Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ismail Adeni Rage aliyekuwa mbunge Jimbo la Tabora mjini Mwaka 2010- 2015 amechukua fomu ya kugombea Udiwani kata ya Kivukoni Jijini Dar es Salaam
1 Reactions
3 Replies
464 Views
Hizi ni ishara za kuwa na watu waliovimbewa na kujiona wanaweza kutuwekea vigezo vya uongozi kulingana na sifa za wanafamilia wao. Hivi kweli Mtunga sera, mchambuzi wa maswala ya kijamii na...
1 Reactions
8 Replies
533 Views
Mbunge wa Jimbo la Lindi Mjini Hamida Mohamed Abdallah leo Juni 30,2025 amechukua fomu kuwania tena ubunge wa Jimbo la Lindi Mjini. Fomu hiyo amekabidhiwa na Katibu wa Chama cha Mapinduzi Wilaya...
1 Reactions
2 Replies
337 Views
Siku moja baada ya Chama Cha Alliance Democratic For Change (ADC) kumpata mgombea urais wa Tanzania na Zanzibar, kada wa chama hicho na aliyewahi kuwa Mbunge wa Mwibara mkoani Mara, Mutamwega...
0 Reactions
3 Replies
415 Views
Dear comrades, nimewaita mara tatu hapo juu. Kuna watu wengi ni viongozi wazuri sana ila laki 5 sio rahisi sana kwao. Tusiwapoteze!!!. Mmeweka siku chache sana na huku wengine bado wanajikusanya...
0 Reactions
6 Replies
479 Views
Umoja wa vijana wa Chama Cha Mapinduzi ( UVCCM )Wilaya ya Kilosa Mkoani Morogoro wameanza kujipanga kwa ajili ya Uchaguzi mkuu wa Udiwani,Ubunge na Rais unatarajiwa kufanyika Mwezi Oktoba Mwaka...
2 Reactions
5 Replies
413 Views
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe, Dkt. Benson Bagonza, amesema kuwa taifa linapitia mkwamo wa kisiasa na kiutendaji ambao unahitaji hatua ya dhati ya...
7 Reactions
25 Replies
1K Views
GT. Moto wa No reforms no.Election hakuna wa kuuzima maana aliyeuwasha amefungwa ukonga na watu wanamwelewa sana.
17 Reactions
25 Replies
2K Views
Nimepitia Sheria za kamati ya Maadili ya Chama & Bunge Simuoni KONDEBOY kwa ninavyoona hata kusema BOMBOCLAAAATY sitoruhusiwa. Niwapongeze wana CCM mliojitoa Kutangaza Nia za Kugombea Nafasi...
3 Reactions
17 Replies
894 Views
Mhasibu wa kitaifa (CPA) Thomas Lengite kutoka jamii ya wafugaji katika kata ya Olkolili, wilayani Siha, amejitokeza kuchukua na kurejesha fomu ya kuwania nafasi ya ubunge wa Jimbo la Siha kupitia...
0 Reactions
0 Replies
338 Views
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Martin Benard Kikuli amechukua na kurejesha fomu ya kuomba ridhaa ya chama hicho kuwania Ubunge wa Jimbo la Kahama Mjini lililopo katika Wilaya ya Kahama...
0 Reactions
0 Replies
303 Views
Mimi si mwanachama wa chama chochote. Hata hivyo ninawito kutoka ndani ya nafsi ikinitaka nigombee nafasi ya Urais wa JMP. Nafsi yangu inaniambia niwatetee CHADEMA, WAISLAM NA WAMASAI DHIDI YA...
0 Reactions
7 Replies
682 Views
Mkuu wa Mahusiano ya Kimkakati Clouds Media na Mchambuzi nguli wa habari za michezo nchini Shaffi Dauda ‘Digala’ leo tarehe 30 Juni , 2025 amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa na Chama cha Mapinduzi...
0 Reactions
4 Replies
472 Views
Mfanyabiashara na mdau wa maendeleo, Salum Khamis Salum amechukua fomu ya kuwania kinyang'anyiro cha kuongoza jimbo la Meatu tarehe 29 Juni, 2025 na kupokelewa na katibu wa Chama Cha Mapinduzi...
0 Reactions
0 Replies
395 Views
Toka kuasisiwa kwa kauli mbiu ya No reforms no election(NRNE) iliyopitishwa na kuazimiwa na mkutano mkuu wa CHADEMA huenda ikawa ndiyo operation iliyopokelewa kwa kishindo katika operations zote...
6 Reactions
13 Replies
818 Views
Ubunge wa kupewa, kama ambavyo iliotwa na NCCR Mageuzi mwaka 2020, ni kitu kisichotekelezeka; japokuwa ahadi yake huwa ni tamu sana masikioni mwa vyama vya upinzani visivyotaka kuchutama ili...
5 Reactions
32 Replies
1K Views
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe, Dkt. Benson Bagonza, amesema kuwa hatua zinazoendelea kuchukuliwa dhidi ya waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima...
1 Reactions
6 Replies
571 Views
Kada wa Chama cha Mapinduzi John Warioba Mwita amechukua fomu ya kugombea ubunge Jimbo la Kawe kupitia Chama cha Mapinduzi leo tarehe 28 Juni 2025. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa...
1 Reactions
2 Replies
557 Views
Wakuu Naona jimbo la Kawe watu wanalichangamkia sana. === Geofrey Timoth amechukua fomu ya kugombea ubunge wa Jimbo la Kawe jijini Dar es Salaam kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Timoth...
1 Reactions
2 Replies
706 Views
Kipindi cha uchaguzi kinaanza kwa watu kutia nia na kisha kuchukua fomu ili vyama vyao viwape dhamana ya kugombea kisha wananchi waje kutoa dhamana ya mwisho kuwatuma Kwa vyama na hata wananchi...
2 Reactions
2 Replies
341 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…