PreGE2025 Serikali yakana kufungia Kanisa la Gwajima

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
2,530
Reaction score
7,162
Waziri wa mambo ya ndani ya nchi Mhe. Innocent Bashungwa ameeleza kupokea barua iliyoandikwa na kampuni ya uwakili ya Tan Africa Law, ikimuwakilisha mteja wake ambaye ni Kanisa la Glory of Christ Tanzania Church, wakipinga kufutwa kwa usajili wa kanisa hilo.

"Baada ya kupitia barua hiyo nimeshindwa kuendelea na rufaa hiyo kwasababh barua inayodaiwa kuwa ndiyo msingi wa rufaa ni barua ambayo siyo halali na haitambuliki na wizara hasa kwa kuzingatia kuwa barua hiyo haijasainiwa na Msajili wa Jumuiya za kiraia hivyo ni dhahiri kuwa barua hiyo inakosa uhalali na nguvu ya kisheria kuitwa maamuzi yanayopaswa kukatiwa rufaa dhidi ya sheria ya Jumuiya, hivyo kunifanya nishindwe kuendelea na rufaa yako."

Sambamba na hilo, barua hiyo iliyotumwa na Wizara kwenda kwa Kampuni ya uwakili ya Tan African Law, inaeleza kuwa kanisa lililofutiwa usajili ni Kanisa la Glory of Christ church/ Kanisa la ufufuo na uzima wakati mleta rufaa ni Glory of christ Tanzania church." Imesema barua iliyosainiwa na Waziri Bashungwa.

Source: Jambo TV
 
Huyu waziri anawaona Watanzania kuwa ni wapumbavu? Hajui kwamba polisi wake walivamia kanisa na kupiga na kumata waumini? Kwanini hili hajalitolea kauli mpaka leo?
 
Waziri anaogopa kufuta kanisa linalomuabudu Mungu. Hatakama nimimi sifuti Bora nibaki mbunge yaani ufute shughuli ya ibada takatifu kisa siasa zamtu mmoja?? Hiyo achia mapagani yasiyomjua Mungu
 
Waziri wa mambo ya ndani ya nchi Mhe. Innocent Bashungwa ameeleza kupokea barua iliyoandikwa na kampuni ya uwakili ya Tan Africa Law, ikimuwakilisha mteja wake ambaye ni Kanisa la Glory of Christ Tanzania Church, wakipinga kufutwa kwa usajili wa kanisa hilo.

"Baada ya kupitia barua hiyo nimeshindwa kuendelea na rufaa hiyo kwasababh barua inayodaiwa kuwa ndiyo msingi wa rufaa ni barua ambayo siyo halali na haitambuliki na wizara hasa kwa kuzingatia kuwa barua hiyo haijasainiwa na Msajili wa Jumuiya za kiraia hivyo ni dhahiri kuwa barua hiyo inakosa uhalali na nguvu ya kisheria kuitwa maamuzi yanayopaswa kukatiwa rufaa dhidi ya sheria ya Jumuiya, hivyo kunifanya nishindwe kuendelea na rufaa yako."

Sambamba na hilo, barua hiyo iliyotumwa na Wizara kwenda kwa Kampuni ya uwakili ya Tan African Law, inaeleza kuwa kanisa lililofutiwa usajili ni Kanisa la Glory of Christ church/ Kanisa la ufufuo na uzima wakati mleta rufaa ni Glory of christ Tanzania church." Imesema barua iliyosainiwa na Waziri Bashungwa.

Source: Jambo TV
Hii nchi ina vituko kweli kweli
 
Ngoja nizungumze na Netanyahu afanye yake kwa taifa hili kwa maana ujinga ni mwingi kwa viongozi wa taifa hili
 
Back
Top Bottom