B-2 STEALTH BOMBER
JF-Expert Member
- Sep 15, 2024
- 4,640
- 6,422
Wakuu hii nchi inaongozwa na watu wa hovyo sana. Viongozi wanatengeneza kiki za wasanii zimefeli sasa wanatengeneza kiki ya Yanga nayo inafeli. Watanganyika wamewachooooka.
Hata kesho mond na kiba watoe ngoma wala hatutaistukia upepo umechange. Na wakati huu ni wakati wa Mungu.
Moto wa nyika hauzimwi kwa mkojo.
Wakuu mwenye kujua namna ya kuripoti upuuzi unaofanywa na Yanga kule FIFA na TFF yao ili kama nikufutwa ligi ifutwe kweli tuondoe hizi timu. Timu zinajaza tu ujinga watanzania