Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ndugu zangu Watanzania, Nimeona niweke uzi huu uwe maalumu kwa ajili ya matukio yote ya uchukuaji na urejeshaji wa Fomu za Ubunge kupitia CCM Katika Majimbo yote Tanzania Bara. Hii itasaidia...
3 Reactions
23 Replies
1K Views
Great Thinkers wa JF, Leo nimeona posti ya Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi akitumia maandiko ya Warumi 13:1–5 wakati Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan alikuwa akikagua gwaride la polisi kufunga vikao...
1 Reactions
7 Replies
596 Views
Yeye ndiye kateua tume na yeye ndiyo kateua wakurugenzi watakaowatangaza washindi wa ubunge. Tudai katiba, ili rais asiwe kama Mungu!
4 Reactions
23 Replies
696 Views
Sasa huyu ndio Rais wa Mabunge !! Huyu ndio Mbunge, Msomi wa Sheria !! Wakati analinajisi Bunge tukufu, Jana Ndani ya Bunge hilohilo Rais Samia akaliagiza Jeshi la Polisi kudhibiti Upoteaji...
2 Reactions
8 Replies
622 Views
Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika tuna Rais wa nguvu mbele yetu, tuna kiongozi shupavu Nchini,tuna Amiri Jeshi Mkuu Mwenye Utimamu wa akili na Mwili,Tuna Kiongozi ambaye Mungu alimuandaa...
7 Reactions
107 Replies
6K Views
Wakuu Mambo yanazidi kuwa mengi, mkuu huy wa vipindi kwa hiki anachokifanya tutegemee usawa katika kuripoti taarifa za uchaguzi mwaka huu? Au na yeye anataka kugombea? basi angekaa pembeni...
3 Reactions
17 Replies
914 Views
Mh. Tundu Antiphas Lissu katikati ya wasiojulikana hanyamazi! Pamoja na kumiminiwa risasi zaidi ya thelathini hakunyamaza Pamoja na kupitishwa kwenye bonde la mauti hajanyamaza Pamoja na kusubiri...
5 Reactions
9 Replies
683 Views
Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo ameweka umeme kwenye zahanati ya Kisiwa cha Soswa iliyopo katika jimbo hilo na kumaliza kero ya muda mrefu ya wanawake kujifungua kwa msaada wa mwanga wa tochi...
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Karibu Bright and Genius Land, nchi ya matumaini na changamoto, ambako kila kijana ana ndoto ya kuwa kiongozi, na jamii inaamini viongozi ndiyo funguo za maendeleo. Katika ardhi hii, vyeo vya...
1 Reactions
5 Replies
568 Views
Kwa mahitaji ya Dunia ya leo, kusoma na kuandika haipaswi kuwa moja ya Sifa ya mtu kuwa Mbunge. Walau Shahada ya kwanza ya Chuo Kikuu inaweza kusaidia. a
1 Reactions
5 Replies
495 Views
Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) CPA Amos Makalla amesema kuwa chama hicho kimesitisha ziara za viongozi wake mbalimbali ili kupisha...
1 Reactions
5 Replies
507 Views
Wote tunafahamu kwamba Salum Jecha alifuta matokeo ya Urais ya 2015 baada ya Mgombea wa chama chake CCM aliyeitwa Mohamed Shein kuangushwa kwa kishindo na Gwiji Maalim Seif, huu ndio ukweli na...
37 Reactions
88 Replies
7K Views
Twaelekea kwenye uchaguzi. Tumtathmini rais Samia Suluhu Hassan. Nionanvyo mimi, amfanikisha yafuatayo: Mosi, kuwakamata wapinzani na kuwafungulia kesi za kubambikiwa, Pili, ameweza kuwa daktari...
9 Reactions
28 Replies
997 Views
Katika hotuba hiyo kuna mambo nilitarajia yatapata maelezo lakini hayakutokea. Lakini pia kuna yaliyoniacha nikitafakari. 1. Ujenzi wa uwanja wa ndege wa mwanza haukutajwa lakini nimesikia...
0 Reactions
3 Replies
499 Views
Wakuu, Nimekutana na clip hii ya Wabunge kutoka Zanzibar wakiwa wanatoa inayoitwa "michango" yao bungeni. Kodi za wananchi zinaenda bure kabisa katika nchi hii. Yaani inaonekana kama hawako...
19 Reactions
58 Replies
4K Views
Salaam Wakuu, Eti ni kweli Rais wa Tanzania awamu ya Sita hakuna mradi hata mmoja aliouanzisha? Inadaiwa miradi anayopiga nayo picha ilianzishwa na Hayati Magufuli. Pia hayati Magufuli alikuwa...
9 Reactions
56 Replies
2K Views
Kwa mujibu wa taratib naomba kujua ukomo wa ubunge, ni baada ya kuvunjwa bunge. Mtu anakuwa sio mbunge tena, je uwaziri unakaa pembeni? Tukumbushane wajuz wa mambo.
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Hivi unafahamu kuongezeka kwa thamanI ya Dolllar ya Marekani kivyovyote kuna athari kubwa katika deni la taifa? Hili jambo wengi hawalifahamu na hata wakilifahamu wanaona kama halina athari...
4 Reactions
26 Replies
1K Views
Katika miaka ya hivi karibuni, shirika la afya duniani (WHO) limekuwa na jukumu muhimu katika kushughulikia changamoto za afya zinazokabili nchi mbalimbali, hasa barani Afrika. Mkurugenzi wa WHO...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Hakuna wakati kama sasa katika historia ya nchi hii tokea tulipopata Uhuru ambapo wananchi wamekuwa katika hali ya wasiwasi mkubwa. Wananchi wameshindwa kuelewa Serikali inafanya maamuzi kwa...
5 Reactions
33 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…