PreGE2025 Kumbukizi; Mbunge Anatropia: Shida iko wapi Referee akiwa neutral?

PreGE2025 Kumbukizi; Mbunge Anatropia: Shida iko wapi Referee akiwa neutral?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

SweetyCandy

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2022
Posts
5,181
Reaction score
9,796
“…sasa leo kinachotokea kwa watu wa chama changu Chadema wanasema no reform no election mnajua imetoka wapi kwenye ile 4R ya mheshimiwa Rais ya tatu…hivi kwa watu kusema wanataka reform ni kosa? Mheshimiwa rais yeye ameridhia kwamba hii nchi kama taifa tuje pamoja tujadili mustakabali wa maendeleo yetu…leo tunawaweka ndani kwa sababu ya kutaka reform…”- Mbunge wa Viti Maalumu, Anatropia Theonest.

Luca Mwashambwa Na machawa wenzakoo. Muelewe
 
Yuko huku
1749435397358.jpg
 
Huyu Luka ni mshamba sana anaishi Kwa baba yake hadi leo. Hebeli alipata hasara.
Afadhali na wewe umenisaidia kupaza sauti labda itasaidia abadilike.
Kwa umri alionao Lucas Mwashambwa ni kitendo cha fedheha kwake na kwa chama chake kuendelea kukaa kwa baba yake.
Hata chumba cha elfu ishirini kinamshinda, hela zote hizo anazolipwa sh 7,000 kwa kila mara akichangia humu.
Mtoto wa kiume mama yako anakuona ukiwa umevaa taulo ukienda kuoga bafuni, mtoto wa kiume huwezi hata kumkaribisha mrembo kwako kisa huna kwako.
Wenzake wamchangie hata mawazo kina chiembe Tlaatlaah
 
Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere aliwahi kutamka kuwa "Watanzania wanataka mabafiliko na wasipoyaona ndani ya CCM watayatafuta nje ya CCM"
Hii inaonesha hata Waasisi wa chama waliyaona mahitaji ya watu mapema.
Halafu CCM hifundishi uchawa nawashangaa sana watu wanaoamua kuwa chawa. Ukisoma tu hata imani ya Chama Cha Mapinduzi haina viunde vya uchawa kabisa nanukuu.
a. Binadamu wote ni sawa
b. Kila mtu anastahili heshima ya kitambuliwa utu wake.
c. Ujamaa na kukitegemea ndiyo njia pekee ya kujenga jamii ya watu walio sawa na huru.
Najiuza hapa...uchawa unatokea wapi?. Majibu ninayoyapata ni kuwa uchawa ni tabia binafsi ya mtu na wala siyo chama inayosukumwa na unafiki, maslahi binafsi na njaa.
Hakuna mafunzo ya maalumu ya uchawa ila kutokana na uwepo wa chawa ndani ya chama tabia hii husambaa na inaweza kujitokeza katika maeneo mbalimbali.
 
Kwani huyu na nyie ni tofauti?View attachment 3361680
Unyumbu wa kisiasa ni mfumo unao wezesha wanaopewa dhamana kuahirisha kufikiri kwa nafsi kwasababu ya kulitumia kundi fulani kwa masilahi binafsi, (self-absorbed group)

Kukidhi dhamira ya kulitumikia kundi Hilo hujipendekeza ama kwa uoga wa kuigiza, (unafiki), a.k.a kujizima data kwassa uchawa tuseme kuahirisha kufikiri kizalendo

Kipindi cha uchaguzi mfumo huu husasishwa, (updated), Kwa kuwarubuni wanasiasa walioko kwenye chama dola na vyama vya upinzani kwa hali na mali hatimaye hukengeuka, (kusaliti), yaani kuahirisha kufikiri kizalendo
 
Afadhali na wewe umenisaidia kupaza sauti labda itasaidia abadilike.
Kwa umri alionao Lucas Mwashambwa ni kitendo cha fedheha kwake na kwa chama chake kuendelea kukaa kwa baba yake.
Hata chumba cha elfu ishirini kinamshinda, hela zote hizo anazolipwa sh 7,000 kwa kila mara akichangia humu.
Mtoto wa kiume mama yako anakuona ukiwa umevaa taulo ukienda kuoga bafuni, mtoto wa kiume huwezi hata kumkaribisha mrembo kwako kisa huna kwako.
Wenzake wamchangie hata mawazo kina chiembe Tlaatlaah
heche ndio mwanasiasa mtu mzima nchini pekee, ambae bado anaishi kwa wazazi baada ya kufilisika pension yake yote ya ubunge kwenye kubeti.
Inasikitisha sana, inafedhehesha sana aise 🐒
 
heche ndio mwanasiasa mtu mzima nchini pekee, ambae bado anaishi kwa wazazi baada ya kufilisika pension yake yote ya ubunge kwenye kubeti.
Inasikitisha sana, inafedhehesha sana aise 🐒
Castigation
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom