Ni vyema ukiwa kiongozi uache kufanya mambo kwa kurupuka maana madhara ya kufanya jambo fulani bila kupima madhara yake mwishowe kiongozi utaonekana hujui kuongoza au waweza gawa gawa gawa...
Anayewatuma(ga) hawa madogo kuzungumza kwenye issue serious kama hizi ni kwamba huwa hawajui kama wanajichoresha au? Kwenye issue nzito za kidiplomasia wao wanaongea kama wamekatwa vichwa vile...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Kanuni za Bunge imependekeza kufanyika maboresho ya muda wa kutambulisha wageni waalikwa bungeni ambapo imetaja watakaotambulishwa ni wageni wa kitaifa, kimataifa...
Tutaongea yote ila jiwe ndiye chanzo cha haya yote na ndiye aliyetufikisha hapa tulipo leo. Jini akishatoroka kwenye chupa ni vigumu sana kumrudisha, ni rahisi sana kuboma kuliko kujenga.
Kwa...
Nimekua najiuliza, Wabunge si wanaingiziwa fedha za maendeleo ya jimbo.
Je, upo utaratibu wa kuwasilisha ripoti ndani ya Bunge kama vile mawaziri katika wizara zao juu ya miradi ambayo...
Habari wakuu,
Kiukweli kwa hali iliofikia mtaani chama kinakufa kwa kasi kweli lakini ukiangalia kwa undani raia wanamchukia yeye kuliko chama ila siku zinavonzidi kwenda na chama kinaanza...
Msemaji wa Serikali Gerson Msigwa amewataka Vijana wa vyuo vikuu kutumia mitandao kisayansi ili waingize hela badala ya kutumika kukesha mitandaoni wa kutukana Watu na kuzua taharuki
Msigwa...
Nguvu ya jambo lolote katika kuamua, ni uwingi wa waamuzi wenyewe
Na ndiyo maana, kura nyingi, humpa mtu nguvu ya kuwa mshindi na kutawazwa kuwa kiongozi
Tunaona, hata miswaada mingi kwenye...
Katika hali ya kawaida ya kikatiba na kisheria, uamuzi wa kuzuia chama cha siasa kama CHADEMA kufanya shughuli zake za kisiasa ni suala zito linalogusa moja kwa moja haki za kikatiba za uhuru wa...
Hivi unaweza amini wao wako wachache sisi TU wengi ila sasahivi watangika tinavurugwa nao na tunavurugika?
Chama kikuu Cha upinzani chadema kimesimishwa shughuli za kisiasa na wazanziar wachache...
Katika nyakati hizi ngumu, sauti zetu hazipaswi kuzimwa na woga wala hofu. Wale waliochoshwa na ukandamizaji, mauaji na utekaji unaoendelea nchini mwetu, ni wakati wa kusimama na kusema hapana...
Ukaaji wake ulikuwa kama lilivyo Bunge la sasa la UK
Kazi kazi hakuna story za vijiweni wala umbea umbea
Bunge la Dodoma ni kama walimbwende wamealikwa kwenye Fashion show na akina Mr Nzega...
Wanabodi
Msingi Mkuu wa kazi ya uandishi wa habari ni ukweli, kuwa mkweli kuusema ukweli na kuandika ukweli!.
Sisi waandishi wa habari wa zamani tulifundishwa na waalimu wazungu, mimi mpaka leo...
Kuna tukio moja la kihistoria ambalo linaacha maswali mengi, hasa kwa wana-JF wenye kupenda kuchambua mambo kwa kina. Ni lile tukio ambapo Rais wa Awamu ya Tano, Hayati Dkt John Pombe Magufuli...
Anaandika Joseph Selasini, aliyekuwa mbunge wa Chadema katika jimbo la Rombo (2010-2020).
Mbowe anatia aibu.
Hao wafuasi wake waliimba kwamba uchaguzi wao ni mfano wa kuigwa. Kumbe dhamira ni...
Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Musukuma, ameibua hoja bungeni akilalamikia mazingira yasiyo rafiki kwa viongozi na familia zao wanapopita katika maeneo mbalimbali ya VIP. Akizungumza bungeni...
Jaribu kufuatilia michango ya wabunge wa DSM ya Kale yaani Kinondoni, Ilala na Temeke utagundua inaakisi kabisa akili za wapiga kura wao za ukilaza
Fanya Utafiti
Ahsanteni sana 😁🇹🇿
Mlio wekeza Tanzania kwenye kampuni kubwa tuambieni changamoto mnazo pitia mnashauri nini kwa hii serikali au tukawekeze kwa kupitia ulaya.
Kwa yanayoendelea Tanzania ni wazi nchi inanuka rushwa...