Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Watu wengine wamekuwa wakipinga msajili kufuta kanisa la ufufuo na uzima na kusema Gwajima ndie alitakiwa achukuliwe hatua sio kanisa Wanashindwa kuelewa kuwa msajili hajawahi.msajili Gwajima...
9 Reactions
77 Replies
3K Views
Sasa hivi kila jimbo la uchaguzi wanaCCM wanavutana nani awe Mbunge wao. Vijembe na mikwaruzano imeanza kutokea WanaCCM watauana safari hii sababu ya ubunge na udiwani.
7 Reactions
34 Replies
2K Views
CHADEMA kimetawaliwa na wafuasi waliojaa matusi ndo wanaongoza chama mitandaoni akina Mange Kimambi, Sativa, Tito Magoti, Martin na wengine. Huwa najiuliza hivi matusi ni mkakati wa CHADEMA...
11 Reactions
123 Replies
3K Views
Bunge la Umoja wa Ulaya limezitaka mamlaka za Tanzania kufanya mambo yafuatayo: Kukomesha msako unaoendelea dhidi ya wakosoaji wa serikali, Kukomesha ukamatwaji holela wa raia, Kukomesha vurugu...
33 Reactions
128 Replies
6K Views
Wanabodi N.B:Wakati bandiko hili linaandikwa kumbe tayari CJ。Prof. Ibrahim Juma ameisha staafu rasmi na Jaji Mkuu mpya ameisha teuliwa, hivyo hoja ya CJ Prof. Ibrahim Juma is by passed by events!...
12 Reactions
35 Replies
2K Views
Wanabodi Baada ya ile miamala ya account ya kigogo fulani kuvuja hadharani kwa mtindo wa whistleblower kule kwenye ile page ya kale kadada kamodo kakichaa cha kulee,japo ninakishukuru kwa...
47 Reactions
117 Replies
5K Views
Wanabodi, Kwa Maslahi ya Taifa, Nipashe ya Leo. Leo ilikuwa niendelee makala ya wiki iliyopita kuhusu upatikana wa haki kupitia dhana ya Usuluhishi, lakini kwa vile makala ya wiki iliyopita...
9 Reactions
42 Replies
4K Views
Mbunge wa Jimbo la Sumbawanga Mjini, Aeshi Hilaly amekabidhiwa tuzo ya utendaji uliotukuka na kuendeleza michezo, tuzo ambazo zimeandaliwa na Walimu Makada wa CCM Manispaa ya Sumbawanga. Mbunge...
0 Reactions
2 Replies
417 Views
Kamanda Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar Es Salaam Muliro Jumanne Muliro akiwa nje ya kanisa la Ufufuo na Uzima (Glory Of Christ Tanzania Church). Pia, Soma Askari Polisi waweka ulinzi mkali...
4 Reactions
62 Replies
5K Views
Fanya utafiti kwenye vijiwe vya kila namna kuanzia bodaboda, wauza mkaa, walimu na Watanzania wote. Utasikia wanaropoka bila kumug'unya maneno. Kuwa hii ndio CHADEMA ambayo ipo kwa maslahi ya...
3 Reactions
29 Replies
1K Views
Waziri wa mambo ya ndani ya nchi Mhe. Innocent Bashungwa ameeleza kupokea barua iliyoandikwa na kampuni ya uwakili ya Tan Africa Law, ikimuwakilisha mteja wake ambaye ni Kanisa la Glory of Christ...
1 Reactions
38 Replies
2K Views
"Adui mpya wa Afrika si njaa, si vita, wala si ukoloni wa kiuchumi, bali ni kizazi cha vijana waliopata elimu kwenye memes, na hekima kwenye comments za Instagram! Hoja kwao ni mzigo, matusi ni...
3 Reactions
7 Replies
515 Views
Wadau, mambo yapo moto na sasa Zitto Kabwe , kiongozi mkuu mstaafu ndani ya chama cha ACT Wazalendo atakuwa katika muunganiko na Masheikhe wawili Wazalendo. Pia soma > Pre GE2025 - Makamu...
0 Reactions
15 Replies
958 Views
Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wanaopinga mchakato wa Rais Samia Suluhu Hassan kupewa nafasi ya kugombea bila upinzani, tunakaribishwa kukutana hapa ili kujiorodhesha majina yetu...
0 Reactions
4 Replies
766 Views
Kutoka Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimepigwa marufuku kufanya shughuli zozote zile za kiutendaji na oparesheni mpaka hapo...
14 Reactions
506 Replies
29K Views
Mimi 'OKTOBA LINDA KURA' Ni kuhamasisha vurugu na NI uchonganishi WA kipuuzi Sana! Kwanini ulikubaliana na kanuni za uchaguzi, ukasaini Kwa madaha Leo uje ugeuke utulaghai eti baada ya kupika...
4 Reactions
21 Replies
1K Views
Serikali ya Tanzania haitaki kusikia habari kama hizi, hii ni kwa sababu serikali hiyo inaamini Wananchi Wake ni Wajinga kuliko Wanyama wa Mwituni, kwamba kila kitu wao wanaamini hakijulikani popote
21 Reactions
108 Replies
6K Views
Nawaza tu, what next? Njia za kuleta maelewano zimeshindikana. Tunatokaje hapa tulipo? Njia gani itumike kumaliza mauaji , uvunjifu wa sheria na watawala ie impunity
2 Reactions
31 Replies
846 Views
Kuna watu wanaitwa 'ECONOMIC HITMEN". Hawa ni wataalamu wa uchumi wa mataifa ya Ulaya, Uarabuni, na Taifa la Marekani ambao kazi yao Pekee ni kujenga urafiki wa karibu na Marais na watawala wa...
13 Reactions
23 Replies
2K Views
Zitto kabwe kupitia ukurasa wake wa X alipokuwa akimjibu Sativa ameandika kuwa "Kanuni imehalalisha wizi wa kura? Wizi wa kura ni uhuni. Mtu anayefanya uhuni na hatendi kwa mujibu wa sheria...
1 Reactions
17 Replies
859 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…