Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kinaendelea kukumbwa na changamoto za ndani baada ya Mahakama Kuu kutangaza kusitisha shughuli zake za kisiasa kwa kipindi cha siku 14. Kesi hiyo yenye...
0 Reactions
1 Replies
321 Views
Yaonekana Viongozi wetu hawajui Afrika ilitoka wapi na inakwenda wapi. Hawajui nchi inatoka wapi na inakwenda wapi. Ko sa ni la CCM 'Kuokota' Kila mtu asiye na aibu akawe kiongozi.
0 Reactions
0 Replies
194 Views
IGP Camilius Wambura leo amenikosha sana sana, ameongea mambo makubwa kifupi kwa weledi wa hali ya juu sana. Ni mtu sahihi kwa wakati sahihi, Mungu amlinde, ampatie afya njema, ampe hekima na...
10 Reactions
86 Replies
4K Views
Poleni sana CHADEMA. 1. Wamempa Mwenyekiti wenu kesi wanayoita ya uhaini mpaka sasa yupo mahabusu. 2. Wamewafuta baadhi ya viongozi wenu. 3. Wamenyang'anya Ruzuku ya chama na mauza uza mengine...
3 Reactions
3 Replies
340 Views
Iko hivi kila mzazi na mlezi hajawahi kuwaombea vibaya anao waleo. Ukiona imefika kipindi kila mmoja kwenye famila yako, ina maana wale wote unaowalisha wanakupanda kichwani jua kuna mtu nje ya...
0 Reactions
13 Replies
631 Views
Tunaelekea uchaguzi mkuu na joto limeishapanda sana kwa sasa. Mtihani ni mkubwa, maswali ni mengi yanataka maelezo marefu huku karatasi ya kujibia kikiwa kipande tu. Huku kuna Azimio la mgombea...
7 Reactions
48 Replies
3K Views
Architect wa ukuaji wa haraka sana wa deni la Taifa mpaka navyoongea ni hayati John pombe Magufuli- alianzisha miradi mikubwa kama ya reli, na kununua ndege kwa kisingizio ni fedha zetu na sio...
1 Reactions
0 Replies
206 Views
Wakuu Ni muendelezo wa C4C ya CHAUMMA na muitikio umekua mkubwa Pengine sera zao za ubwabwa zinavuta wananchi uchaguzi wa October 2025 ==== Mapokezi ya Mwenyekiti wa CHAUMMA Taifa Mh. Wakili...
0 Reactions
8 Replies
719 Views
Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, ndugu Ado Shaibu amejibu kauli ya Ally Hapi kuwa Dola iwashughulikie wanaotaka kuzuia uchaguzi, ambapo amesema kuwa CCM siyo chama cha siasa tena, kwasababu sifa ya...
3 Reactions
6 Replies
810 Views
Nimepenyezewa taarifa kuwa hali si hali korido za Ofisi za Chama cha Mapinduzi. Nguvu pekee wanayoitegemea kwenye kushika madaraka ya nchi kupitia uchaguzi wa kiini macho wa mwaka huu ni vyombo...
43 Reactions
97 Replies
5K Views
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, John Heche, amedai kuwa serikali imepanic kutokana na mwitikio mkubwa wa wananchi kwa kampeni ya 'No Reforms No Election' inayopigania mabadiliko kabla ya...
6 Reactions
10 Replies
1K Views
Wakuu hii nchi inaongozwa na watu wa hovyo sana. Viongozi wanatengeneza kiki za wasanii zimefeli sasa wanatengeneza kiki ya Yanga nayo inafeli. Watanganyika wamewachooooka. Hata kesho mond na...
14 Reactions
31 Replies
2K Views
Kwa hili la Chadema Polisi wamepata mwanya wa kuonyesha uchawa. Watakimbia kufunga ofisi na kupiga watu kama kawaida yao ili wapande vyeo Majaji nao wanaweka uchawa ili wapande vyeo. Tanzania...
3 Reactions
1 Replies
313 Views
Naona hii kete ya Yanga! Malengo makuu ni kuhamisha upepo wa no reforms no Election. 😃😃
8 Reactions
48 Replies
2K Views
Ninasikitika sana nikiona mitandaoni watu wakiwasifu kina Martha Karua na wanaharakati ushuzi wengine wakidhani wanaweza kuitikisa serikali ya Tanzania. Ninasisitiza kuwa serikali ya Tanzania...
1 Reactions
33 Replies
2K Views
Kuna Pimbi wa Lumumba Jana kaja na Uzi ukisema "Gwajima kaangukia Pua Rufaa yake". Ruling hii maana yake, Mahakama inasema ,Kanisa la The Glory of Christ Tanzania Church hamna Mahali limefungiwa...
31 Reactions
94 Replies
8K Views
Wakuu Naona Serikali ni kama inatafuta kila njia ili wapate kuisimamisha CHADEMA katika harakati zake za kuzuia uchaguzi. Tuliona asubuhi waraka wa msajili akivitaka vyama vya siasa kufuata na...
1 Reactions
9 Replies
498 Views
TZ nchi ambayo makanisa, vyama na watu wanafungwa na kufungiwa kabla ya ushahidi!!!!. Chadema imefungiwa hata kabla kesi yake haijasikilizwa, kanisa la gwajima limefungiwa bila yeyote kusikiliza...
0 Reactions
1 Replies
275 Views
CHADEMA kimeomba muda wa siku 21 kujibu hoja za kisheria zilizowasilishwa Mahakamani na Saidi Issa Mohammed na wenzake watatu, waliowasilisha kesi Mahakama Kuu ya Tanzania, wakitaka Mahakama...
4 Reactions
69 Replies
5K Views
ACT et al, tazama kilichotokea watu waliotumwana system... CHADEMA TAKE NOTE; Nawaza tu, nawaza tu, nawaza tu....Kitakachofuata ni kumpiga Heche risasi wakasingizia kuwa hawajui nani alipiga...
3 Reactions
16 Replies
692 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…