapostahili mkuu usiwe na wivu kupita kiasi
Ili pongezi zitoke ni lazima vipimo vya upongezaji vifikiwe.
Tusivishane vilemba vya ukoka
Kilemba cha ukoka ndiyo kizuri kwa kupitisha hewa safi kichwani mwa mvaaji.Ili pongezi zitoke ni lazima vipimo vya upongezaji vifikiwe.
Tusivishane vilemba vya ukoka