Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa, leo Alhamisi Juni 26, 2025, ametoa hotuba ya kuhitimisha Mkutano wa 19 wa Bunge la 12, huku akimkumbuka hayati Rais John Magufuli...
Kwa ninavyojua MTU Kama Makonda hana uwezo wowote wa kuwa kiongozi ni vile anabebwa na mfumo.
Je Makonda ameamua kuingia kugombania ubunge ili ajiondoe katika Kazi zenye Pressure Kama U-RC na...
Kuna viongozi wengi sana ambao ni usalama wa taifa. Mmoja ambaye nina uhakika naye kwa 💯 ni Professor Mkumbo ambaye ni waziri kwa sasa. Miaka yote hata kabla ya kuingia Chadema alikuwa usalama wa...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa anatarajiwa leo, Juni 26, 2025, kuwasilisha hoja ya kufunga shughuli za Bunge ikiwa ni hitimisho la Mkutano wa 19 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Katika...
Mpaka leo Mwili Rais Mstaafu Edgar Lungu haujazikwa kisa ni mgogoro kati ya familia ya Rais Mstaafu Lungu na serikali ya Rais Haikainde Hichelema.
Familia inasema marehemu Rais mstaafu aliacha...
Chama Cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Moshi Vijijini kimewaita wanaotaka kugombea ubinge,udiwani na viti maalum kujitokeza kuchukua fomu huku wakitaja gharama ni Sh.500,000 na 50,000...
Kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu, Ramadhan Njala Jumanne ameweka wazi nia ya kugombea ubunge katika Jimbo la Geita vijijini kupitia chama cha ACT Wazalendo...
Katika miaka ya karibuni tumeshuhudia matukio ya watu kutekwa, kupotea au hata kunyanyaswa kwa sababu ya kutoa maoni yao kuhusu serikali. Ni jambo la kutisha na linalozua maswali mengi. Swali...
Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) kimetangaza kuwa mchakato wa kumpata mgombea wa urais wa Tanzania kupitia chama hicho, pamoja na kupitisha ilani ya uchaguzi, utafanyika baada ya kukamilika...
Wakili Peter Madeleka akizungumza na Wananchi Jimbo laTemeke, amesema ACT Wazalendo Wakiingia madarakani watahakikisha Polisi wanaostaafu wanaondolewa kikokotoo ikiwa ni sababu ya umasikini...
Mkuu wa wilaya ya Ludewa mkoani Njombe Olivanus Thomas amegawa mbegu Bora na za kisasa za mihogo zijulikanazo kaa jina la Chereko, Mkuranga 1 pamoja na Tarikass 2 ili kuleta tija katika uzalishaji...
Mimi ninaamini kuwa sheria na kanuni za uchaguzi,na hata uchaguzi wetu huwa siyo wa haki na huru. sote tunaona yanayotokea kila uchaguzi.
Mwaka 2024 uchaguzi serikali za mitaa tulitegemea kuona...
Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Ludewa, kimepiga marufuku wagombe wa ubunge na udiwani kuambatana na wapambe wakati wa uchukuaji fomu.
Aidha,kimesema uchukuaji fomu utaanza Jumamosi ya Juni 28...
Nikiwa nimebakiza siku moja kabla ya kukoma kuwa Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini leo saa 2:30 asubuhi kwenye ukumbi wa Jiji la Dodoma, nitazindua rasmi mfumo wa kidigitali wa kusikiliza kero za...
Japo wana mapungufu na mazabe yao, wakenya wanatushinda parefu.
Nchi yao ni chini ya nusu ya Tanzania lakini wana uchumi mkubwa kuliko wetu japo si wao bali waingereza na magabacholi.
Pili...
Kwa mtu aliye na rafiki yake nchi za nje sio Uganda wala Rwanda, au kama una mwanao ambaye ameshabalehe ukamwambia reforms ambazo Chadema wanataka na serikali haizitaki;
Kwanza atakuona fala wewe...
Huyu Prophet Denis alitoa unabii wake Mei 11, 2025 kuhusu moja ya kiongozi ambaye ni mkuu wa mkoa anaoneka kukubalika na watu sana kwahiyo kutokana na kukubalika kwake akajiona anastaili...
Katiba yetu ya nchi inatamka wazi kabisa kuwa mamlaka yote ya utawala yatatoka kwa wananchi kupitia uchaguzi ulio wa haki. Hivyo kitendo chochote cha kuzuia uhuni wa kupokonya mamlaka ya wananchi...
📹 #NUKUU
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia wananchi wa Msumbiji katika Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 50 ya Uhuru wa Jamhuri hiyo, ikiwa ni...