No Reform No Election kisheria

No Reform No Election kisheria

Katiba mbovu,wizi wa kura,ni upunbavu kabisa.hakuna hajaTena ya kupiga kura ktk nchi hii.chaguzi tatu zimeharibiwa kizembe kabisa,bila aibu Wala woga..
 
Maana Nyingine ni kwamba Huwezi chagua kitu ambacho matokeo yake yanajulikana tayari…ndio maana ya no election kwa tafsiri isiyo rasmi
 
Kwa yanayoendelea ni kama vile CCM wanacheza mziki wa CDM,"No reforms No Election"
 
Back
Top Bottom